Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

Kwani kosa? Mbona mifano yako huwa haiendani na uhalisia? Kwahiyo akiwa mama automatically ana akili nyingi sana kuzidi wote?
mpaka anaamua kupigwa mashine, akabeba ujauzito,akalea,akazaa na kukukuza bado tu unasema hana akili? We bwana mkubwa unaletaga mada za kunya-kunya nyingi sana mpaka natamani ningekuwa nakufahamu nije nimuoe binti yako. Asalamaleko
 
Leo nimepatikana asee. Sikutegemea uzi huu uwe mrefu hivi daah.
Pole Mkuu πŸ˜…πŸ˜…

Mimi mwenyewe nimeandika maoni yangu kutokana na rhythm ya members

Siku ukinikuta na bibi yenu, utanipiga mawe πŸ˜…

Ila jambo la kuzingatia, huku Afrika akili sijui usomi haujawahi kutusaidia hususani Tanzania

Watoto huwa wanafata akili za Baba zao, kwahiyo tujitahidi sisi wenyewe Wanaume kuwa smart
 
mpaka anaamua kupigwa mashine, akabeba ujauzito,akalea,akazaa na kukukuza bado tu unasema hana akili? We bwana mkubwa unaletaga mada za kunya-kunya nyingi sana mpaka natamani ningekuwa nakufahamu nije nimuoe binti yako. Asalamaleko
Nimeshuhudia hata vicha wanazaa. Halafu sijazungumzia kutokuwa na akili kabisa nimeweka level angalao level fln nk mbona kuna vilaza kibao tu wanatuongoza? Wewe mifano yako haina uhalisia tafakari upya kuzaa ni nature sio akili mkuu
 
Hatari sana
 
uhalisia ni upi? Hapo juu nilikuuliza, unamfahamu dada yake na marehemu Raila Odinga? na huyo ana level gani ya elimu? na je ni kilaza? usiforce kila mtu atoe majibu yale unayoyataka wewe hata kama ni matope.
 
Seran embu njoo na hapa bwashee anasema kwa msistizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…