Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

Adam asingemuacha, angekua nao wote tu.....ili dunia ichangamke zaidi ya hapa 😹, huku Lilith anamnyoosha Adam huku Eva anamtii huku mawifi na wakwe wanapelekeshwa na Lilith.
Jamani nimetamani turudi tu Eden kwakweli tukachangamshwe.
ina maana Adamu hakua akijua kusex propa? hakua akijua kitu? unaachaje mwanamke kisa anataka woman on top jamani na inavyonogaga😆✋
 
Nikifa MkeWangu Asiolewe 😆😆😆😆😆🙌🙌🙌 Id Ya kiwehu hii ..poyee..
Ujue kuna watu wengine wana amini kile anachokiamini yeye ndo sahihi kuliko nachoamini mimi. mfano ni kwenye hizi dini wapo waanaamini kuwa yesu ni mungu wengine hawaamini hivo. tukija kwenye mada kama wayahudi wanaamini kuwa lilith alikuwa first wife wa adamu na wana fundishana huko kwao na kuamini hivo kwaninin wewe upinge uite ni hadithi vipi kisa yona sio hadthi ile wakuu? kwa akiri ya kawaida bila kuwa na iamni za kidini unaweza amini hichi kitu kwetu?
 
Uongo. .

Biblia inasema katika mwanzo mbili mnayosema ni uumbaji wa pili hapakuwa na mtu wa kuilima ardhi,

Adam alikuwa wapi?
mwanzo 1:26-27. imebeba muktadha wote wa uumbaji sehemu ya kwanza.
mwanzo 2;18 uumbaji no2 hii iko wazi . kinachokusumbua wewe ni kukaririshwa tangu ukiwa mdogo hadi wa leo.

Binafsi huwa nikisoma mwanzo2:18... nagundua kuna maboresho mungu aliyafanya tena
 
Mwanzo 1 imeeleza zoezi lote la uuumbaji mpaka ukamilifu wake, na ikaongelea uumbaji wa mwanadamu in general. Kisha mwanzo 2:4 ni rejea ya huo uumbaji uliozungumzwa kwenye mwanzo moja in details. Mbona ipo wazi kabisa mkuu.

Ngoja nikuwekee hiyo mwanzo 2 halafu nikuonyeshe rejea ilipoanza:

2. "Basi mbingu na nchi zikakamilika, na jeshi lake lote. Na siku ya saba MUNGU akamaliza kazi yake yote aliyoifanya, akastarehe siku ya saba akaacha kufanya kazi yote aliyoifanya. MUNGU akaibarikia siku ya saba, akaitakasa sababu katika siku hiyo MUNGU alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya. Hivyo ndivyo vizazi vya mbingu na nchi zilipoumbwa.(HAPA BIBLIA IMEONYESHA UKAMILIFU WA UUMBAJI WA SIKU 7, BAADA YA HAPO HAPAKUWA NA UUMBAJI TENA, MUNGU ALIPUMZIKA)

SIku ile BWANA alipoziumba mbingu na nchi-
(HAPA SASA NDIPO REJEA YA UUMBAJI MWANZO 1 ILIPOANZA, NA UKIENDELEA KUSOMA ANAELEZEA UUMBAJI ULIVYOFANYIKA WA MWANAUME NA MWANAMKE, SIO KWAMBA ALIANZA TENA KAZI YA UUMBAJI, KAZI ILIFANYIKA KWA 7 DAYS IKAKAMILIKA)
Biblia kitabi kigumu sana ukikisoma kama historia

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom