Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

Kaka haukosawa,kumbuka tukio la la US EMBASSY BOMBING IN E.AFRICA, waliokuja ni FBI.
FBI wanadeal na UCHUNGUZI wa masuala ya KIHALIFU,ndani na nje ya US.
CIA wao ni MAJASUSI wanadeal na masuala ya kiuchumi,wanachunguza mipango yote katika nchi zote za nje ya marekani kuona waibe nini US iendelee,nani ni kikwazo wamuue au wamuangushe,muna mpango gani na silaha gani kiulinzi NK.
Kama unaweza kupitia comment yangu utaona nimesema fbi wanakuja njee kwa order maarumu , alafu pia kwenye ubalozi wao nikama nchi yao , sio tu kwenye issue hizo kuna scenario mbalimbali ambapo fbi waliweza kuitwa kufanya hivyo , ikumbukwe CIA iko very secret pia haina police kama walivyo fbi wakwenda kufanya kazi kama hizo , kuna kitu wanaita jurisdiction area.
 
CIA ni washauri wa mgambo kimataifa na FBI ni wanajeshi wa bange! Border zote za US
 
Vijana mnapenda sana kazi ngumu( kazi za usalama).
Wenzenu wanajuta kwanini waliingia nyie mnanyoosha vidole kutaka kuingia.
 
Kwa ufupi

FBI ni Domestic Intelligence Agency + Federal Law Enforcement ni kama Mi5 ya UK
CIA ni External Intelligence Agency ni kama Mi6 ya UK

Ukitaka kulinganisha mfumo vyombo vya usalama vya nchi kubwa kama USA, UK etc na nchi ndogo kama zetu utapata tabu.

Huku kwetu Usalama wa Taifa ndio premier intelligence service. Shughuli inazofanya TISS kwa Tanzania kwa nchi kubwa inafanywa na taasisi nyingi sana tofauti tofauti.
 
Kwa wenzetu wako wazi
Huku kwetu mmmmh siri nyingi sana
 
FBI under certain circumstances wanaweza waka operate hata nje ya Marekani mfano wakati wa ule ugaidi wa 1998 hapa Dar na Nairobi walishiriki ktk uchunguzi wa matukio hayo ya kigaidi.

CIA wao wanajishughulisha na mambo ya ujasusi mfano kwenye miaka ya sitini Hadi themanini hawa jamaa walikuwa very instrumental ktk kufanya njama za mapinduzi kote duniani mfano Congo DR, Ghana nk.
 
CIA wanafanya kazi za upelelezi nje ya Marekani. Lakini haswa kwenye ishu za kijasusi, otherwise state department wanahusika.

FBI upelelezi ndani ya Marekani lakini kwa kesi zilizovuka mikapa ya states. Kama haijavuka mipaka ya states inaangukia kwa polisi.
Pia kama ishu inahusiana na usalama huwa inaangukia. Homeland Security.
 
FBI inaanza na herufi ya F na CIA inaanza na herufi ya C. Kwenye CIA herufi inayofuata ni I wakati FBI inafuata B. Halafu FBI inamaliza na I wakati CIA inamaliza na A.

Hiyo ndiyo tofauti MKuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa akili yako unaujua mwenyewe
 
FBI na CIA utofauti wake nikwamba FBI imeanza na F na CIA imeanza na C mwanzo mwa neno
 
Back
Top Bottom