Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

Kwanini? Kwani kuna ubaya tukizichambua hizo simulizi hata kama hawakuwepo kweli? Si wapo kwenye hizo simulizi ndo maana kunapatikana hoja za kujibizana?
Mnabishania kujua rangi ya upepo
 
Weka reference bosi. Yaani kitabu ktk Biblia inaelezea Haya. Stori nzuri anyway
 
Weka chanzo cha habari
 
Huyo lilith hatumjui na hatumtambui, tunamtambua eva/hawa tu. Nje na biblia ni story za abrakadabra tu na upotoshaji wa biblia
mwanzo moja, mwanaume na mwanamke wakaumbwa kwa udongo.
mwanzo mbili, mwenza wa adam kutoka ubavuni mwake, adam anasema huyu sasa ndo......kama hakuwepo mwingine kwa nn adam aseme huyu sasa?
 
Lilith anahusishwa na giza na ushetani....vile vile majini pamoja na uharibifu.
 
Pia wale wa CHAPUTA ......kimsingi wanashirikiana nae.
 
Adam hakuwahi kuwepo, hizo ni hadithi za watu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…