Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Waprotestant wao wameamūa kusoma vitabu.63 sasa kinacho kuuma nini??
Tuwekee Biblia Inayo Agiza kinyume na AMRI.10 ZA MWENYEZI MUNGU!
muham mad alitaka stori zake zijumuishwe kwenye Maktaba Hazikukidhi Vigezo dhahir eeh....
Unaweza kuamua jambo la Mungu bila sababu? wewe jamaa sio kwamba waprotestant wameamua bali WAMEVIKATAA hivyo vitabu 7, kwasababu wanaona HAVINA pumzi ya Mungu , vimejaa mashaka mengi na mwisho ni upotevu , ebu acha kujifanya huna akili, wewe unafikiri waprotestant ni watoto wadogo wale waasisi wake walikuwa sehemu ya Roman catholic walikataa vitabu kwasababu havina vigezo kuwa kwenye Biblia yao
 
Tatizo lako liko kwenye uwezo wako mdogo tu wa kufikiri sio la tofauti zetu wakristo,
Hao mashahidi wa Yehova wanasema Yesu sio Mungu au Yesu ni Mungu mdogo sio sawa na baba??
Wasababto ni zao la uprotestant uliotokea miaka 1000 iliyopita wao wamekuja kutokea 1880s hapo juzi tu,sijui hata kama unajua wanapishana nini na wakristo wengine ama umekariri kumuita papa mpinga kristo tu ndicho unakijua.

Sisi kama wakristo nimekwambia msingi wa imani yetu ni ukombozi wetu kupitia mateso yake na kufufuka.View attachment 2640449
Shida iko hapa yaani wewe ndio unajifanya msemaji na mtunga sera za ukristo hili ni tatizo la kiakili, mashahidi wa Yehova ni wakristo wanao amini Yesu ni mwana wa Mungu sio Mungu mdogo wala mkubwa, Ukija kwa wasabato hawa wanasema Papa ni mpinga Kristo ndio ile namba 666 halafu bado unajitoa akili kuwa mko pamoja, hawa wasabato wanasema PAPA ndio amebadilisha sabato ya Bwana kuipeleka Jumapili kwahiyo ni mpagani kabisa, halafu nakushangaa wewe unajifanya eti mko pamoja , wewe jamaa acha kupotezea watu muda aiseeee, kuna shida kubwa kwenye ukristo Roman Catholic kwa wasabato ni wapagani tu walio shiriki kubadili sabato ya Bwana na kutengeneza yao , pamoja na kuingiza sherehe nyingine za kipagani kama Christmas n.k , hivi unafikiri nabahatisha
 
Situngi sera wala sio msemaji wa ukristo,nakufundisha kitu unachotajiwa kukijua.
Unaposema mashahidi wa Yehova wanaamini Yesu ni mwana wa Mungu wanatofauti gani na RC wanaoamini katika Mungu mmoja nafsi tatu??
Usinifundishe kitu usichokijua.

Wasabato hawawezi kutengwa katika ukristo sababu ugomvi wao sio na kristo,wao ugomvi wao ni Roman Catholic,wasabato pia wanaamini Yesu ni mwana wa Mungu sio Mungu baba,wanarudi pale juu kwa RC.
 
Ebu acha kupotosha watu wewe mashahidi wa Yehova wana amini Yesu sio MUNGU ni mwana wa Mungu full stop , yeyote anae sema Yesu ni Mungu huyo amefanya makosa kwa Imani ya mashahidi wa Yehova, haya tuambie wakristo wangapi wanasema Yesu ni Mungu? utaelewa tu , Wasabato wanasema wanaamini Roman Catholic ni wapagani ndio maana kiongozi wao Papa ndio yule 666 halafu mnasema hamna ugomvi yaani mtu anaweka dhehebu lako kwenye upagani halafu unajitetea ujinga hapa, kama haitoshi wasabato ndio pekee wanao tunza sheria mfano hawali nguruwe lakini mliobaki wote mnakula kwahiyo ugomvi wa wasabato sio Roman catholic ni wote ambao hawana heshima na sabato yao na hawana heshima na sheria wakiwemo Roman Catholic(wapagan) na wengineo kama walokole n.k
 
Acha upumbavu.

Ugomvi maana yake nini??nakufundisha kitu ushike kwa manufaa yako unakaza matako.
Nakwambia msingi wa imani yoyote ya mkristo ni kuamini kristo aliteswa akafufuka,unasema tuna ugomvi.ugomvi na nani??

Wewe hayo madai kwamba mashahidi wa Yehova unatenda kosa ukimwita Yesu ni Mungu umeyatoa wapi??leta ushahidi hapa usijitungie story.

Wasabato kuweka dhehebu la roma katika upagani ni mtazamo tu,kama mimi ninavyowachukulia Allah na mtume Muhamad kama madalali wa yard za magari,ni swala la hoja zaidi.jenga hoja juu ya madai yako sio hisia.wasabato wana hisia zaidi ila hoja ni dhaifu.
 
Tulia utaelewa tu acha kupaniki , unataka ushahidi gani wakati maandiko ya mashahidi wa Yehova yapo dunia nzima , yeyote anae sema Yesu ni Mungu kwa mujibu wa mashahidi wa Yehova huyo ni MPOTEVU tu maana Yesu ni mwana wa Mungu tu , tunajadili wasabato ndani ya Ukristo ambao wanawatambua Waroma wakristo wenzao kuwa ni WAPAGANI , sasa kwa msabato wewe unakuwaje mkristo? unazungumzia msingi upi ambao wasabato hawajui mpaka wakakuweka wewe kwenye kundi la wapagani ebu jieleze maana naona kama umeanza kuchanganyikiwa
 
Nilijua tu umekurupuka kama Muhamad katoka pangoni huna andiko wala kimemo.

Biblia yenye vitabu 66 ndio msingi wa waprotestant wote,haiwezekani akaibuka mtu aseme Yesu ni wana wa Mungu lakini sio Mungu kama anatumia biblia hiyo.

Kuhusu wasabato nimekuelewesha lakini shida ni changamoto ya kuelewa uko nayo.
 
Wakatoliki 73, waprotestant 66 kila mtu ana idadi ya vitabu kwenye biblia hapa tumemaliza, ukija kwa Waprotestant wamekubaliana kwenye vitabu ila tafsiri sasa ya maandiko TOFAUTI ikatokea tena, ndio maana Mashahidi wa Yehova wao wameona sio sawa Yesu kuwa Mungu ni mwana wa Mungu full stop , hata wasabato wanatumia biblia yenye vitabu 66 lakini HAWALI NGURUWE, kwahiyo usilete vichekesho eti kisa mmekubaliana kwenye idadi ya vifabu basi kila kitu mtukubaliana una onekana una uelewa mdogo sana, tunarudi pale huna huwezo wa kumaliza tofauti yeyote kwenye madhehebu ya kikristo , sio wewe hata PAPA ambaye wasabato wanamuita 666 mpagani mkuu hawezi na hatoweza
 
Wakatoliki 73, waprotestant 66 kila mtu ana idadi ya vitabu kwenye biblia hapa tumemaliza, ukija kwa Waprotestant wamekubaliana kwenye vitabu ila tafsiri sasa ya maandiko TOFAUTI ikatokea tena, ndio maana Mashahidi wa Yehova wao wameona sio sawa Yesu kuwa Mungu ni mwana wa Mungu full stop , hata wasabato wanatumia biblia yenye vitabu 66 lakini HAWALI NGURUWE, kwahiyo usilete vichekesho eti kisa mmekubaliana kwenye idadi ya vifabu basi kila kitu mtukubaliana una onekana una uelewa mdogo sana, tunarudi pale huna huwezo wa kumaliza tifauti yeyote kwenye madhehebu ya kikristo , sio wewe hata PAPA ambaye wasabato wanamuita 666 mpagani mkuu hawezi na hatoweza

Sijasema nina mpango wa kumaliza tofauti zilizopo kwenye ufunuo wa kimaandiko.nakuelewesha kwamba msingi wa kuwa mkristo ni upi,japo kichwa chako kigumu.
Nimekwambia leta ushahidi wa madai yako kuhusu mashahidi wa yehova huna,naskia milio tu.
kuhusu uungu wa Yesu uko clear kabisa wala sio swala la mtu kuleta tafsiri zake za mfukoni.

Wasabato wao wameamua kwenda na sheria za torati vyema kabisa lakini wamechagua zipi washike zipi waachane nazo.
 
Sijasema nina mpango wa kumaliza tofauti zilizopo kwenye ufunuo,nakuelewesha kwamba msingi wa kuwa mkristo ni upi.
Nimekwambia leta ushahidi wa madai yako kuhusu mashahidi wa yehova huna,naskia milio tu.
kuhusu uungu wa Yesu uko clear kabisa wala sio swala la mtu kuleta tafsiri zake za mfukoni.

Wasabato wao wameamua kwenda na sheria za torati vyema kabisa lakini wamechagua zipi washike zipi waachane nazo.
Huo msingi wa kuwa mkristo una ujua wewe tu? kama huo msingi wangekuwa nao Roman catholic hata siku moja wasabato wasinge waita wakristo wenzao ni wapagani hapa kipi huelewi? Mpaka wanaitwa wapagani na wakristo wenzao ujue wamepotoka kwenye njia za kikristo sasa nashangaa wewe umekalia msingi ambao haupo, U clear wa uungu wa Yesu hizi ni tafsiri zako wewe lakini wengine kama mashahidi wa Yehova wamejiridhisha kuwa Yesu hana chembe ya Uungu ila ni mwana tu wa Mungu, kama ambavyo waprotestant walijiridhisha kuwa vile vitabu 7 vya kwenye biblia ya wakatoliki ni vya mchongo kikiwemo cha Makabayo
 
Mkristo yeyote unayemjua naamini Yesu ni Mungu,alikufa akafufuka yuko mbinguni.

Ukiona kuna mkristo haamini hapa jua huyo ni kenge kama mtume Muhamad tu.

Wakristo wenye dhehebu la Mashahidi wa Yehova wamegoma kuamini unacho kisema kwasababu kwao hakina mashiko kuwa eti Yesu ni Mungu , wao imani yao ni mwana wa Mungu hana cha uungu wowote ule full stop, halafu unafikiri wasabato hawajui kuwa nyie mna amini Yesu ni Mungu? Lakini pamoja na yote wakaona hamna lolote nyie ni WAPAGANI tu hamna ukristo wowote, hivyo basi kumbe kuamini Yesu ni Mungu hata wasabato hawaoni kuwa ni jambo la kipekee , ndio maana pamoja na kuamini Yesu ni Mungu ila Roman Catholic ni upagani mtupu
 
Wakristo wenye dhehebu la Mashahidi wa Yehova wamegoma kuamini unacho kisema kwasababu kwao hakina mashiko kuwa eti Yesu ni Mungu , wao imani yao ni mwana wa Mungu hana cha uungu wowote ule full stop, halafu unafikiri wasabato hawajui kuwa nyie mna amini Yesu ni Mungu? Lakini pamoja na yote wakaona hamna lolote nyie ni WAPAGANI tu hamna ukristo wowote, hivyo basi kumbe kuamini Yesu ni Mungu hata wasabato hawaoni kuwa ni jambo la kipekee , ndio maana pamoja na kuamini Yesu ni Mungu la Roman Catholic ni upagani mtupu

Usiseme sisi maana unawezakuwa unaongea na shahidi wa yehova hapa au msabato.ndio maana nimekwambia leta ushahidi wa madai yako,swala la Yesu sio Mungu ni msimamo wa mpuuzi mmoja anajiita muhamad na shetani aliyemtuma akampa jina la Allah,wala haiwezi kuwa imani ya mkristo yeyote na akajiita mkristo.

Swala la msabato kuamini RC ndio mpinga kristo ni swala la hisia tu wala si la kimaandiko,kumbuka unatumika ufunuo ule ule walioutunza RC kumpopoa RC tena,si utumie akili nawewe hata zile za wakati wa mfungo kula usiku na kushinda njaa mchana???

Wakristo wenye dhehebu la Mashahidi wa Yehova wamegoma kuamini unacho kisema kwasababu kwao hakina mashiko kuwa eti Yesu ni Mungu , wao imani yao ni mwana wa Mungu hana cha uungu wowote ule full stop, halafu unafikiri wasabato hawajui kuwa nyie mna amini Yesu ni Mungu? Lakini pamoja na yote wakaona hamna lolote nyie ni WAPAGANI tu hamna ukristo wowote, hivyo basi kumbe kuamini Yesu ni Mungu hata wasabato hawaoni kuwa ni jambo la kipekee , ndio maana pamoja na kuamini Yesu ni Mungu ila Roman Catholic ni upagani mtupu
Halafu Tuwekee ushahidi

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Usiseme sisi maana unawezakuwa unaongea na shahidi wa yehova hapa au msabato.ndio maana nimekwambia leta ushahidi wa madai yako,swala la Yesu sio Mungu ni msimamo wa mpuuzi mmoja anajiita muhamad na shetani aliyemtuma akampa jina la Allah,wala haiwezi kuwa imani ya mkristo yeyote na akajiita mkristo.

Swala la msabato kuamini RC ndio mpinga kristo ni swala la hisia tu wala si la kimaandiko,kumbuka unatumika ufunuo ule ule walioutunza RC kumpopoa RC tena,si utumie akili nawewe hata zile za wakati wa mfungo kula usiku na kushinda njaa mchana???

Hivi wewe unafikiri mimi nabahatisha , Mashahidi wa Yehova wana tovuti yao kwanini usiende kujifunza umekalia ubishi tu , sasa ukienda kwenye tovuti ya mashahidi wa Yehova HAWAAMINI kuwa ni Mungu vile vile hata UTATU mtakatifu ni uzushi mtupu maana hauna hoja za kimaandiko , MSINGI NO 3 wa mashahidi wa Yehova umefunga mjadala hii ni official website ya mashidi wa Yehova , kuku mmoja wewe

77686396-072A-4B6D-A920-EB82C53D8605.png
77686396-072A-4B6D-A920-EB82C53D8605.png
77686396-072A-4B6D-A920-EB82C53D8605.png
 
Wakatoliki 73, waprotestant 66 kila mtu ana idadi ya vitabu kwenye biblia hapa tumemaliza, ukija kwa Waprotestant wamekubaliana kwenye vitabu ila tafsiri sasa ya maandiko TOFAUTI ikatokea tena, ndio maana Mashahidi wa Yehova wao wameona sio sawa Yesu kuwa Mungu ni mwana wa Mungu full stop , hata wasabato wanatumia biblia yenye vitabu 66 lakini HAWALI NGURUWE, kwahiyo usilete vichekesho eti kisa mmekubaliana kwenye idadi ya vifabu basi kila kitu mtukubaliana una onekana una uelewa mdogo sana, tunarudi pale huna huwezo wa kumaliza tofauti yeyote kwenye madhehebu ya kikristo , sio wewe hata PAPA ambaye wasabato wanamuita 666 mpagani mkuu hawezi na hatoweza
D8587676-E387-49E5-BE99-2489742A27A8.png

Msingi namba 3, mashahidi wa Yehova hawamtambui Yesu kama Mungu , hata huo utatu mtakatifu ni uzushi mtupu , jamaa wana jitambua sana hawa
D8587676-E387-49E5-BE99-2489742A27A8.png
 
Mungu awe na fudu lililozungukwa na minywele, likamatwe na binadamu, linyofolewe govi , avalishwe Pampers, atawazishwe mavi, acheze mdako na watoto wenzake
Hivi hii ni akili gani ??
😭😭😭😭
Msingi namba 3 umemaliza kazi kutoka kwa mashahidi wa Yehova

656D846E-030C-430C-A8FF-DAF0555CADBE.png
 
Hivi wewe unafikiri mimi nabahatisha , Mashahidi wa Yehova wana tovuti yao kwanini usiende kujifunza umekalia ubishi tu , sasa ukienda kwenye tovuti ya mashahidi wa Yehova HAWAAMINI kuwa ni Mungu vile vile hata UTATU mtakatifu ni uzushi mtupu maana hauna hoja za kimaandiko , MSINGI NO 3 wa mashahidi wa Yehova umefunga mjadala hii ni official website ya mashidi wa Yehova , kuku mmoja wewe

View attachment 2641322View attachment 2641322View attachment 2641322

Mashahidi wa Yeshova kupitia andiko lao wanasema hawaamini kwamba Yesu ni Mungu mweza wa Yote,haya twende kwenye utatu mtakatifu sasa na hoja hii ya mashahidi wa yehova.

Mungu baba,Mungu mwana,roho mtakatifu.

Umeelewa maana ya utatu mtakatifu au mpaka tutumie maji ya zam zam kukutawadha???
 
Back
Top Bottom