Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ndo maaa nilikuambia, mambo ya akili kubwa kwenye jambo dogo na lililowazi ndo tatizo.Hivi unafahamu kama hata Biblia kuna maandiko yaliondolewa?
Bado unataka Refference kwenye Kitabu ambacho na chenyewe ni refference?
Tunajadili mwanzo 1 na 2 na uhusika katika uumbaji wa 1 na wa 2, ili tujue kama mwanzo 2 inamaanisha uumbaji wa 2 kama ulivyosema.
Mm sijatoka nje ya mwanzo 1 na 2. Na hoja yangu ya mwisho ni swali rahisi tu, mwanzo mbili imetaja vitu ambavyo havikuwepo, ambavyo unasema ndivyo vilivyoumbwa kwenye uumbaji wa 2, nikauliza kama si rejea ya mwanzo 1, kwanini hakuwepo mtu wa kulima na Adam alishaumbwa kwenye mwanzo 1?
So far, nadhani tukubali kutokukubaliana.