Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
UKOO WA YESU


Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu.


Wanatoka kutoka koo takatifu.


Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:


A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).


B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29)


Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.
Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.
Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:


1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.


Na kama Wakristo mnang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi mjuwe kwamba Biblia inasema:


“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).


Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.


Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnategemea nini?
Nipe sura au aya ya Koran unaomtaja Yesu
 
Luka 20:41-47 BHN

Yesu akawauliza, “Yasemekanaje kwamba Kristo ni mwana wa Daudi? Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia mpaka niwaweke maadui zako kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.’ Ikiwa Daudi anamwita yeye, ‘Bwana,’ basi, atakuwaje mwanawe?”
Ulitaka kusema nini bro,
 
Tumekusikia,

Sasa jibu swali

Kwani Mariamu alikuwa na dini gani ?? na haruni alikuwa na dini gani ?? tuanzie hapa
Lishajibiwa huko juu, Neno Uyahudi/Jewish ilianza kutumika kipindi Cha Waajemi walivyotawala na sio kipindi Cha Haruni.
Haruni alikuwa Mwebrania aliyemuabudu YHWH, dini ya WAEBRANIA .
Mariamu alikuwa kwnye dini ya KIYAHUDI akimuabudu YHWH.
HAWAKUWAHI KUWA WAISLAMU
 
Siyo ya kijinga,biblia ipo miaka mingi kabla yesu hahazaliwa,ni kitabu Cha wayahudi,neno biblia ni la kigiriki,ajabu kanisa linajimilikisha
Siwezi kukujibu maana Biblia ni ileile, kawaulize Wayahudi.
Nilitaka kujua kuwa Qur'an imeandikwa na nani?
Ndo nitakujibu kuwa Biblia imeandikwa na nani?
 
Elimu pana sana ndugu yangu, wengine tumefundishwa hata jinsi mtu akifa anakuwaje na hata maisha ya ndani ya kaburi yanakuwaje. Je wewe unalijua hilo?
Ndio maana mkifa mnakamuliwa mavi muingie peponi wasafi.

Faking disgusting

Pathetic human beings
 
1)YESU AMBAYE NDIO ISA

UTABIRI WA MANABII KUHUSU UJIO WA YESU/ ISA

Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.

YESU / ISA ANATHIBITISHA UTABIRI UMETIMIA

Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

NABII MUHAMMAD KUPITIA QURAN ANAPIGILIA MSUMARI KUWA YESU / ISA ALITUMWA NA MUNGU KAMA MTUME KWA WANA WA ISRAEL

Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad!

2) YESU AMBAYE SIO ISA ILA NI GALASA LILILOTENGENEZWA NA PAULO NA NDIO YESU WA WAKRISTO

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu


Hayo maelezo yako yote yanamuhusu huyo Yesu wa Paulo na ndio Yesu wa wakristo na hilo ni GALASA ambalo halijawahi kuwepo hapa duniani

Au unataka kuniambia hao Yesu wawili hapo juu wanafanana

Kichwani Kuna maharage humo!
Hii ni Biblia ya Kiarabu Kuna Jina issa hapo??
[emoji116][emoji116]
تيطس 2:13
نتطلع إلى الأمل المبارك وإعلانات مجد المسيح يسوع ، الإله العظيم ومخلصنا

natatalae 'iilaa al'amal almubarak wa'iielanat majd almasih yasue , al'iilah aleazim wamukhalisuna

tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu

Unaambiwa muham mad Kafa bila kutamka Jina Tissue!
Angetamka tu Yassue Angepona na mapepo yangemtoka!
Kabakia anauma ulimi issa issa I have... [emoji56][emoji15][emoji12]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
WATU WENYE AKILI WANAAMINI MANENO ORIGINAL YA MUNGU

Quran 2:2

Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,

2:3

Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.

2:4

Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo.

2:5

Hao wapo juu ya uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio walio fanikiwa


WATU WASIO NA AKILI WANAAMINI MANENO YA MUNGU YALIO CHAKACHULIWA

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,


Yeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
KUROGWA KWAKE MUHAMMAD,


Amesema Mwanaisha Mkewe Mtume kuwa "Yahudi Mmoja aitwaye Labiid bin Al'answan alimroga Mtume Muhammad, ikawa Mtume baadhi ya Nyakati huchanganyikiwa na kuanza kuita Ovyo ovyo.
(Sahih Muslim J. 4 uk. 38-39)

YAANI INA MAANA MUNGU ALIKOSA MTU WA KUTUMA MPAKA ATUME MUHAMMAD ALIYECHEWA NA MASHETANI?



HUU NI MSIBA MKUBWA SANA KWA WAISLAM, MAANA SASA TUNAFAHAMU KUWA MUHAMMAD SIO TU ALIZALIWA NA MASHETANI BALI ALIONGEZEWA MASHETANI KWA KUROGWA.



Ingawa hakuna aya au hadith inayo sema kuwa Muhammad alitolewa Mashetani, hivyo sio kosa kukiri kuwa Muhammad alikufa akiwa na Mashetani ndani ya nyoyo yake na hivyo mwisho wake ni Jehannam ya moto.

Msiba ukaendelea baadae, sasa na Mwandishi wa Quran na yeye kapagawa na Mashetani.



Jamani, hivi, kwanini Waislam hawasomi vitabu vyao?

KUMBE ALIYEANDIKA QURAN ALIKUWA NA SHETANI?

SOMA:



Mtu wa Awali, aliyejifundisha kusoma na kuandika katika Mji wa Makka alikuwa Bwana Harb bin Umayya-babu yake Bwana Muawiya. Alijifunza kwa watu wa Yaman, na yeye akaja kuwafundisha waliotaka katika mji wa Makka.



Wakati Mtume alipopata utume walikuwako watu 6 tu katika Makka waliokuwa wakijiua kuandika. Wa 4 katika yao waliingia katika Uislamu, wakawa ndiyo waandikaji "Wahyi" (aya za Qur'an), watu hao walikuwa ni Sayyidna Abubakar. Sayydna Umar, Sayyidna Uthman na Sayyidna Ali. (Kitabu cha Maisha ya Nabii Muhammad uk. 8,na Sheiky A.Falsy)



SAYYIDNA ABUBAKAR,
Abubakar, Anasema: "Hakika mimi ninae shetani hunifikia mara kwa mara, basi wakati wowote atakaponifikia muniepuke" (Tabaqatul Kubra, J. 3 Uk. 212)

SASA KAMA "QURAN" KILIANDIKWA NA MTU ALIYEKUWA NA SHETANI, KWA NINI TUSIKUBALI KUWA NI AYA ZA SHETANI?



Ndugu msomaji, nakusihi uwe makini na Uislam maana hakuna jema kule zaidi ya Mashetani kila kona. Kuanzia Muhammad, Quran mpaka Allah wao, wote wamethibitisha kuwa Shetani ndio aliye kwenye nyoyo zao.

Sasa kwanini ufuate Shetani wakati Mungu Mkuu yupo na anakupenda?



YESU NDIO NJIA PKEE YA WOKOVU. ALLAH SIO NJIA. MUHAMMAD SIO NJIA. QURAN SIO NJIA.
 
Siyo ya kijinga,biblia ipo miaka mingi kabla yesu hahazaliwa,ni kitabu Cha wayahudi,neno biblia ni la kigiriki,ajabu kanisa linajimilikisha
Tatizo hamjui kusoma!
[emoji1370][emoji1370]
هُوَ الَّذِي بَعَثَ فِي الْأُمِّيِّينَ رَسُولًا مِّنْهُمْ يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِهِ وَيُزَكِّيهِمْ وَيُعَلِّمُهُمُ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَإِن كَانُوا مِن قَبْلُ لَفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ

[ AL - JUMUA' - 2 ]
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Siwezi kukujibu maana Biblia ni ileile, kawaulize Wayahudi.
Nilitaka kujua kuwa Qur'an imeandikwa na nani?
Ndo nitakujibu kuwa Biblia imeandikwa na nani?
Mimi sihitaji wewe unijibu ili nijue biblia imeandikwa na nani sababu najua imeandikwa na nani na ni kitabu Cha. nani tangu lini,Mimi nilitaka wewe upekue unue biblia kitabu Cha nani
 
Tatizo hamjui kusoma!
[emoji1370][emoji1370]
هُوَ الَّذِي بَعَثَ فِي الْأُمِّيِّينَ رَسُولًا مِّنْهُمْ يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِهِ وَيُزَكِّيهِمْ وَيُعَلِّمُهُمُ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَإِن كَانُوا مِن قَبْلُ لَفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ

[ AL - JUMUA' - 2 ]
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Wewe nlishakwambia kwamba kichwani una togwa tu..Sasa hiyo Aya inahusika nini!?
 
.biblia Huwa inafanyiwa renovation Kila baada ya muda Fulani ili kuendana na wakati .je unadhani kwa kinacho badilishwa mtakuta Kuna mistari inayofanana kuhusu yesu na isa ???


Wazungu wajanja wajanja mara wamekuja na agano la kale mara agano jipya ili kuzidi kuweka TOFAUTI na kuwachanganya wafuasi WA mchungaji mashimo.


Sikilizeni ndugu zangu ,acheni kuuma uma maneno bwana

Yesu ndio huyo huyo NABII isaa mwana WA mariamu msilete kuchezea watu akili kama NABII Mackenzie WA Kenya.


Tumieni hata akili basi sio Kila kitu mnataka kuleta ubabaishaji.
 
Mm nakujibu hivi

Luka 20:41-47 BHN

Yesu akawauliza, “

Yasemekanaje kwamba Kristo ni mwana wa Daudi? Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia mpaka niwaweke maadui zako kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.’ Ikiwa Daudi anamwita yeye, ‘Bwana,’ basi, atakuwaje mwanawe?” Yesu aliwaambia wanafunzi wake mbele ya watu wote, “
Hujajibu swali nililokuuliza, mwambie mwanao akusaidie
 
Uliko okota hií card ya clinic mwambie ajiunge Jf atapewa daawa muafaka kulingana na maradhi yake!

Kama hujui quran inasema Mungu ni WA DHAHIRI NA WA SIRI!
[emoji116][emoji116]
هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ

[ AL -H'ADIID - 3 ]
Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu.

Sasa jiulize wa DHAHIRI kivipi na SIRI kivipi!

God becoming man in the body of Jesus is one of the most idolatrous and absurd doctrines fabricated by the Christians. For it suggests that God, the Creator of everything, Who controls everything, suddenly becomes the “created” - the Omnipotent One becomes frail, flesh and blood, subject to the very laws He created.

Such a concept is blasphemy at the highest degree, for with such words, man haughtily ignores his fear of G-d commanded in the Torah, and severely cripples his estimation He who is exalted above all else. It is man, speaking about that which he has no knowledge at all – the unknowable God.

This is an outright denial of what God told Moses, “You can not know me while you live.” God told Moses that you cannot possess any possible concept of Me.

Man is inherently limited in this respect. Man perceives God, as much as a blind person perceives light. But this foolish Christian doctrine does not agree with God, and suggest that man can in fact know what God is, so much so, that the Christians perpetrate a lie that God corporified Himself, and formed Himself into a Man Jesus.

But we must contemplate God’s own words: God said that even the greatest prophet, Moses, could not know Him. Therefore, any doctrine such as this, which criticizes God, denies God’s own words, and assumes things about God, is false.

This is man at his lowest. It is man projecting his infantile, idolatrous fantasies onto reality, forcing the unknowable Creator into some tangible form for man’s weak emotions to attach to. Discussing this Christian doctrine that God became man, Rabbi Reuven Mann directed me to this following source: the Prophet Isaiah says, (40:25) “And unto who shall you equate Me that I will be similar, says God.”
God says that it is impossible to equate Him to anything. Therefore, Christianity’s crime, suggesting God is in anyway equated to anything, i.e., man, and more so that He could even possibility BE man, is such a tragic flaw, and an outright denial of God’s words.

Rabbi Mann also referred me to the following quote of Maimonides “Guide for the Perplexed”, Book III, Chap. XV:
“That which is impossible has a permanent and constant property, which is not the result of some agent, and cannot in any way change, and consequently we do not ascribe to God the power of doing what is impossible. No thinking man denies the truth of this maxim; none ignore it”

“Likewise it is impossible that God should produce a being like Himself, or annihilate, corporify, (make Himself physical) or change Himself. The power of God is not assumed to extend to any of these impossibilities.”
“…there are things which are impossible, whose existence cannot be admitted, and whose creation is excluded from the power of God, and the assumption that God does not change their nature does not imply weakness in God, or a limit to His power.”

We see that God, and His true servants, Isaiah and Maimonides, attest to the fact that God cannot “do all” as children imagine. However, this Christian doctrine seems to follow a child’s “superman” emotion, and not logic. They feel all that may be imagined (viz., God becoming man) is possible.

This is the lesson: do not live in the world of imagination, but in God’s world of reality, where all ideas are pleasant, sensible, and appeal to our minds. We need not force faulty interpretations into God’s words, like when He says He is One, and Christianity says He is a Trinity. Such an approach, where God’s words are distorted to offer imagined support for Christian doctrine is not the result of objective study or clear thinking.

God becoming man is but another of man’s fantasies leading him, when the opposite is what God demands, that we deny any reality to our fantasies, and follow reality alone
 
Nipe sura au aya ya Koran unaomtaja Yesu

Katika Quran mtu huyo Yesu hayumo kwani katika biblia ameandikwa kuwa amezaliwa kutokana na ukoo wa zinaa , na kwa mujibu wa Biblia hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu

kwa kukuongezea

Jesus' Original Name:


Prophet Jesus' original name was Eesa, as this is also his Islamic name.

Even in Latin, it is Iesu, and in Greek it is Iesus. There is also a great deal of evidence that Jesus spoke and preached in Arabic.

Not only that, but Greek wasn't even that popular in Palestine.

Islam's claims are very strongly supported.

See proofs below.

In Hebrew, Asa (pronounced as EESA) means doctor or healer: "Asa is a given name in several parts of the world.

In English, the usual pronunciation is /ˈeɪsə/ or /ˈeɪzə/......Asa: a Hebrew name meaning healer and/or physician (Ase)." (Source Asa (name) - Wikipedia )


Jesus' miracles were almost entirely medical ones, i.e., healing the sick. So it makes perfect sense that people used to call the Messiah, Eesa (ˈeɪsə), because of his miraculous healing powers. The Jews pronounce the name as Eesa (ˈeɪsə):
 
Lishajibiwa huko juu, Neno Uyahudi/Jewish ilianza kutumika kipindi Cha Waajemi walivyotawala na sio kipindi Cha Haruni.
Haruni alikuwa Mwebrania aliyemuabudu YHWH, dini ya WAEBRANIA .
Mariamu alikuwa kwnye dini ya KIYAHUDI akimuabudu YHWH.
HAWAKUWAHI KUWA WAISLAMU


Lete ushahidi wa kuwa Kiyahudi ni dini
 
Kosa langu ni nini wakati we umequote Biblia ikisema Yesu akilia msalabani ?
Kama ingekuwa Imani ya hovyo mngeacha kuquote kutoka kwenye Biblia mkastick na Qur'an tu.
Maana Yesu wa ndani ya Biblia ni tofauti na Isa so hamna Mamlaka ya KUMFANANISHA Wala kutumia Biblia kama reference ya KUMFANANISHA.

Wanapatawapi justification ya kuitumia biblia ambayo wanadai imechakachuliwa kama reference,tukisema wafuasi wa mudi ni vilaza tunamaanisha.
 
Back
Top Bottom