Erick Kalemela
R I P
- Nov 19, 2017
- 815
- 1,023
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]FBI inaanza na herufi ya F na CIA inaanza na herufi ya C. Kwenye CIA herufi inayofuata ni I wakati FBI inafuata B. Halafu FBI inamaliza na I wakati CIA inamaliza na A.
Hiyo ndiyo tofauti MKuu.
Wote hao ni usalama mkuu (kwa tafsiri ya Usalama wa Tanzania, kwasababu structure yetu haipo kama Wamarekani)Usalama wa taifa wanaitwa wapo *Secret service*
Wala haichekeshi.FBI inaanza na herufi ya F na CIA inaanza na herufi ya C. Kwenye CIA herufi inayofuata ni I wakati FBI inafuata B. Halafu FBI inamaliza na I wakati CIA inamaliza na A.
Hiyo ndiyo tofauti MKuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]CIA ni shirika la kipelelezi la marekan linalofanya upelelezi nje ya mipaka ya US. Maafisa wa CIA wamejaa dunian kote hata hapa Tanzania wapo mfano mimi hapa.
FBI hili ni shirika la kipelelezi linalo operate ndani ya mipaka ya US. Maafisa wake wamejaa marekani nzima,mfano mange kimambi
Una tatizo la kisaikolojia, ndio maana. Kutocheka vitu wengine wanacheka huwa ni mental issue sio jambo la mzahaWala haichekeshi.
Haijawekwa wazi kama za wenzetu, kama unaijua tuambie basiMnakimbilia kujua security structure ya USA wakati hata security structure ya nchi yenu hamijui.
Hii nchi yawafaa watu wote watolewe kafara tu.
Hujui NSA, Hujui CIA na hujui KGB, hivyo tutachoshana bure aseeYeah, sijadeny kuwa NSA ni chombo cha kijasusi!
Rudi ukajifunze Zaidi kuhusu CIA vs NSA. Ndio maana kukawepo na rivalry kati ya KGB ya Soviets versus CIA na sio KGB vs NSA. Vyombo vya kijasusi vilivyo kamilika hufanya kazi nyingine ya kijasusi ambayo ni kurun propaganda kwa ajili ya usalama na maslahi ya dola husika and that is why kama sijasahau budget ya KGB iliyokuwa allocated kwa ajili ya propaganda ilikuwa ni 85% au 15% nasahau sahau. Wiretapping, Bugging, eavesdropping wanayofanya NSA sio ni suala dogo ambalo halifanyi useme kuwa NSA ndio wenye role kubwa kuzidi CIA
Hujui NSA, Hujui CIA na hujui KGB, hivyo tutachoshana bure asee
Wasiyoingia jf kweli kuna vitu wanavikosa.FBI inaanza na herufi ya F na CIA inaanza na herufi ya C. Kwenye CIA herufi inayofuata ni I wakati FBI inafuata B. Halafu FBI inamaliza na I wakati CIA inamaliza na A.
Hiyo ndiyo tofauti MKuu.
Teh teh we jamaa bhana teh teh ila ndo raha ya JF.Nasikia fbi hawafagi
Ni kwer ila mistake of fact nduguNikajua utaandika kwa kiswahili kama ilivyo heading ili tusiwaache wengine pia.
Upo sawa.1. FBI stands for Federal Bureau of Investigation & CIA stands Central Investigation Agency
2. FBI deal with domestic issue & CIA have direct jurisdiction over us
3. FBI extends support/to CIA as and when required &CIA don't have jurisdiction over crime occuring in us
4. FBI has wider range of responsibilities &CIA has limited range of responsibilities
5. FBI agency don't interact with agency of other countries & CIA may interact with agency of other countries
Kwakuwa tunajifunza nipo tayari kukosolewa na kama kuna mtu ana lolote ongezea