Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mtoa mada umepuyanga hata mwanamke naye aliumbwa kwa udongo, maana hata huo ubavu wa mwanaume ulitokana na udongo na hakuumbwa kwa ubavu pekee bali naye aliongezewa udongo wake, halafu pia siku hizi kuna wanawake wanawaza vitu vya maana na wanajua kufanya maamuzi kuliko wanaume baadhi
Hayo ya kusema wanawake ni inferior na hawawezi hiki wanaweza kile, ilitokana na kuwakandamiza na kuwafanya wasiwe na sauti, hivyo wanaume wakawa ndio wasemaji wao kwenye kila kitu
Lakini baada ya wanawake nao kupewa nafasi na kuwa na sauti sasa ndio tunaona hali halisi, kwamba tabia hazina jinsia na hakuna tabia ambayo ni common kwa watu wote wa jinsia fulani, lazima kuna exceptions
Na kuna tabia ambazo zimeonekana ni za wanawake kwa sababu tu ya aina ya lifestyle au mazingira ambayo walikuwa exposed nayo hapo zamani, ni kama wanaume walikuwa wanalazimisha kuwahold down wanawake halafu hapo hapo wanasema hawawezi, wakati hawakuwapa nafasi
Na hata katika kipindi hiki ambacho wamewapa nafasi bado wanawasakama, yani wakiteleza kidogo tu utasikia "tulisema sisi wanawake hawawezi" wakati hata wanaume wapo wanaovuruga vile vile ila hakuna anayesema wanaume wote hawawezi, yani kwa kifupi kuna kasumba ya kuwasakama wanawake wote kwa makosa wanayofanya baadhi ila hakuna anayewasakama wanaume wote kwa makosa wanayofanya baadhi