Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??

Nimempita miaka 8

Mara zote Mume unatakiwa kumzidi mkeo kuanzia miaka 5

Mkilingana umri, itafikia wakati mwenzio anafika menopause wewe bado unataka

Walau ukimzidi miaka 7 ama 10 yeye akifika menopause na wewe Mwanaume, unakuta huna jambo

Hata nguvu za kuchepuka unakuwa huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…