Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

Hivi unafahamu kama hata Biblia kuna maandiko yaliondolewa?
Bado unataka Refference kwenye Kitabu ambacho na chenyewe ni refference?
Ndo maaa nilikuambia, mambo ya akili kubwa kwenye jambo dogo na lililowazi ndo tatizo.

Tunajadili mwanzo 1 na 2 na uhusika katika uumbaji wa 1 na wa 2, ili tujue kama mwanzo 2 inamaanisha uumbaji wa 2 kama ulivyosema.

Mm sijatoka nje ya mwanzo 1 na 2. Na hoja yangu ya mwisho ni swali rahisi tu, mwanzo mbili imetaja vitu ambavyo havikuwepo, ambavyo unasema ndivyo vilivyoumbwa kwenye uumbaji wa 2, nikauliza kama si rejea ya mwanzo 1, kwanini hakuwepo mtu wa kulima na Adam alishaumbwa kwenye mwanzo 1?

So far, nadhani tukubali kutokukubaliana.
 
Nionyeshe andiko hapo mwanzo 2 kama kuna kipengele kinasema adamu aliumbwa tena au alongelea zaidi ya hiyo m,wanzo1:26. kama haipo kwanini aongelewe mwanamke pke yake?
Adam hakuumbwa tena. Biblia ilikamilisha uumbaje wa mwanamke na mwanamume ndani ya siku 6 na siku ya saba MUNGU akapumzika ikawa imeisha hiyo.
swali jingine kwann mwanzo1:26 iseme waliumbwa kwa mfano wa mungu na mwanzo2:21-22 iseme mwanamke alitokana na ubavu na nyama ya mwanamme huoni kuna tofauti kubwa hapa?
Mwanzo 2 ni rejea. Inaelezea kilichotokea katika uumbaji wa mwanzo 1 in details na si uuambaji mwingine mpya. Ipo wazi mkuu.
 
Adam hakuumbwa tena. Biblia ilikamilisha uumbaje wa mwanamke na mwanamume ndani ya siku 6 na siku ya saba MUNGU akapumzika ikawa imeisha hiyo.

Mwanzo 2 ni rejea. Inaelezea kilichotokea katika uumbaji wa mwanzo 1 in details na si uuambaji mwingine mpya. Ipo wazi mkuu.
Mwanzo 2 ni rejea. Inaelezea kilichotokea katika uumbaji wa mwanzo 1 in details na si uuambaji mwingine mpya

kwanini hiyo rejea imhusu mwanamke pekee na sio wote?
 
Lilith ametajwa sana katika bibilia. Agano la kale akiitwa nyoka na sasa a.k.a anaitwa mwanamke kahaba. Wakati hawa anatembea tembea na kujua yuko peke yake dunia wa jamii yake mara ghafla anatokewa na mtu wa jinsia yake tena yupo na watoto wa 4 wawili wakike na wawili wa kiume. Hawa alishangaa kwa nini wapo wengi ndipo lilith akamwambia wamezaliana. Neno kuzaliana bibili wametumia jina la mti wa ufahamu na utambuzi. Hawa akataka kujua wanazaliana vp?, ndipo alipopata elimu ya kuzaliana i.e kujamiana. Alitoka na kwenda kwa adam na alpofika pale akaanza kumshka shka hadi nae akashndwa kujizuia na ndipo nae akala tunda lile. Baada ya kula adam na hawa ikawa wanataka kurudia tena na walijficha ili wasikutwe na ndipo mungu akaamua kumwita adam. Adam uko wapi mbona sikuoni bustanini?.,.. Stori ndefu had mungu anawafukuza, adam anapata hasira anataka kumuua hawa, wanafunga ndoa na kwakweli waliteseka sana. Wakati adam ametoka bustanini lilith alikuwa anamchezea sana akili kwan mara nying alikuwa anamwita akijfanya mungu na adam anaitika na kutii. Napumzka una swal niulze
 
Mwanzo 2 ni rejea. Inaelezea kilichotokea katika uumbaji wa mwanzo 1 in details na si uuambaji mwingine mpya

kwanini hiyo rejea imhusu mwanamke pekee na sio wote?
Ukisoma biblia ya kingereza inasema:

Genesis chapter 2:7
And the LORD GOD formed man of the dust of the ground, and breathed into his nostrils the breath of life, and a man became a living soul.

Ya kiswahili inasema.

BWANA MUNGU akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi,akampulizia puani pumzi ya uhai, mtu akawa nafsi hai.

HUYU ANAYEONGELEWA KUUMBWA HAPA NI NANI ZAIDI YA ADAM? NI TOFAUTI NA YULE ADAM WA MWANZO 1?

MWANZO 2 INAJIELEZA VIZURI, NI REJEA YA UUMBAJI WA MWANZO 1, SI UUMBAJI UPYA WA MWANADAMU/WANADAMU WENGINE.
 
Safi na hili ndo nilitaka kulisema kwamba adamu wa kwanza alipoumbwa unaona kabisa hakuna story za edeni..
Ila adamu wa pili unaona anapelekwa Edeni..
Watu wanashndwa kutumia Akili zao kuangalia na kung"amua
Na ukitaka kujua kulikua na Watu wengine wakiishi nje ya Eden, rejea kisa cha Kaini kufukuzwa Mbali na kwenda kuoa huko, huku akiwa ni kizazi cha pili tu....!

Means mke wa Kaini alitoka kwenye hiyo Jamii nyingine ambayo Mungu aliamua Kuisusa na kuanzisha Mpango wake mpya kwa kuanza na Adam.
 
Ukisoma biblia ya kingereza inasema:

Genesis chapter 2:7
And the LORD GOD formed man of the dust of the ground, and breathed into his nostrils the breath of life, and a man became a living soul.

Ya kiswahili inasema.

BWANA MUNGU akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi,akampulizia puani pumzi ya uhai, mtu akawa nafsi hai.

HUYU ANAYEONGELEWA KUUMBWA HAPA NI NANI ZAIDI YA ADAM? NI TOFAUTI NA YULE ADAM WA MWANZO 1?

MWANZO 2 INAJIELEZA VIZURI, NI REJEA YA UUMBAJI WA MWANZO 1, SI UUMBAJI UPYA WA MWANADAMU.
umeelewa nicho uliza lkn?
 
sahihi kabisa
Ndo nikakupa fungu linaloonyesha ameongelewa mwanaume kwanza kabla ya mwanamke.

Msingi wa kukuwekea hilo fungu ni kuonyesha kuwa ameongelewa kuumbwa mwanaume kwanza ndo akafata mwanamke.

Nikauliza, huyu mwanaume wa mwanzo 2 ni mtu tofauti na yule wa mwanzo 1.?

Kama sio basi kwanini tunaasume kuwa kwa mwanamke ni tofauti na si yule wa mwanzo 1? It just make sense kuwa ni rejea in details ya kilichotikea mwanzo moja na si uumbaji mpya. By the way, kama ni uumbaji mpya concept ya kuwa MUNGU ALIUMBA KWA SIKU 6 BASI INAKUWA BATILI.

kama ndiyo swali linakuja ni nani? Na kwanini hapakuwa na mtu wa kulima ardhi mpaka waumbwe wengine ilihali Adam alishaumbwa kwenye mwanzo 1?

Tukiassume mwanzo 2 ni hadithi ya uumbaji mpya, basi kunakuwa na maswali ambayo yanakataana na hadithi ya mwanzo 1. Na hili linaonekana bila hata kutumia akili kubwa ya uchambuzi wa kimaandiko. Lipo wazi kwa mtu yoyote kuliona.
 
Mweusi kubishania mambo yaliyoletwa na meli na majahazi ni matumizi mabaya ya muda. Alisikika mtu mmoja.
 
Ndo maaa nilikuambia, mambo ya akili kubwa kwenye jambo dogo na lililowazi ndo tatizo.

Tunajadili mwanzo 1 na 2 na uhusika katika uumbaji wa 1 na wa 2, ili tujue kama mwanzo 2 inamaanisha uumbaji wa 2 kama ulivyosema.

Mm sijatoka nje ya mwanzo 1 na 2. Na hoja yangu ya mwisho ni swali rahisi tu, mwanzo mbili imetaja vitu ambavyo havikuwepo, ambavyo unasema ndivyo vilivyoumbwa kwenye uumbaji wa 2, nikauliza kama si rejea ya mwanzo 1, kwanini hakuwepo mtu wa kulima na Adam alishaumbwa kwenye mwanzo 1?

So far, nadhani tukubali kutokukubaliana.
Maswali yote nimekujibu na kuhusu Utofauti wa Adam wote na uumbaji wote uliulizia Soma post no #126
 
Ndo nikakupa fungu linaloonyesha ameongelewa mwanaume kwanza kabla ya mwanamke.

Msingi wa kukuwekea hilo fungu ni kuonyesha kuwa ameongelewa kuumbwa mwanaume kwanza ndo akafata mwanamke.

Nikauliza, huyu mwanaume wa mwanzo 2 ni mtu tofauti na yule wa mwanzo 1.?

Kama sio basi kwanini tunaasume kuwa kwa mwanamke ni tofauti na si yule wa mwanzo 1? It just make sense kuwa ni rejea in details ya kilichotikea mwanzo moja na si uumbaji mpya. By the way, kama ni uumbaji mpya concept ya kuwa MUNGU ALIUMBA KWA SIKU 6 BASI INAKUWA BATILI.

kama ndiyo swali linakuja ni nani? Na kwanini hapakuwa na mtu wa kulima ardhi mpaka waumbwe wengine ilihali Adam alishaumbwa kwenye mwanzo 1?

Tukiassume mwanzo 2 ni hadithi ya uumbaji mpya, basi kunakuwa na maswali ambayo yanakataana na hadithi ya mwanzo 1. Na hili linaonekana bila hata kutumia akili kubwa ya uchambuzi wa kimaandiko. Lipo wazi kwa mtu yoyote kuliona.
Nimejibu Hizi Hoja zote soma #126
 
Ukisoma biblia ya kingereza inasema:

Genesis chapter 2:7
And the LORD GOD formed man of the dust of the ground, and breathed into his nostrils the breath of life, and a man became a living soul.

Ya kiswahili inasema.

BWANA MUNGU akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi,akampulizia puani pumzi ya uhai, mtu akawa nafsi hai.

HUYU ANAYEONGELEWA KUUMBWA HAPA NI NANI ZAIDI YA ADAM? NI TOFAUTI NA YULE ADAM WA MWANZO 1?

MWANZO 2 INAJIELEZA VIZURI, NI REJEA YA UUMBAJI WA MWANZO 1, SI UUMBAJI UPYA WA MWANADAMU/WANADAMU WENGINE.
Ndyo ni Tofauti tena sana soma #126
 
Adam hakuumbwa tena. Biblia ilikamilisha uumbaje wa mwanamke na mwanamume ndani ya siku 6 na siku ya saba MUNGU akapumzika ikawa imeisha hiyo.

Mwanzo 2 ni rejea. Inaelezea kilichotokea katika uumbaji wa mwanzo 1 in details na si uuambaji mwingine mpya. Ipo wazi mkuu.
Unasemaje Adam hakuumbwa tena?
Soma 1Wakorintho 15:45-50..
Pia ulimaliza soma #126
 
Unasemaje Adam hakuumbwa tena?
Soma 1Wakorintho 15:45-50..
Pia ulimaliza soma #126
Dokta nna swali nje ya mada kwanini Ciprofloxacin inatolewa hospitalini kwa ajali ya matibabu wakati haipo recommend na Madaktari wengi km zilivyo Dawa zingine?
 
Unasemaje Adam hakuumbwa tena?
Soma 1Wakorintho 15:45-50..
Pia ulimaliza soma #126
Mkuu, nilisoma hoja zako zote na ndo nikakueleza hapo ulitumia akili ya ziada isiyohitajika ikakutengenezea mambo ya kufikirika na ukayatengenezea logic ukayahalalisha.

Lakini ni kweli mwanzo 1 na 2 inamaanisha ule uchambuzi wako wa post namba 126?

Binafsi nasema hapana. Mwanzo 1 & 2 ni hadithi moja katika angle 2 tofauti.

Sababu, tukisema hoja zako ni sahihi na ndicho biblia ilichomaanisha basi tunasema biblia imedanganya kuhusu uumbaji kutumia siku 6.

Tukiishia hapa kwanza, tunakubaliana kwamba kwa uchambuzi wako biblia imesema uongo kuhusu siku za uumbaji kuwa 6 na ya saba MUNGU akapumzika?
 
Back
Top Bottom