-Naomba andiko la Koran Isa aliomba asisulubiwe na maombi yake yakapokelewaWatu wawili tofauti kweli,kwasababu Issa ,aliomba kwa Mungu wake,amuokoe asiuliwe,Mungu akapokea maombi yake,akaletwa mtu anayefanana na yeye,ndio huyo aliyesulubiwa,mtu huo alikuwa miongoni.mwa wale wabaya wake,.
Uwe unafichaga ujinga wako!Haujanielewa Kwa sababu Kuna comments zangu haujasoma
Soma hapo utaelewa nilicho amanisha
Katika bibilia Kuna Yesu wawili
1) YESU AMBAYE NDIO ISA
UTABIRI WA MANABII KUHUSU UJIO WA YESU/ ISA
Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.
YESU / ISA ANATHIBITISHA UTABIRI UMETIMIA
Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
NABII MUHAMMAD KUPITIA QURAN ANAPIGILIA MSUMARI KUWA YESU / ISA ALITUMWA NA MUNGU KAMA MTUME KWA WANA WA ISRAEL
Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad!
2) YESU AMBAYE SIO ISA ILA NI GALASA LILILOTENGENEZWA NA PAULO NA NDIO YESU WA WAKRISTO
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu
Manabii 3 wa Mungu maelezo Yao yanafana kuhusu Yesu/Isa
Huyo Yesu wa Paulo ndio wenu na hilo ni GALASA ambalo halijawahi kuwepo hapa duniani
Yesu amefufuliwa , Yuko hai umesahau.Issa hakusulubiwa,hakuuliwa,hakudhihakiwa,hakufa,hakuzikwa,alipaa kwenda mbinguni,:yupo hai.Alimuomba Mungu wake,wasimuuwe,wale wsbaya wake,mmoja akafananishwa na Issa,ndio wakamsulubu.
Yesu alikamatwa,akadhihakiwa,akasulubiwa,akauliwa,akazikwa,alimuomba Mungu wake,kikombe hiki kimuepuke,lakini hakujibiwa maombi yake.Na aliyefanikisha haya,Yuda Iskariote,twamwita msaliti,kwa kupewa vipande vya fedha,wakati katenda jambo jema,la ukombozi na kusamehewa dhambi zetu.
Upo sahihiUwe unafichaga ujinga wako!
RATIBA YA HUDUMA YA YESU DUNIANI HII HAPA NABII ISAYA ALITABIRI!
[emoji1427][emoji1427]
Isaiah 49:6
[6]naam, asema hivi, Ni neno dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu ili kuziinua kabila za Yakobo, na kuwarejeza watu wa Israeli Nwaliohifadhiwa; zaidi ya hayo nitakutoa uwe nuru ya mataifa, upate kuwa wokovu wangu hata miisho ya dunia.
BAADA YA UFUFUKO YESU ANASEMA!
[emoji1370][emoji1370]
Matthew 28:18-20
[18]Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
[19] mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
[20]na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
ALJYE TUMWA KWA WARABU TU HUYU HAPA!
[emoji1370][emoji1370]
: وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji Macca na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.
: وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ
[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.
claims!; Saudi Imam Muhammad al-Arifi said:
ARABS are the true Muslims and the true descendants of Prophet Muhammad (pbuh)..
"Non—Arabs who without shame, called themselves Muslims are just plain Converts whom are lowly cowards with unhonourable souls That were overwhelmed with ease by the Swords of Allah, thus they deserved to be called as our Dogs."
Labda kwa sifa za uchache tu ngoja nikupe sifa za Mungu,Habari ndo hiyo,YESU KRISTU ni MUNGU.
Kwani biblia ni kitabu Cha nani!?Kosa langu ni nini wakati we umequote Biblia ikisema Yesu akilia msalabani ?
Kama ingekuwa Imani ya hovyo mngeacha kuquote kutoka kwenye Biblia mkastick na Qur'an tu.
Maana Yesu wa ndani ya Biblia ni tofauti na Isa so hamna Mamlaka ya KUMFANANISHA Wala kutumia Biblia kama reference ya KUMFANANISHA.
Hiyo tafsiri kwa lugha gani. iSSA ni jina lililotolewa na Mwenyezi Mungu mwenyewe lina maana pana kuliko muokozi. muokozi inaingia kweny moja ya maana zake.Yesu maana yake Mwokozi.
Isa maana yake nini
Mimi simkimbii mtu kwenye masuala ya Imani yangu.Unajifanya kukimbia ki style , hivi hichi ulichokiandika hapa ni kitabu kipi
Aliyeandika haya ni nani , usinikimbie please
Ufunuo wa Yohana 7:4 Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika kila kabila ya Waisraeli, watu mia na arobaini na nne elfu.
Ufunuo wa Yohana 7:5 Wa kabila ya Yuda kumi na mbili elfu waliotiwa muhuri. Wa kabila ya Reubeni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Gadi kumi na mbili elfu.
Ufunuo wa Yohana 7:6 Wa kabila ya Asheri kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Naftali kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Manase kumi na mbili elfu.
Ufunuo wa Yohana 7:7 Wa kabila ya Simeoni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Lawi kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Isakari kumi na mbili elfu.
Ufunuo wa Yohana 7:8 Wa kabila ya Zabuloni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Yusufu kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Benyamini kumi na mbili elfu waliotiwa muhuri.
1)YESU AMBAYE NDIO ISAUwe unafichaga ujinga wako!
RATIBA YA HUDUMA YA YESU DUNIANI HII HAPA NABII ISAYA ALITABIRI!
[emoji1427][emoji1427]
Isaiah 49:6
[6]naam, asema hivi, Ni neno dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu ili kuziinua kabila za Yakobo, na kuwarejeza watu wa Israeli Nwaliohifadhiwa; zaidi ya hayo nitakutoa uwe nuru ya mataifa, upate kuwa wokovu wangu hata miisho ya dunia.
BAADA YA UFUFUKO YESU ANASEMA!
[emoji1370][emoji1370]
Matthew 28:18-20
[18]Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
[19] mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
[20]na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
ALJYE TUMWA KWA WARABU TU HUYU HAPA!
[emoji1370][emoji1370]
: وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji Macca na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.
: وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ
[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.
claims!; Saudi Imam Muhammad al-Arifi said:
ARABS are the true Muslims and the true descendants of Prophet Muhammad (pbuh)..
"Non—Arabs who without shame, called themselves Muslims are just plain Converts whom are lowly cowards with unhonourable souls That were overwhelmed with ease by the Swords of Allah, thus they deserved to be called as our Dogs."
Na Qur'an ni kitabu Cha nani?Kwani biblia ni kitabu Cha nani!?
Mariamu alikuwa MYAHUDI wa kabila la Yuda.
Haruni alikuwa Mwebrania wa kabila la Lawi, Kuhani Mkuu, enzi za Haruni na Musa , Wana wa Israeli walitambuliwa kama Hebrews(WAEBRANIA) ila nyakati za Yesu , wale makabila ya Yuda na Benyamini walitambuliwa kama Wayahudi Ili kuwatofautisha na WASAMARIA waliokuwa na mchanganyiko wa damu ya WAEBRANIA na watu wa mataifa mengine.
Taja maana ya Jina IsaHiyo tafsiri kwa lugha gani. iSSA ni jina lililotolewa na Mwenyezi Mungu mwenyewe lina maana pana kuliko muokozi. muokozi inaingia kweny moja ya maana zake.
Siyo ya kijinga,biblia ipo miaka mingi kabla yesu hahazaliwa,ni kitabu Cha wayahudi,neno biblia ni la kigiriki,ajabu kanisa linajimilikishaNa Qur'an ni kitabu Cha nani?
Maswali ya kijinga haya
Nabii Issa alibatizwa na nani?Nabii Issa Bin Maryam wa kwenye Quran Tukufu ndiye Yesu Kristo wa kwenye Biblia
WATU WENYE AKILI WANAAMINI MANENO ORIGINAL YA MUNGUInahitaji kurogwa au kupumbazwa na Shetan ili kuiamini Quran na muhamad
Uliko okota hií card ya clinic mwambie ajiunge Jf atapewa daawa muafaka kulingana na maradhi yake!The following verses explicitly state that no one has seen God.
John 1:18: No man hath seen God at any time,
Exodus 33:20: And he said, Thou canst not see my face: for there shall no man see me, and live
So those verses make it crystal clear that no man has seen God at any time, and that no man can see his face, and if any do they shall then die.
However so, there are several verses in the Bible which show men have seen the FACE of God and have not died, either Christians accept those verses to be in contradiction with the verses I quoted, or they agree that when the Bible claims that someone has seen the face of God, or have seen God, it basically means they have seen the glory of God and the power of God, not them literally looking at God.
The same goes with Mgen, either he accepts those verses as a contradiction, or he accepts the fact that they basically mean they saw the glory and power of God, which is a completely different case.
However so, if Jesus is indeed God, then one must ask how could people have seen him and live?
Or did Jesus come in a disguise?
Or a costume, which is the flesh?
The fact is Jesus cannot be God, for no man has seen God, and man cannot see the face of God, for if they did they would die.