Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
( فَأَجَاءَهَا الْمَخَاضُ إِلَىٰ جِذْعِ النَّخْلَةِ قَالَتْ يَا لَيْتَنِي مِتُّ قَبْلَ هَٰذَا وَكُنتُ نَسْيًا مَّنسِيًّا )
مريم (23) Maryam
Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
Wapo tofauti somaMkuu, nilikuuliza swali... Naomba nirudie tena hapa:-
Ukiacha Maryam Mama yake Yesu... Kwenye historia ya Dunia hii, Je.,kuna Mwanamke mwingine aliyezaa mtoto akiwa katika hali ya Ubikra?
Swali lina majibu ya a na b.....
a. Hapana.
b. Ndiyo
Hilo swali hapo juu ndiyo Lina point ya msingi,... Huko kwingine ni kuzunguka na kuleta ushabiki ambao hauna maana kabisa.
Uniambie biblia ya kiarabu ilikuja mwaka gani na uweke ushahidi.
Hiyo video hapo papa akimsahihisha Netanyahau alipokuwa Israel lugha aliyokuwa anaongea Isa ambacho kiaramaic. Kisha utaniambia hilo jina la kiaramaic kama yanaendana na hayo majina uliyotoa.
Msiwe mazezeta. Tukusikilize wewe au tuwasikilize wenye vitabu wanawaotolea version.
Hiyo biblia ya kingereza tu imekuja juzi juzi tukiacha hiyo ya kiarabu.
Ungesema labda kwa upande wa biblia imemueleza kiukweli kuliko sehemu nyingine.
Kusema ishu ya majina nitakuona una matatizo ya ubongo. Kwa sababu wamepita wengi miaka na miaka. Hiyo Yesu, Jesus ni majina walioamua huko Vatican.
Msikilize Nyetahau na Pope wahusika wenyewe wa huko lugha yake kisha ugoogle kiaramaic ujionee.
Uko sawa kabisa...Yesu hajawahi kuwa Issa na Issa hajawahi kuwa Yesu.....Yesu ni Yesu tu,au Emmanuel.....Huyo Issa nae ni mwingine
Haya sawa... Upo sahihi kabisa Issa na Yesu ni watu wawili tofauti, na Bikra Mariam wa Issa& Bikra Mariam wa Yesu ni watu wawili tofauti....Welldone👏🏼Mamaake ISSA mhusika katika Quran
Na mamaake Yesu mhusika katika Injili, na Biblia.
Dunia imeripoti Wamama hao Wawili
Jesus | Isa |
| Virgin born; conceived by Holy Spirit (Isa. 7:14; Matt. 1:18-23; Luke 1:35). | Virgin born; created in womb of Mary by Allah; creation similar to Adam’s (Surah 3:59; 19:20-22; 21:91). |
| Son of God (Matt. 3:17; John 10:30). | Son of Mary (called by this name 23 times in Islamic scriptures; for example, Surah 34:45).Allah is not a father and has no sons or daughters; to say so is shirk, the unpardonable sin (see Surah 19:88-92; 112:3). |
| Eternal (John 8:58; John 17:5). | Created from dust, as Adam was (Surah 3:59). |
| Co-equal, co-eternal with the Father, Holy Spirit (John 1:1-14; Col. 1:15-20; Phil. 2:5-11; Heb. 1:1-13). | Only a man, a prophet. It is shirk, the unpardonable sin, to ascribe deity to Jesus. Allah is not Triune (Surah 4:171; 5:73, 116). |
| God (John 1:1; John 10:30). | Not God (Surah 5:17, 72-3, 75). Jesus was an apostle of Allah (Surah 4:171); a messenger only (Surah 5:75; 19:30). |
| Greater than any man (Matt. 12:42). | A great prophet; not as great as Muhammad. Jesus was a worshiper of Allah (Surah 3:51; 9:30). |
| Messiah / Christ (Matt. 16:16-7; John 20:31). | Messiah only to the Jews; will proclaim Islam and establish it on the earth at his return. |
| The way, truth, and life (John 14:6). | Preached the truth (of Islam). |
| Savior of the world (Luke 2:11; John 4:42; Acts 5:31). | Prophet of Allah; human messenger. |
| Sinless (2 Cor. 5:21; Heb. 4:15). | Righteous; obedient to Allah, as all prophets were (Surah 3:45, 49; 4:158). |
Jesus | Isa |
| Became flesh, retaining His deity; adding humanity (John 1:14). | Was only flesh. Created from dust by Allah (Surah 3:59). |
| Called God His Father (John 5:18; 8:54; 20:17). | Called Allah his Lord and worshiped him (Surah 5:75). |
| Performed miracles to demonstrate His authority as Messiah and to provide a foretaste of the kingdom of heaven (John 2:11; Acts 2:22). | Performed miracles as “signs from the Lord” (Surah 3:49; 5:110). |
| Died on the cross for our sins (1 Cor. 15:3; 2 Cor. 5:21). | Did not die on the cross. Opinions vary as to what happened to him (he hid while one of his companions died in his place; Allah made Judas Iscariot to look like Jesus and take his place; Simon of Cyrene took Jesus’ place). Atonement for sins not necessary (Surah 17:15; 35:18). |
| Rose physically from the dead (Matt. 12:38-40; Rom. 1:4; 1 Cor. 15:4-8; 1 Peter 1:18-21). | Did not die. |
| Ascended into heaven after His resurrection and is seated at the Father’s right hand (Matt. 26:64; Mark 16:19; Acts 7:55-6). | Called into heaven by Allah at the time Christians say he was crucified. Opinions vary as to whether he remains in heaven today or was sent back to earth, where he died a natural death. |
| Will return physically and visibly once day to establish His earthly kingdom (Matt. 24:30-1; Rev. 19:11-21). | Will return one day to proclaim Islam and establish Islam on earth. Will defeat Antichrist, kill all pigs, break all crosses, and establish 1,000 years of righteousness. Some expand on this and say he will then die and be buried beside Muhammad. |
Jesus | Isa |
| Sin is humanity’s problem and results in spiritual and physical death (Rom. 3:10, 23; 5:12; 6:23). | People are not fallen by nature. Sin is not humanity’s problem; ignorance of the teachings of Islam is the problem. |
| Christ’s finished work on the cross provides forgiveness of sin and eternal life by God’s grace through faith (John 3:16; 5:24; Rom. 4:4-5; Eph. 2:8-9; Titus 3:5-7). | Allah would never let his prophet die in such a way. Forgiveness of sins and eternal life are achieved by submitting to Allah and performing good deeds; atonement is not needed (Surah 11:114; 17:15; 35:18). |
| Jesus is the only way of salvation (John 14:6; Rom. 3:24-26). | Jesus was only a man – a good man, a prophet, and a worshiper of Allah (Surah 3:51; 19:30). |
| Salvation is offered freely to all (Rom. 10:13). | Allah forgives whom he pleases and punishes whom he pleases; from mankind’s perspective, our eternal destiny is fatalistically determined (Surah 11:114). |
| Believers are eternally secure based on the promise of God to save us and the power of God to keep us saved (John 5:24; 10:28; 1 Peter 1:3-5). | Jihad is the only eternal security (Surah 3:157). |
| God deals graciously with people; worship is never forced (Matt. 11:28-30). | Worship may be forced upon people (Surah 2:193; 9:29). |
Wewe jina lako ni Robert Heriel Mtibeli .Wanaweza wakajitokeza watu kadhaa wakasema wewe ni mtoto wao na wakalitamka jina lako tofauti kidogo.Tukitaka tukujue uhalisia wako basi tunaweza tukakujua kwa kuwasikiliza mama na baba yako na watakavyotoa alama pengine mpaka zilizojificha.Bila kutumia masomo ya ukalimani tutakujua wewe ni nani Hatutojali wale watu wengine wamekuita vipi.Unaelimu yoyote ya Isimu ya Lugha?
Tafsiri na ukalimani nayo uliwahi kupata Elimu yake?
Yesu Kiarabu sio Isa
Wala issa Kwa Kiswahili sio Yesu.
Maryam aliyeongelewa hapo ni Miriam dadake Musa. Kuna upotoshaji mkubwa wa makusudi ulifanywa Ili kuwagombanisha wenye Imani katika KRISTO na waarabu Waamini Mungu mmoja.( فَأَجَاءَهَا الْمَخَاضُ إِلَىٰ جِذْعِ النَّخْلَةِ قَالَتْ يَا لَيْتَنِي مِتُّ قَبْلَ هَٰذَا وَكُنتُ نَسْيًا مَّنسِيًّا )
مريم (23) Maryam
Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
Wewe jina lako ni Robert Heriel Mtibeli .Wanaweza wakajitokeza watu kadhaa wakasema wewe ni mtoto wao na wakalitamka jina lako tofauti kidogo.Tukitaka tukujue uhalisia wako basi tunaweza tukakujua kwa kuwasikiliza mama na baba yako na watakavyotoa alama pengine mpaka zilizojificha.Bila kutumia masomo ya ukalimani tutakujua wewe ni nani Hatutojali wale watu wengine wamekuita vipi.
Sijui kwa nini Waislamu ndio huwa wanalazimisha Yesu ndio awe Issa. Lakini vitu viwili tofauti kabisa.
Sasa mimi nimeshika hiki nilichonacho ww unanambia dada ake Musa!!!Maryam aliyeongelewa hapo ni Miriam dadake Musa. Kuna upotoshaji mkubwa wa makusudi ulifanywa Ili kuwagombanisha wenye Imani katika KRISTO na waarabu Waamini Mungu mmoja.
Wameenda mbali saiz wanaedit quraan wamemweka Hadi rihhana Eti ana surat yake humo.
BIBLIA pia wanaedit na itatokea mpya.
Huo ni mpango wa Mpinga kristo kupitisha maandiko.
Shika ulicho nacho asije shetani akakunyanganya.
Sasa agano jipya na la kale ni sawa?Sijajua wanalenga Kupata nini.
Alafu wengi wamedanganywa kuwa sijui Biblia imebadilishwa, ukiambiwa wailete ambayo haijabadilishwa wanabaki kukutolea macho[emoji23][emoji23]
Ww ni mjinga huna hoja za kuleta unaanza kuleta porojoKwa hiyo MTU akisema ISSA alizaliwa Tandale Kwa mtogole atakuwa sahihi?
Sasa agano jipya na la kale ni sawa?
Mbona hamfikirii vitu vidogo tu hivi jmni
Alipo toka bikira maria wa Isa ni mbingu na nchi na bikira maria wa YesuBikra Mariam wa Issa& Bikra Mariam wa Yesu ni watu wawili tofauti
Ww ni mjinga huna hoja za kuleta unaanza kuleta porojo
Kijana nimeshakujua huna hojaUnajua kwenye Biblia kuna maagano mangapi? Unaweza taja mawili au Matatu unayoyajua.
Unajua Kwa nini inaitwa agano la Kale na agano jipya? Lipi ni la Kale na lipi ni jipya?
Nafikiri kwenye hayo Matatu utakayoyataja basi mojawapo litakuwa sehemu ya jibu hapa.
Karibu