Greenish Island
Senior Member
- Feb 15, 2024
- 101
- 162
Nahitaji kamusiHaezi tokea. Maana ni muoga kama digidigi. 🤣. Sema ningekuwa kipande io ningemshow mwamba wa magari machimbo shazi ya ku enjoy nature freely na angedoro maskani tu hapo mbaudani
Tuone na wewe sura yako. Selfie na simba itapendezaPanaitwaje mkuu leo ndio day 2... tupo tunasubiri kuingia coz tulilala nje ya ifadhi..
View attachment 3057471
We kale mishkaki feri🤣Hongera kiongozi kwa kusapoti utalii wa ndani
Na mimi nitaiga subiri nipate mkopo
Huendi mbinguni hahahahGuiders wenu waoneshe picha watakupa jibu
Hongera sanaWakuu, wazee wa nature.
Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater.
View attachment 3057462View attachment 3057457
Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa.
View attachment 3057459
Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai.
View attachment 3057463
Pamoja na kwamba ni weekdays ila kuna raia wengi sana wa kigeni tukambiwa ni msimu wa "high season ".
Sio issue kubwa but ni experience nzuri.
Hahaha Mpeleke kitaa cha Picnic akapige moko lisusu na mawindo ya pundamiliaNampeleka waterfalls. Oldadai sijawahi kupaelewa na kule Kiserian yani hata pawe kiangazi vipi kuna baridi throughout.
Kama afya mgogoro asiendeUkitoka kaupande na mlima Kilimanjaro, hauto Jutia mkuu.
Mobile dunesShifting Sand Ni nini ??
Migomba na parachichi poriUkitoka hapo muambie Chaliifrancisco akupeleke kule oldadai ukashangae migomba
Kumbe chalii ushachomoka home?Siko gachustan arif niko kipande ya mbali kidizaini asee nasaka dough. Kipande io kusororeka ni adi labda late nov to dec siunajua tunakuja rudisha mrejesho kambini arif🤣
Yaani tukukopeshe ukafanye utalii wa ndani ? Tukutane wakati wa kulipa maana nimejua ulidanganya lengo la mkopoHongera kiongozi kwa kusapoti utalii wa ndani
Na mimi nitaiga subiri nipate mkopo
Acha ukuda basi dingiKumbe chalii ushachomoka home?
Unaenjoy kinyama asee hizo mahali ni vile life tu kuna maali utakiwi kuacha kuishi. Tumia fursaUpige picha za kutosha kwenye hii pointView attachment 3057632
Masai illiterate (ambao hawajasoma formal education)ni wagumu Sana KUELEWA na hata kuwaelewesha jamboo (vichwa vyao ni vigumu Kama jiwe)Wamasai ilikuwa hakuna namna zaidi ya kuwaondoa Hilo eneo ili lisiendelee kuharibiwa uasili wake.
Sema labda ni ile namna ya kuondolewa kwao hakukuwa kwa kueleweshana kwa upanda wake.
Nipepita sana Hilo eneo kwakweli linataka kukaa katika asili yake na ni urithi mkubwa wa hazina ya hifadhi.
Napendekeza shughuri za kijamii zote zihamishiwe maeneo mengine kwakuwa yapo.
Hata wachimba vito na madini wasiyaguse maeneo ya hifadhi kwa sasa hadi hapo patakapo onekana hakuna namna nyingine.
Utajiri wa nchi zetu za pembezoni unachangiwa kwa kiasi kikubwa na hifadhi zetu.
Ni vile TU kukosa muda wa kutosha kwa wengi wetu na majukumu ya ki Maisha..Wakuu, wazee wa nature.
Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater.
View attachment 3057462View attachment 3057457
Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa.
View attachment 3057459
Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai.
View attachment 3057463
Pamoja na kwamba ni weekdays ila kuna raia wengi sana wa kigeni tukambiwa ni msimu wa "high season ".
Sio issue kubwa but ni experience nzuri.