Toeni Hela zenu kwenye Mabenki na mpesa hifadhini hela zenu wenyewe, anguko la uchumi limeingia

Kodi,mikopo na misaada ya wahisani
 
Yani ukiskiza mambo ya mitandaoni.
Ukaangalia na BBC Unaweza dhani tuko SudanπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…kumbe wala maisha mitaani yanaendelea wengine tunazurula mpaka saizi kusaka ridhiki na hamna kilichobasilika...
aah aisee.. ogopa sana mtandao
 
Yani ukiskiza mambo ya mitandaoni.
Ukaangalia na BBC Unaweza dhani tuko SudanπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…kumbe wala maisha mitaani yanaendelea wengine tunazurula mpaka saizi kusaka ridhiki na hamna kilichobasilika...
aah aisee.. ogopa sana mtandao
Chawa
 
Haina mantiki kutoa fedha ukahifadhi ndani then uibiwe ,sijaona logic labda tuhifadhi kwa ajili ya D9 tukipigwa curfew tuwe na akiba ndani ya kuagiza boda akukuletee mazagazaga na kwa ajili wakizima internet ATMs hazifanyi kazi(labda kwa hapo)
Nasubiria kusikia mnakaza matako... endeleeni mkianza kutoa milio msije mkatolea humu
 
Damn
 
Anguko la uchumi na kutoa hela bank kuna mahusiano gani? Economics 101
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…