Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
PK atapinduliwa na nani?Na Waburundi lazima aje pale ni karibu. Wanaogopa kupinduliwa hali si shwali makwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PK atapinduliwa na nani?Na Waburundi lazima aje pale ni karibu. Wanaogopa kupinduliwa hali si shwali makwao.
Magu yeye alikua anahudhuria misiba na functions nyinginezo kwny nchi za watu?Hatutasahau; tutakutana huko mbele ya safari. Wengine wao watajialumu wakati it is too late!!! Ndiyo maana wakati mwingine nadhani kuwa Uhuru yuko smart sana kwa kiasi chake.
Yeye alikuwa anaenda kwenye misiba yao?Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli.
Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa.
Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika Kusini, Zimbabwe, Zambia, Malawi, Congo nk wakija kumuaga Hayati Magufuli ambaye alikuwa kiongozi mwenzao.
Kwa upande wa Jumuiya ya Afrika Mashariki tumemshuhudia Rais Uhuru Kenyatta pekee kati ya Marais 5 wanaounda Jumuiya.
Itoshe tu kusema SADC ndio marafiki wa kweli.
Nkurunziza alipofaliki mwaka jana Tanzania tulituma wawakirishi Mh Kikwete na Samia Suluhu ,hivyo tusijiangalie sana sisi pia bendera zinapepe ½ mlingoti mpaka JPM apumzishwe by the way labda Ndayishimiye na m7 watakuja siku ya mazishi.Huwezi kumleta Kagame kirahisi hivi, ziara zake ni kupangwa muda mrefu kabla. Museveni amekuwa akija mara kibao hapa nchini. Salva Kiir naye nchi yake vurugu ziara zake ni za kupangwa kimkakati.
Labda Burundi ndio angeweza kuja. Hata hivo Magufuli mwenyewe alikuwa hasafiri sana. Corona nayo imechangia pakubwa
Kweli na Kenya ni ndugu ambaye anakera lakini hakwepeki.
[emoji1787][emoji1787] Ni kama mtu na mdogo wake
Kabsaa ..Ndugu daima hutofautiana na kuwa kitu kimoja wakati washida
Hakika mkuu!Ndugu daima hutofautiana na kuwa kitu kimoja wakati washida
Wao ni wazima bwashee!Yeye alikuwa anaenda kwenye misiba yao?
Unataka kuniambiaa hapakuwa na muwakilishi wa Rwanda, Burundi Wala uganda [emoji848]Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli.
Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa.
Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika Kusini, Zimbabwe, Zambia, Malawi, Congo nk wakija kumuaga Hayati Magufuli ambaye alikuwa kiongozi mwenzao.
Kwa upande wa Jumuiya ya Afrika Mashariki tumemshuhudia Rais Uhuru Kenyatta pekee kati ya Marais 5 wanaounda Jumuiya.
Itoshe tu kusema SADC ndio marafiki wa kweli.
chimbuko la SADC ni jumuiya ya nchi zilizokua mstari wa mbelele kuondoa ukoloni na ubaguzi wa rangi kusini mwa Africa.Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli.
Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa.
Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika Kusini, Zimbabwe, Zambia, Malawi, Congo nk wakija kumuaga Hayati Magufuli ambaye alikuwa kiongozi mwenzao.
Kwa upande wa Jumuiya ya Afrika Mashariki tumemshuhudia Rais Uhuru Kenyatta pekee kati ya Marais 5 wanaounda Jumuiya.
Itoshe tu kusema SADC ndio marafiki wa kweli.
Hahahaaaa............!Inapendeza kwa SADC ... Kwa EAC tushawazoea...
Uliona kilichotokea?Wengi nimeona mnalalamika bila hoja za msingi, mmesahau kwamba Ijumaa mwendazake atazikwa na ndiyo siku muhimu sana.
Wasipokuja siku hiyo, tunaweza kuwapa lawama lakini si kwa siku ya jana.
Nina hakika Kenyatta asipokuja siku ya mazishi na hawa marais wengine wakaja basi wabongo lazima mtamsema Kenyatta
Punguzeni upuuzi wa maisha.
Hao walikuwepo. Ila kinachogomba ni uwepo wa Marais wa nchi husika.Unataka kuniambiaa hapakuwa na muwakilishi wa Rwanda, Burundi Wala uganda [emoji848]
Jamaa hawakuja aisee, tuna cha kujifunza tunapochagua marafiki, wengi ni wanafiki sanaKagame na Mseveni watakuja Chato
MmhMtu wenu alikuwa anakwenda kwenye misiba? Au ndo kunya anye kuku akinya bata.
Idiots
Wale jamaa makauzu sana!Jamaa hawakuja aisee, tuna cha kujifunza tunapochagua marafiki, wengi ni wanafiki sana
Je hao watu walikuja Chato? Sikuwaona Mimi.Kagame na Mseveni watakuja Chato