Tofauti na SADC iliyoleta Marais 8, Jumuiya ya Afrika Mashariki amekuja Rais Kenyatta pekee kumuaga Hayati Magufuli

Hatutasahau; tutakutana huko mbele ya safari. Wengine wao watajialumu wakati it is too late!!! Ndiyo maana wakati mwingine nadhani kuwa Uhuru yuko smart sana kwa kiasi chake.
Magu yeye alikua anahudhuria misiba na functions nyinginezo kwny nchi za watu?
 
Yeye alikuwa anaenda kwenye misiba yao?
 
Nkurunziza alipofaliki mwaka jana Tanzania tulituma wawakirishi Mh Kikwete na Samia Suluhu ,hivyo tusijiangalie sana sisi pia bendera zinapepe ½ mlingoti mpaka JPM apumzishwe by the way labda Ndayishimiye na m7 watakuja siku ya mazishi.
 
Kagame na Museveni hawawezi kuja tu kizembe Tanzania kwa sasa, Nchi haieleweki bado inamisimamo gani baada ya uongozi mpya, huwezi pima urefu wa maji kwa miguu yako yote.

Kumbuka hao viongozi tajwa wana maadui wa kudumu hapa nchini, vipi kama kijiti cha uongozi kikawa kimerejea kwao?
 
Unataka kuniambiaa hapakuwa na muwakilishi wa Rwanda, Burundi Wala uganda [emoji848]
 
chimbuko la SADC ni jumuiya ya nchi zilizokua mstari wa mbelele kuondoa ukoloni na ubaguzi wa rangi kusini mwa Africa.
Hao ni ndugu zetu wa dhati kabisa
 
Uliona kilichotokea?
 
Kagame na Mseveni watakuja Chato
Je hao watu walikuja Chato? Sikuwaona Mimi.

Huwezi kujuwa ubaya wa Magufuli mpaka u- deal naye moja kwa moja. Museveni na Kagame watakuwa wamekwazwa sana na Magufuli.

Kuna wanaodai kuwa Kagame alikuwa dalali kwenye ununuzi wa ndege na kamzima Magufuli "cha juu" . Na ndiyo chanzo cha kuharibika mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…