Nakupa Wepesi ufe kafiri[emoji35]Mungu awe na fudu lililozungukwa na minywele, likamatwe na binadamu, linyofolewe govi , avalishwe Pampers, atawazishwe mavi, acheze mdako na watoto wenzake
Hivi hii ni akili gani ??
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 2641327
Msingi namba 3, mashahidi wa Yehova hawamtambui Yesu kama Mungu , hata huo utatu mtakatifu ni uzushi mtupu , jamaa wana jitambua sana hawaView attachment 2641327
Nawasubiri mje na kelele zenu kama chura sasa
Wewe ni kichaa wameandika hapo HAKUNA MSINGI WA KIMAANDIKO UNAO THIBITISHA FUNDISHO LA UTATU , halafu unaleta tena habari ya Mungu mwana !!! Soma tena msingi namba 3 niendolee wazimuMashahidi wa Yeshova kupitia andiko lao wanasema hawaamini kwamba Yesu ni Mungu mweza wa Yote,haya twende kwenye utatu mtakatifu sasa na hoja hii ya mashahidi wa yehova.
Mungu baba,Mungu mwana,roho mtakatifu.
Umeelewa maana ya utatu mtakatifu au mpaka tutumie maji ya zam zam kukutawadha???
Wewe jitoe akili Mashahidi wa Yehova wanamtambua Yesu kama mwokozi wao na mwana wa Mungu sio vinginevyo , HAWATAMBUI UTATU wala upili wa Mungu , soma tsnaYes wanajitambua sana,wewe ndio umedandia treni kwa mbele hujui hata linakwenda wapi[emoji23][emoji23][emoji23].
Hawamtambui Yesu kama Mungu mweza wa yote,si ni RC wanaosema kuna utatu mtakatifu??mbona haihitaji rocket science hapa ni akili za kawaida kabia!!!
Wewe ni kichaa wameandika hapo HAKUNA MSINGI WA KIMAANDIKO UNAO THIBITISHA FUNDISHO LA UTATU , halafu unaleta tena habari ya Mungu mwana !!! Soma tena msingi namba 3 niendolee wazimu
View attachment 2641334
Unawabishia mashahidi wa Yehova , hawatambui utatu wala upili wa Mungu acha kulazimishaSoma umeshajibiwa haraka kabisa.
Umetaka ushahidi wa mashahidi wa Yehova umepewa , Yesu ni mwokozi na mwana wa Mungu sio Mungu. hawatambui Utatu wako huo usiwalazimishe mzeeKichaa mtume wako na Allah aliyemtuma.
Hakuna andiko lililoutaja hii haifanyi utatu kutokuwepo,utatu unajieleza ktk biblia ila haujatajwa,sasa shida yako ni nin!!!!
Wewe jitoe akili Mashahidi wa Yehova wanamtambua Yesu kama mwokozi wao na mwana wa Mungu sio vinginevyo , HAWATAMBUI UTATU wala upili wa Mungu , soma tsna
Unawalazimisha wamekwambia HAWATAMBUI UTATU , wewe unalazimisha kitu gani lakini, kiswahili kimekuwa kigumu sanaUtatu hata wasabato hawautambui.
Lakini kumwita mwana wa Mungu unaunga mkono hoja ya utatu ya RC,huwezi elewa maana kichwa kimejaa uji.
Unawalazimisha wamekwambia HAWATAMBUI UTATU , wewe unalazimisha kitu gani lakini
Umetaka ushahidi wa mashahidi wa Yehova umepewa , Yesu ni mwokozi na mwana wa Mungu sio Mungu. hawatambui Utatu wako huo usiwalazimishe mzee
Mimi sio shahidi wa Yehova , huo ndio msimamo na imani yao kuwa Yesu sio Mungu na utatu mtakatifu ni Uzushi tu , na bahati nzuri hawa ni wakristo vile vile , waelimishe hao kwanza wafute haya maandishi ndio uje kwanguSijawalazimisha nakuelewesha wewe.
Kama hutaki useme"sitaki kuelewa"
Wewe jamaa una shida gani hujui kusomaHawa hawapingani na utatu wala uungu wa Yesu,wanasema Yesu sio Mungu muweza wa kila kitu.
Kwani si kila siku tunawaambia Yesu katika mwili hapa duniani alikuwa limited kwa baadhi ya mambo!!!
Kwa vile ni kuimbia nyimbo nzuri mbwa,hakuna feedback.
Mimi sio shahidi wa Yehova , huo ndio msimamo na imani yao kuwa Yesu sio Mungu na utatu mtakatifu ni Uzushi tu , na bahati nzuri hawa ni wakristo vile vile , waelimishe hao kwanza wafute haya maandishi ndio uje kwangu
View attachment 2641342
Hakupa Wepesi ufe kafiri[emoji35]
[emoji116][emoji116]
Sema walahi bilahi wa Talahi! Mwenyezi Mungu Atakalo Hawezi!
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Wanajua kuwa ‘YESU SI MUNGU’ na ‘HAKUNA MSINGI WA KIMAANDIKO UNAO THIBITISHA FUNDISHO LA UTATU’ na mimi najua hivi nenda kawaelekeza hawa wafute hili jamboWao wanajua,wewe ndiye nataka nikutoe kule kwa Allah na msela wake uje uchague Yesu kuwa mwokozi wako ama Mungu wako.
Uko tayari??
Wanajua kuwa ‘YESU SI MUNGU’ na ‘HAKUNA MSINGI WA KIMAANDIKO UNAO THIBITISHA FUNDISHO LA UTATU’ na mimi najua hivi nenda kawaelekeza hawa wafute hili jambo