The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Unaelewa hata maana ya "akili" kweli wewe..??Freeman Mbowe
Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps.
Mfano:
Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli. Ilikuwa ni performance ambayo haikuwa na tija. Alichemka sana ktk hilo. Alianguka kwa sababu ambazo anazijua si kupigwa. Ifikie hatua tuwe wakweli tu.
But kuna kipindi anakuwa na utulivu flani mzuri. Ila bado kuna kipindi anakurupuka sana. Jana hakuweza ichambua kisomi hotuba ya Mh. Rais akakimbilia ku conclude kukatisha tamaa juhudi za Rais kuwa wakutane. Nadhani alipaswa kutulia. Kutafakari.
Tundu Antipas Lissu
Ana akili sana. Anaweza jenga hoja. Anajiamini. ila anakosa Busara na si mwanasiasa mzuri. Matamko yake huwa yanaonesha ana utoto/ujana mwingi sana. Hafikirii kabla ya kutamka. Anatamka anakuja fikiria baadaye.
Mfano:
Aliyoyaongea baada ya kifo cha Magufuli yalionesha utoto, kukosa busara n.k hata kama aliumizwa sana na Utawala ule kipindi hiki ndo angeweza kujichukulia credit kwa kuongea kama mtu aliyekomaa, but akaanza kupita akifanya sherehe na kutukana. Huo uli kuwa ni utoto.
Ukosefu wa Busara. Jambo ambalo linaonesha ana immaturity katika siasa na nini cha kuongea. Shida kubwa ya Lissu ni kuwa na mihemko. Rejea kauli ya kuwa Nyerere ali.... Kwenye bunge la katiba. Hakupaswa anene hayo. Anahitaji kujifunza nini cha kuongea na wakati gani.
Tundu Lissu angejifunza kwa akina Mandela, Lowassa n.k
Mbowe aambiwe wakati flani ni vizuri kunyamaza aonekane ana busara kuliko kuzungumza. Na anapotaka kuzungumza anapaswa aangalie nini cha kuzungumza.
🤣🤣🤣Hata usipouhalalisha ushoga upo. Ukitaka kujua jiulize ni kwanini Kabudi alimkana Makonda ktk msimamo wa serikali
Mbowe asingekuwa na akili CDM kisingekuwa chama tishio kwa ccm kwa miaka 25 sasa. Hujui maana ya kuwa na akili, unafikiri kuwa na akili ni kukremu namba kama jpm?Freeman Mbowe
Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps.
Mfano:
Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli. Ilikuwa ni performance ambayo haikuwa na tija. Alichemka sana ktk hilo. Alianguka kwa sababu ambazo anazijua si kupigwa. Ifikie hatua tuwe wakweli tu.
But kuna kipindi anakuwa na utulivu flani mzuri. Ila bado kuna kipindi anakurupuka sana. Jana hakuweza ichambua kisomi hotuba ya Mh. Rais akakimbilia ku conclude kukatisha tamaa juhudi za Rais kuwa wakutane. Nadhani alipaswa kutulia. Kutafakari.
Tundu Antipas Lissu
Ana akili sana. Anaweza jenga hoja. Anajiamini. ila anakosa Busara na si mwanasiasa mzuri. Matamko yake huwa yanaonesha ana utoto/ujana mwingi sana. Hafikirii kabla ya kutamka. Anatamka anakuja fikiria baadaye.
Mfano:
Aliyoyaongea baada ya kifo cha Magufuli yalionesha utoto, kukosa busara n.k hata kama aliumizwa sana na Utawala ule kipindi hiki ndo angeweza kujichukulia credit kwa kuongea kama mtu aliyekomaa, but akaanza kupita akifanya sherehe na kutukana. Huo uli kuwa ni utoto.
Ukosefu wa Busara. Jambo ambalo linaonesha ana immaturity katika siasa na nini cha kuongea. Shida kubwa ya Lissu ni kuwa na mihemko. Rejea kauli ya kuwa Nyerere ali.... Kwenye bunge la katiba. Hakupaswa anene hayo. Anahitaji kujifunza nini cha kuongea na wakati gani.
Tundu Lissu angejifunza kwa akina Mandela, Lowassa n.k
Mbowe aambiwe wakati flani ni vizuri kunyamaza aonekane ana busara kuliko kuzungumza. Na anapotaka kuzungumza anapaswa aangalie nini cha kuzungumza.
Pole. Pambana na hali yako.Freeman Mbowe

We uliwahi sana kwenda Milembe. Upp wodi gani?Unaonaje ujisalimishe Mirembe kupima afya ya akili zako?
ww ndio huna akili kabisa, ww una usahaFreeman Mbowe

Nguruwe wa Lumumba hamna hoja sasa mnabaki kujadili watu.Freeman Mbowe

Mhuni baba yako aliyelea toto lililopatikana kwenye mikesha ya mwengeDAAAAA mkuu unawajua bavicha wewe walivyo na mahaba na hawa wahuni? kina mbowe na lissu? ngoja waje wakutukane mapaka ukome
Nguruwe wa Lumumba hamna kitu tena mna kazi ya kuteta watu kama malaya fulani hivi.Tangu lini Nyumbu wakamtakia mema rais Samia hadi wampangie cha kufanya?
Huyo Kinuju ni shoga anauzia matako yake MagomeniMashoga ni watu hawakushushwa toka mbinguni ni watoto, ndugu, jamaa zetu hawakuzaliwa hivyo wengi wao walifanyiwa ukatili utotoni, tuwafundishe, tuwaelimishe juu ya Mungu na kuwaombea wabadilike kama wewe ni mtu mzima hutamcheka kilema maana hata kesho yako hujui mwanao au ndugu yatakayompata unaweza kumcheka shoga leo kesho mwanao akawa mvuta bangi au madawa ya kulevya
Kweli kabisa,tunasoma hata kwenye misaafu,tangia enzi za Sodoma na Ghomora, ushoga ulikuwepo upo na utaendelea kuwepo.Hata usipouhalalisha ushoga upo. Ukitaka kujua jiulize ni kwanini Kabudi alimkana Makonda ktk msimamo wa serikali
Sikuwa hata na sababu ya kusoma takataka na uozo huo wote. Ilitosha kusoma mstari moja kukujua ulivyo, ila sikujua mara moja unatumia kiungo kipi kufikiri.Freeman Mbowe
Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps.
Mfano:
Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli. Ilikuwa ni performance ambayo haikuwa na tija. Alichemka sana ktk hilo. Alianguka kwa sababu ambazo anazijua si kupigwa. Ifikie hatua tuwe wakweli tu.
But kuna kipindi anakuwa na utulivu flani mzuri. Ila bado kuna kipindi anakurupuka sana. Jana hakuweza ichambua kisomi hotuba ya Mh. Rais akakimbilia ku conclude kukatisha tamaa juhudi za Rais kuwa wakutane. Nadhani alipaswa kutulia. Kutafakari.
Tundu Antipas Lissu
Ana akili sana. Anaweza jenga hoja. Anajiamini. ila anakosa Busara na si mwanasiasa mzuri. Matamko yake huwa yanaonesha ana utoto/ujana mwingi sana. Hafikirii kabla ya kutamka. Anatamka anakuja fikiria baadaye.
Mfano:
Aliyoyaongea baada ya kifo cha Magufuli yalionesha utoto, kukosa busara n.k hata kama aliumizwa sana na Utawala ule kipindi hiki ndo angeweza kujichukulia credit kwa kuongea kama mtu aliyekomaa, but akaanza kupita akifanya sherehe na kutukana. Huo uli kuwa ni utoto.
Ukosefu wa Busara. Jambo ambalo linaonesha ana immaturity katika siasa na nini cha kuongea. Shida kubwa ya Lissu ni kuwa na mihemko. Rejea kauli ya kuwa Nyerere ali.... Kwenye bunge la katiba. Hakupaswa anene hayo. Anahitaji kujifunza nini cha kuongea na wakati gani.
Tundu Lissu angejifunza kwa akina Mandela, Lowassa n.k
Mbowe aambiwe wakati flani ni vizuri kunyamaza aonekane ana busara kuliko kuzungumza. Na anapotaka kuzungumza anapaswa aangalie nini cha kuzungumza.
Atakuletea maneno ya usani ya Msukuma.Nipe ushahidi usio na shaka kuthibitisha Mbowe alikuwa amelewa ndio akaanguka na kuumia.