Tofauti na Iran na vibaraka wake, tishio kubwa katika nchi za magharibi ni mrengwa wa kushoto (liberals, far lefts and woke culture)

Tofauti na Iran na vibaraka wake, tishio kubwa katika nchi za magharibi ni mrengwa wa kushoto (liberals, far lefts and woke culture)

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Screenshot_20241119-124732.png

Wanatengeneza kansa katika jamii zao kwa ajili tu ya kuwafurahisha wahamiaji holela, LGBTQ, Feminists, Anti-Christs, #freepalestine (utapeli) , etc

Kama ilivyo sera yao ya uhuru na Hatua za bila mipaka itapelekea msingi wa familia kuharibika, jeshi kuwa dhaifu kutokana na influence ya upinde, itikadi za uovu kutengeneza systems nchini mwao, kupotea kwa kujivunia kwa mataifa yao, kushuka kwa kizazi cha kizungu kutokana na abortion holela na wanawake kuamua kutozaa , etc

Hadi sasa kumetokea trend ya kuwabadirisha watoto wa kiume kuwa jinsia ya kike. Kitu hiki Mrengwa wa Kulia wanakipiga vita sana ila liberals wanasingizia kuwa wanachofanya ni ubaguzi.

Baadhi ya mambo negative yatokanayo na sera za liberals yameanza kuonekana katika nchi tofauti.
 
Back
Top Bottom