Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

naona umefika kwetu. dah mimi pamoja na kwetu sijawahi kufika maeneo kibao. ilikua kilimo kilimoo na mimi. nikaja dar nikawa fundi tofali.
 
Sijamuona twiga tu, nasikia hawapo. Ila nimependa swaga za ngiri. Pia kuna mahala kulikua na ugomvi wa kundi la simba na kundi la mbogo/nyati.

Simba wakaona isiwe tabu.
Enjoyy. Dar hamna mambo hayo 😂😂
Twiga replace na pundamilia. Wapo mpk kumwagika.
Twiga nenda Arusha NP
 
NI kweli Kuna wamasai wanaishi hapo?
 
Aisee poleni sana. Hiyo mitaa huwa napita tu. Mara chache nilikuwa naenda kambi ya fisi kwa binamu yangu.
Ndio iko ivo dingi. Kila maali ukifika asee inabidi kwanza ukutane na wajuba wa hiyo maali maana unaeza sanda bila kutarajia
 
Hongera kwako kufika huko kabla ya hao wanyama kupotea, maana muda mchache ujao patageuzwa eneo la mgodi, madini yakichimbwa kwa kasi ya hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…