Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

Mwanamke akiwa na makalio amkubwa hayo tayari ni mafanikio mkuu. Kuwa na makalio makubwa bongo ni zaidi ya kuwa na PhD au Profesa.
 
Mwanamke akiwa na makalio amkubwa hayo tayari ni mafanikio mkuu. Kuwa na makalio makubwa bongo ni zaidi ya kuwa na PhD Profesa.
Umeshalala exergrate Bwana, ungelingabisha na Certificate au Diploma hapo sawa
 
Buda hii nyuzi imenifanya nikumbuke dada mmoja wa mtaani kwetu, alikuwa na makalio kama gari la mizigo lakini akili yake ilikuwa kama kompyuta ya zamani, unamwambia jambo anasema 'eh?' lakini akifanya biashara anakuibia pesa yote. Sio kwamba hawana akili kabisa, ila kipaji cha makalio kinamfanya mtu apuuze kusoma, kama vile mrembo anavyopuuza kuomba ushauri. Hahaha overrated kweli, lakini usiwaonee, wengine wanajua kutumia 'kipaji' chao vizuri kuliko wewe na mimi!
 
Mbona Wema Sepetu anatumia makalio yake kupiga pesa ndefu kuliko hata maprofesa mkuu?
Hana kitu pale mapejee wote waliomula hakuna aliyemuoa hata mmoja wamemtumia kwa miaka mingi, amekuja kuangukia kwa kapuku Whozu, tena huenda alijitongozesha

Nyuzi ya Huyu jamaa uko relavant Sana, waliofanikiwa hawaoi matako makubwa
 
Warembo huwa hawaombi ushauri kamwe na ukijifanya unampa ushauri unakuwa aunapigia mbuzi gita.

Wengine watakwambia kabisa Maisha yangu achana nayo hayakuhusu, baadae akishapigwa Mimba na kuachwa anaendelea kujaza fuvu, anapiga nyingine tena anaachwa baada ya hapo unamkuta anauza K kwenye Mabar na Madanguro akili zinamkaa Sawa na umri tayari umeenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…