Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mashoga ni watu hawakushushwa toka mbinguni ni watoto, ndugu, jamaa zetu hawakuzaliwa hivyo wengi wao walifanyiwa ukatili utotoni, tuwafundishe, tuwaelimishe juu ya Mungu na kuwaombea wabadilike kama wewe ni mtu mzima hutamcheka kilema maana hata kesho yako hujui mwanao au ndugu yatakayompata unaweza kumcheka shoga leo kesho mwanao akawa mvuta bangi au madawa ya kulevyaTangu lini Nyumbu wakamtakia mema rais Samia hadi wampangie cha kufanya?
Hangaikeni na mzee wa MIGA mtetezi wa mashoga.
Nilitaka nimuulize huyu jamaa je yeye ana nini bwashee?Kama Mbowe hana akili basi wewe utakuwa huna ubongo kabisa!
Hapo kwenye ushoga sijui hawa jamaa walitaka kulipeleka wapi hili taifa.Tangu lini Nyumbu wakamtakia mema rais Samia hadi wampangie cha kufanya?
Hangaikeni na mzee wa MIGA mtetezi wa mashoga.
Sasa unawaambia nini waliotaka kuuhalalisha.Mashoga ni watu hawakushushwa toka mbinguni ni watoto, ndugu, jamaa zetu hawakuzaliwa hivyo wengi wao walifanyiwa ukatili utotoni, tuwafundishe, tuwaelimishe juu ya Mungu na kuwaombea wabadilike kama wewe ni mtu mzima hutamcheka kilema maana hata kesho yako hujui mwanao au ndugu yatakayompata unaweza kumcheka shoga leo kesho mwanao akawa mvuta bangi au madawa ya kulevya
hakuna mtu aliyetaka kuhalalisha Mungu kakataza ni final yeye ni jaji mkuu, tafuta press conference ya Lissu kipindi cha kampeni akiwa arusha utamwelewaSasa unawaambia nini waliotaka kuuhalalisha.
Hata usipouhalalisha ushoga upo. Ukitaka kujua jiulize ni kwanini Kabudi alimkana Makonda ktk msimamo wa serikaliSasa unawaambia nini waliotaka kuuhalalisha.
Unaonaje ujisalimishe Mirembe kupima afya ya akili zako?Freeman Mbowe
Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps.
Mfano:
Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli. Ilikuwa ni performance ambayo haikuwa na tija. Alichemka sana ktk hilo. Alianguka kwa sababu ambazo anazijua si kupigwa. Ifikie hatua tuwe wakweli tu.
But kuna kipindi anakuwa na utulivu flani mzuri. Ila bado kuna kipindi anakurupuka sana. Jana hakuweza ichambua kisomi hotuba ya Mh. Rais akakimbilia ku conclude kukatisha tamaa juhudi za Rais kuwa wakutane. Nadhani alipaswa kutulia. Kutafakari.
Tundu Antipas Lissu
Ana akili sana. Anaweza jenga hoja. Anajiamini. ila anakosa Busara na si mwanasiasa mzuri. Matamko yake huwa yanaonesha ana utoto/ujana mwingi sana. Hafikirii kabla ya kutamka. Anatamka anakuja fikiria baadaye.
Mfano:
Aliyoyaongea baada ya kifo cha Magufuli yalionesha utoto, kukosa busara n.k hata kama aliumizwa sana na Utawala ule kipindi hiki ndo angeweza kujichukulia credit kwa kuongea kama mtu aliyekomaa, but akaanza kupita akifanya sherehe na kutukana. Huo uli kuwa ni utoto.
Ukosefu wa Busara. Jambo ambalo linaonesha ana immaturity katika siasa na nini cha kuongea. Shida kubwa ya Lissu ni kuwa na mihemko. Rejea kauli ya kuwa Nyerere ali.... Kwenye bunge la katiba. Hakupaswa anene hayo. Anahitaji kujifunza nini cha kuongea na wakati gani.
Tundu Lissu angejifunza kwa akina Mandela, Lowassa n.k
Mbowe aambiwe wakati flani ni vizuri kunyamaza aonekane ana busara kuliko kuzungumza. Na anapotaka kuzungumza anapaswa aangalie nini cha kuzungumza.
Pia ukitaka kujua hili tatizo ni sensitive hakuna Rais nchi hii atazungumzia, atazungumzia madawa ya kulevya lakini hapo hawagusi kabisa, tatizo lipo kutatua linahitaji utulivu sana ni sawa na biashara ya ngono utatuzi wake ni mgumuHata usipouhalalisha ushoga upo. Ukitaka kujua jiulize ni kwanini Kabudi alimkana Makonda ktk msimamo wa serikali