Bwana yesu Kristo NI MUNGU kasome isaya 9:6Yesu/Isa hana baba mimba yake imeingia Kwa uwezo wa Mungu
Na ndio maana hapa anasema Baba yake ndio baba yetu ambaye ni Mungu na Mungu wake ndio Mungu wetu kama hauliamini hili andiko sema
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu
Kuhusu Alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo hapo shida ni umbumbu wenu kuhusu maandiko ya Mungu roho zote Mungu aliziumba siku Moja hata wewe roho yako ilikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo hata binaadam watakao zawaliwa miaka laki Moja ijayo roho zao zipo Kwa Mungu ila mda wao wa kuja duniani ndio bado haujafika
Labda kwa kukusaidia kama hujui,Quruani imekuja kuisahihisha Biblia, Wakati biblia imeandikwa kwa stairi ya kukusanya hadithi kwa stairi ya kusimuliana kutoka kizazi kilichokuwa hakijui kuandika mpaka kizazi kilichojua kuandi maana yake imepita kwa watu wengi,Quran imeandikwa na watu na uandishi wake ulikuwa na makosa mengi sana. Tukisema tuamgalie usahihi wa kihistoria,kisayansi na kinabii hakuna mtu atakayebisha usahihi wa Bible na upungufu wa Quran.
Kwa maana hiyo basi kama Biblia zaidi ya mara 100 inamtaja Yesu kama Mungu hakuna namna huyu jamaa asiwe Mungu. Na hata hiyo Quran sometimes inajicontradict na kumtambua Yesu kama Mungu,iko hivyo unless tukubaliane na mtoa mada kuwa Issa sio Yesu Kristu.
Haujanielewa Kwa sababu Kuna comments zangu haujasomaTukuelewe vipi? Mara Yesu siyo Isana mara Yesu ni Isa
Nilichokujibu Mimi NI kwamba Yesu Kristo ni MUNGU. Na andiko nimekupa, ukitaka elimu sasa ndo uwende kwenye ulimwengu ambapo kunapatikana elimu. Ila yesu Kristo NI MUNGU na inabaki kua hivyoSasa sijui ulichojibu ni nini?kiukweli wakristo wengi elimu yao ya kujua mambo ya Dini ni ndogo sana,ndiyo maana wanadanganywa kirahisi na kubaki kuamini miujiza
Siokweliissa ni jina na yesu ni neno
ukifuatilia kwa makini kila jamii ama nchi inajina lake. kwa mfno. Jesus, Yesu lkn alikiwa na jina lake pia ni lipi?
Ety KAFIRI anajifariji kwa kunitukana hya endelea KAFIRI mbobeziAcha kupotosha wewe kafiri…Duniani dini ni moja tu, Uislam
Qaffir ww utaenda motoni,umefanya shirkEty KAFIRI anajifariji kwa kunitukana hya endelea KAFIRI mbobezi
Luka 20:41-47 BHNUmenena ila woote hao kama unavotaka kuwatenganisha hakuna kati yao aliewahi sema kwa mdomo wake sio mtu amsemee,mimi ni Mungu mniabudie.
Hicho kitabu Cha Injili mnacho au kipo wapi tukisome ?Mathayo ni nani? injili ni kitabu alichoteremshiwa nabii issa alayhi ssalaam mathayo ni nani tena?.
Nabii issa ndiye alikuja na injili huyo mathayo mimi simfahamu.
Wakikujibu nakuwa muislamuKwa mujibu wa Koran yakub alikpataje jina la Israel? Na jina Israel Lina maana gani?
Umemaliza mjadala.Umefafanua vizuri.Haujanielewa Kwa sababu Kuna comments zangu haujasoma
Soma hapo utaelewa nilicho amanisha
Katika bibilia Kuna Yesu wawili
1) YESU AMBAYE NDIO ISA
UTABIRI WA MANABII KUHUSU UJIO WA YESU/ ISA
Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.
YESU / ISA ANATHIBITISHA UTABIRI UMETIMIA
Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
NABII MUHAMMAD KUPITIA QURAN ANAPIGILIA MSUMARI KUWA YESU / ISA ALITUMWA NA MUNGU KAMA MTUME KWA WANA WA ISRAEL
Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad!
2) YESU AMBAYE SIO ISA ILA NI GALASA LILILOTENGENEZWA NA PAULO NA NDIO YESU WA WAKRISTO
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu
Manabii 3 wa Mungu maelezo Yao yanafana kuhusu Yesu/Isa
Huyo Yesu wa Paulo ndio wenu na hilo ni GALASA ambalo halijawahi kuwepo hapa duniani
Mariamu alikuwa MYAHUDI wa kabila la Yuda.Kwani Mariamu alikuwa na dini gani ?? na haruni alikuwa na dini gani ?? tuanzie hapa
Kosa langu ni nini wakati we umequote Biblia ikisema Yesu akilia msalabani ?Mtanziko!!.. abracadabra siyo!!..yeah,ndo Imani yenu ilivyo,ukiichimba kidogo tu sharti upate kizunguzungu..ndiyo maana wazungu wameachana na dini wanasema hakuna Mungu maana vitu havieleweki...endelea kujificha kwenye hicho kichaka ulichoamua kujificha badala ya kujibu hoja
Mm nakujibu hiviLabda nikuulize swali moja dogo sana,hata mtoto wa chekechea anaweza kujibu, kama Yesu ni Mungu, je Mama yake bikira Maria wakati akiwa mdogo alikuwa anamuitaje?
Na kama Yesu akiwa ni mwana wa Mungu, je bikira Maria Mungu atamuitaje? Ni hayo machache tu, ukishinndwa kujibu muombe mwanao akusaidie
Nahisi nikiendelea kukujibu nitajiaibisha bureQaffir ww utaenda motoni,umefanya shirk
Issa hakusulubiwa,hakuuliwa,hakudhihakiwa,hakufa,hakuzikwa,alipaa kwenda mbinguni,:yupo hai.Alimuomba Mungu wake,wasimuuwe,wale wsbaya wake,mmoja akafananishwa na Issa,ndio wakamsulubu.Kosa langu ni nini wakati we umequote Biblia ikisema Yesu akilia msalabani ?
Kama ingekuwa Imani ya hovyo mngeacha kuquote kutoka kwenye Biblia mkastick na Qur'an tu.
Maana Yesu wa ndani ya Biblia ni tofauti na Isa so hamna Mamlaka ya KUMFANANISHA Wala kutumia Biblia kama reference ya KUMFANANISHA.
Weka andiko linalosema tulikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepoKuhusu Alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo hapo shida ni umbumbu wenu kuhusu maandiko ya Mungu roho zote Mungu aliziumba siku Moja hata wewe roho yako ilikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo hata binaadam watakao zawaliwa miaka laki Moja ijayo roho zao zipo Kwa Mungu ila mda wao wa kuja duniani ndio bado haujafika[/B]
Nawewe una aibu?Nahisi nikiendelea kukujibu nitajiaibisha bure
Kwaio kwaheri