Toeni Hela zenu kwenye Mabenki na mpesa hifadhini hela zenu wenyewe, anguko la uchumi limeingia

Mwambie Trump tunamuunga mkono kwa uamuzi wowote atakaochukua dhidi ya hii serikali haramu inayonuka damu.

Hii serikali haramu inatakiwa ipigwe international sanctions kutoka kila pembe ya dunia, kama ilivyofanyiwa serikali ya Apartheid, maana unyama tulioushuudia juzi hauna tofauti na ulioufanywa na serikali ya apartheid miaka hiyo.
 
Knowledge murua kabisa. Hapo chini ungemalizia kwa kuwaambia sasa watu wakishatoa wafanye nini ili wasi loose moja kwa moja? Bitcoin au Dollar?
 
Knowledge murua kabisa. Hapo chini ungemalizia kwa kuwaambia sasa watu wakishatoa wafanye nini ili wasi loose moja kwa moja? Bitcoin au Dollar?
Nunua Dola kutunza fedha zako..

Pia kununua Dola kwa wingi kutasaidia kuifanya Serikali ikose fedha za kigeni
 
Halafu rais masikini anajiropokea tu. Hajui kuwa kauli zake zina uzito. Kauli inaweza kuleta taharuki kwa watu. Rais anapaswa kuwa calculated na kuwa mwangalifu na kauli zake. Dah!

 
Hizi habari zenu zakukurupuka sijui mnazitoa wapi?😁😁😁
Anachojaribu kusema mtoa mada ni kill kilio cha Leo cha Rais kuwa nchi imepata doa kimataifa hivo tujuandae kukusanya mapato maana wahisani itakuwa ngumu kutoa hela kwa Yale yaliyotokea hapa karibuni. Kwa msingi huu ni kweli tutapata shida ya kiuchumi soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…