ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Mashahidi wa Yehova wanaposema “HAKUNA MSINGI WA KIMAANDIKO UNAO THIBITISHA FUNDISHO LA UTATU” hivi kuna neno gumu hapa kueleweka !!!Mimi nasoma na kuelewa ,wewe unajua kusoma peke yake???
Andiko linasema Yesu sio Mungu muweza wa yote,ila ni Mungu gani??
Omba maelezo,usikatae utatu.
Wafundishe mashahidi wa Yehova ambao wameukataa maana hauna HOJA za kimaandikoSasa mimi nataka nikufundishe utatu kwa maandiko na mtindo wa mswali, uko tayari??
Mashahidi wa Yehova wanaposema “HAKUNA MSINGI WA KIMAANDIKO UNAO THIBITISHA FUNDISHO LA UTATU” hivi kuna neno gumu hapa kueleweka !!!
Wafundishe mashahidi wa Yehova ambao wameukataa maana hauna HOJA za kimaandiko
Tuna kubaliana kwanza kuwa Mashahidi wa Yehova hawatambui utatu kama ushahidi ulivyo letwa?Kweli kabisa hakuna yohana wala luka inayosema kuna utatu mtakatifu,mimi nataka nikuonyeshe ulipo utatu,ila kwa maswali.
Wewe jamaa ni kichaa yaani andiko hakuna halafu wakubali nini sasa?ahahahhahaHawajaukataa,wameukubali ila wanasema andiko hakuna.
Au mwenzangu husomi na kuelewa??
Wewe jamaa ni kichaa yaani andiko hakuna halafu wakubali nini sasa?ahahahhaha
Tuna kubaliana kwanza kuwa Mashahidi wa Yehova hawatambui utatu kama ushahidi ulivyo letwa?
Utatu kawafundishe mashahidi wa Yehova kwanza ndani ya ukristo ambao hawautakiKichaa ni Allah na Muhamad mtume wake.
Nakwambia nikufundishe utatu ulipo hujibu.
Mzee mashahidi wa Yehova wana zaidi ya miaka 100, kwahiyo miaka 100 yote wanalitafutia wapi?ahahaha utatu ni jambo la kuunga unga halina hoja kwa mujibu wa JWWanautambua na wanauishi,wanachotafuta ni andiko lake ndio halipo rasmi.
Utatu kawafundishe mashahidi wa Yehova kwanza ndani ya ukristo ambao hawautaki
Mimi huwezi kunifundisha uzushi mzee jambo ambalo hata mashahidi wa Yehova wamethibitsha kuwa hakuna HOJAWewe huutaki??basi njoo nikufundishe hata uwe mfuasi wa mashahidi wa yehova,sio lazima uwe RC wa utatu,unasemaje.
Mzee mashahidi wa Yehova wana zaidi ya miaka 100, kwahiyo miaka 100 yote wanalitafutia wapi?ahahaha utatu ni jambo la kuunga unga halina hoja kwa mujibu wa JW
Mimi huwezi kunifundisha uzushi mzee jambo ambalo hata mashahidi wa Yehova wamethibitsha kuwa hakuna HOJA
Naona una puyanga tu , nimeweka kila kitu sawa kwa ushahidi kuwa wapo wakristo ambao hawaamini kuwa Yesu ni Mungu wala hawaamini utatu mtakatifuHata andiko lankutooa wake wengi halipo ktk biblia lakini mashahidi hawavuki waulize wanatumia logic gani.
Naona una puyanga tu , nimeweka kila kitu sawa kwa ushahidi kuwa wapo wakristo ambao hawaamini kuwa Yesu ni Mungu wala hawaamini utatu mtakatifu
Ngoja kwanza tukubaliane kuwa kwa mujibu wa mashahidi wa Yehova utatu mtakatifu ni jambo la mdomoni tu halina HOJAKuna uzushi zaidi ya huu kakaView attachment 2641345
Yaani tuanze kufundishana uzushi tena!!!
Hawa mashahidi wa Yehova ni waislamu kumbe siku hiziHakuna wakristo wanaoamini huo uxenge wa Muhamad na Allah aliyemtuma.
Wewe unasoma huelewi,andiko limekolezwa kwamba hawaamini katika Yesu kuwa Mungu muweza wa yote,na hakuna mkristo anayemini hilo.
Ndio maana kuna utatu mtakatifu.
Ngoja kwanza tukubaliane kuwa kwa mujibu wa mashahidi wa Yehova utatu mtakatifu ni jambo la mdomoni tu halina HOJA
View attachment 2641360