Tofauti kubwa kati ya Mbowe na Tundu Lissu

Freeman Mbowe
Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps.

Mfano:
Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli. Ilikuwa ni performance ambayo haikuwa na tija. Alichemka sana ktk hilo. Alianguka kwa sababu ambazo anazijua si kupigwa. Ifikie hatua tuwe wakweli tu.

But kuna kipindi anakuwa na utulivu flani mzuri. Ila bado kuna kipindi anakurupuka sana. Jana hakuweza ichambua kisomi hotuba ya Mh. Rais akakimbilia ku conclude kukatisha tamaa juhudi za Rais kuwa wakutane. Nadhani alipaswa kutulia. Kutafakari.

Tundu Antipas Lissu
Ana akili sana. Anaweza jenga hoja. Anajiamini. ila anakosa Busara na si mwanasiasa mzuri. Matamko yake huwa yanaonesha ana utoto/ujana mwingi sana. Hafikirii kabla ya kutamka. Anatamka anakuja fikiria baadaye.

Mfano:
Aliyoyaongea baada ya kifo cha Magufuli yalionesha utoto, kukosa busara n.k hata kama aliumizwa sana na Utawala ule kipindi hiki ndo angeweza kujichukulia credit kwa kuongea kama mtu aliyekomaa, but akaanza kupita akifanya sherehe na kutukana. Huo uli kuwa ni utoto.

Ukosefu wa Busara. Jambo ambalo linaonesha ana immaturity katika siasa na nini cha kuongea. Shida kubwa ya Lissu ni kuwa na mihemko. Rejea kauli ya kuwa Nyerere ali.... Kwenye bunge la katiba. Hakupaswa anene hayo. Anahitaji kujifunza nini cha kuongea na wakati gani.

Tundu Lissu angejifunza kwa akina Mandela, Lowassa n.k

Mbowe aambiwe wakati flani ni vizuri kunyamaza aonekane ana busara kuliko kuzungumza. Na anapotaka kuzungumza anapaswa aangalie nini cha kuzungumza.
Unaelewa hata maana ya "akili" kweli wewe..??

Yaani wewe ndiye tukutumie kama "kipimo cha kupimia akili" za watu wengine kweli...?

Uandishi wako tu unaonesha na kudhihirisha kuwa kama "akili" kwa maana yako ina maana ya "maarifa", basi wewe huna " akili" kabisa ambayo ndiyo hayo maarifa 100%...

Likely, elimu yako uliyoipata ni ya kukariri tu. Ungekuwa una maarifa wala usingefikiria kuanzisha mada usiyoweza kuitetea kwa hoja zilizotafitiwa na za kisomi....

Pole sana..
 
Freeman Mbowe
Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps.

Mfano:
Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli. Ilikuwa ni performance ambayo haikuwa na tija. Alichemka sana ktk hilo. Alianguka kwa sababu ambazo anazijua si kupigwa. Ifikie hatua tuwe wakweli tu.

But kuna kipindi anakuwa na utulivu flani mzuri. Ila bado kuna kipindi anakurupuka sana. Jana hakuweza ichambua kisomi hotuba ya Mh. Rais akakimbilia ku conclude kukatisha tamaa juhudi za Rais kuwa wakutane. Nadhani alipaswa kutulia. Kutafakari.

Tundu Antipas Lissu
Ana akili sana. Anaweza jenga hoja. Anajiamini. ila anakosa Busara na si mwanasiasa mzuri. Matamko yake huwa yanaonesha ana utoto/ujana mwingi sana. Hafikirii kabla ya kutamka. Anatamka anakuja fikiria baadaye.

Mfano:
Aliyoyaongea baada ya kifo cha Magufuli yalionesha utoto, kukosa busara n.k hata kama aliumizwa sana na Utawala ule kipindi hiki ndo angeweza kujichukulia credit kwa kuongea kama mtu aliyekomaa, but akaanza kupita akifanya sherehe na kutukana. Huo uli kuwa ni utoto.

Ukosefu wa Busara. Jambo ambalo linaonesha ana immaturity katika siasa na nini cha kuongea. Shida kubwa ya Lissu ni kuwa na mihemko. Rejea kauli ya kuwa Nyerere ali.... Kwenye bunge la katiba. Hakupaswa anene hayo. Anahitaji kujifunza nini cha kuongea na wakati gani.

Tundu Lissu angejifunza kwa akina Mandela, Lowassa n.k

Mbowe aambiwe wakati flani ni vizuri kunyamaza aonekane ana busara kuliko kuzungumza. Na anapotaka kuzungumza anapaswa aangalie nini cha kuzungumza.
Mbowe asingekuwa na akili CDM kisingekuwa chama tishio kwa ccm kwa miaka 25 sasa. Hujui maana ya kuwa na akili, unafikiri kuwa na akili ni kukremu namba kama jpm?
 
Pole. Pambana na hali yako.
 
Nipe ushahidi usio na shaka kuthibitisha Mbowe alikuwa amelewa ndio akaanguka na kuumia.
 
ww ndio huna akili kabisa, ww una usaha
 
Nguruwe wa Lumumba hamna hoja sasa mnabaki kujadili watu.
 
Mashoga ni watu hawakushushwa toka mbinguni ni watoto, ndugu, jamaa zetu hawakuzaliwa hivyo wengi wao walifanyiwa ukatili utotoni, tuwafundishe, tuwaelimishe juu ya Mungu na kuwaombea wabadilike kama wewe ni mtu mzima hutamcheka kilema maana hata kesho yako hujui mwanao au ndugu yatakayompata unaweza kumcheka shoga leo kesho mwanao akawa mvuta bangi au madawa ya kulevya
Huyo Kinuju ni shoga anauzia matako yake Magomeni
 
1.Kama busara ni kuwapongeza na kuwanyamazia (ila huku ukiwa na maumivu moyoni) watu waliotaka kukua,basi HIYO BUSARA HATA MIMI SIITAKI.

Na nina wasiwasi na wewe mtoa mada kuwa ipo siku utapigwa finger kwenye shithole halafu utamwonyesha tabasamu la kirembo huyo mwanaizaya aliyekutendea ushetani.

2.Halafu nami nikuulize:Je,kati ya Lissu na Mwendazake nani alikuwa na busara?
 
Hata usipouhalalisha ushoga upo. Ukitaka kujua jiulize ni kwanini Kabudi alimkana Makonda ktk msimamo wa serikali
Kweli kabisa,tunasoma hata kwenye misaafu,tangia enzi za Sodoma na Ghomora, ushoga ulikuwepo upo na utaendelea kuwepo.
Over and Out.
 
Freeman Mbowe
Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps.

Mfano:
Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli. Ilikuwa ni performance ambayo haikuwa na tija. Alichemka sana ktk hilo. Alianguka kwa sababu ambazo anazijua si kupigwa. Ifikie hatua tuwe wakweli tu.

But kuna kipindi anakuwa na utulivu flani mzuri. Ila bado kuna kipindi anakurupuka sana. Jana hakuweza ichambua kisomi hotuba ya Mh. Rais akakimbilia ku conclude kukatisha tamaa juhudi za Rais kuwa wakutane. Nadhani alipaswa kutulia. Kutafakari.

Tundu Antipas Lissu
Ana akili sana. Anaweza jenga hoja. Anajiamini. ila anakosa Busara na si mwanasiasa mzuri. Matamko yake huwa yanaonesha ana utoto/ujana mwingi sana. Hafikirii kabla ya kutamka. Anatamka anakuja fikiria baadaye.

Mfano:
Aliyoyaongea baada ya kifo cha Magufuli yalionesha utoto, kukosa busara n.k hata kama aliumizwa sana na Utawala ule kipindi hiki ndo angeweza kujichukulia credit kwa kuongea kama mtu aliyekomaa, but akaanza kupita akifanya sherehe na kutukana. Huo uli kuwa ni utoto.

Ukosefu wa Busara. Jambo ambalo linaonesha ana immaturity katika siasa na nini cha kuongea. Shida kubwa ya Lissu ni kuwa na mihemko. Rejea kauli ya kuwa Nyerere ali.... Kwenye bunge la katiba. Hakupaswa anene hayo. Anahitaji kujifunza nini cha kuongea na wakati gani.

Tundu Lissu angejifunza kwa akina Mandela, Lowassa n.k

Mbowe aambiwe wakati flani ni vizuri kunyamaza aonekane ana busara kuliko kuzungumza. Na anapotaka kuzungumza anapaswa aangalie nini cha kuzungumza.
Sikuwa hata na sababu ya kusoma takataka na uozo huo wote. Ilitosha kusoma mstari moja kukujua ulivyo, ila sikujua mara moja unatumia kiungo kipi kufikiri.
 
Hakuna binadam asie na mapungufu but Lissu ni miongoni mwa intelligent people kuwahi kutokea hapa Tz the problem is wanasiasa wamejikita kwa kutetea ikibidi kwa damu vyama vyao na ugali wao lait kama wote hawa wngetanguliza maslahi ya nchi kwnaza tungewahi kuona ccm wakiwatumia watu wenye akili na masuluhisho pasipo kuunga juhudi...kuna watu ni asset tuwatumie kutuvusha sio lazima wawe kijani au cdm au act....
 
Tanzania Mashoga wapo ama hawapo?

Je ushoga wao imesababishwa na CHADEMA kuwa chama cha siasa!??

CCM Kuna mashoga ama hakuna?
 
Back
Top Bottom