Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
MAKATA inapatikana wapi au kwenye maduka ya aina gani, je nikitumia makata pekee au lazima nichanganye kitunguu swaumu, ndimu na makataGlass ya ndimu iliyochanganywa na kitunguu saumu, kumbuka kuongeza maji kidogo kushushia au dawa inaitwa MAKATA
Good; NTAKUJIBU MKUU. wasomi wa dini zote mbili wapo wachache sana waliobakia wanasaka hela tu, na ndio maana kila kukicha watu wanagombaniana kibla ili apate tonge iende mdomoni, sio kwa kumpenda Mungu.
SUALA LA NYOTA: Mashekhe wengi wamefanya kwamba ndo sheria ila hapana huu ni ushirikina, unaambia ukitaka kuowa uowe Ijumaa kwamba siku zingine nyota ya mwanamke huyo haiko sawa, huu ni ushirikina. Hakuna siku mbaya, matendo yako ndo mabaya.
JIBU LAKO; Ndoto zote zinatokana na shetani alielaaniwa, kwa hiyo hakuna ukweli wa hilo bali huja na kukupotezea mda wako wa kumkimbuka Mungu tu.
Kwa waislam ambao ni swala tano, mara nyingi inapofika swala ya asubuhi ndoto nzuri haziishi. Lengo sala iwapite tu.
Watu wengine wanaota wanakua matajiri ila akiamka hamna kitu mfukoni, huyo ni shetani anakuchezea akili yako.
Vile vile unaweza kujikuta unafanya mapenzi na mtu hatimae kujipiga bao, pia ni shetani kakutawala kitandani.
Kuota umeowa haina maana ya kwamba utaowa karibuni bali ni mawazo yako mwenyewe uliyonayo kwenye akili yako. Na shetani mara nyingi anacheza na akili zetu, ukiwazacho ndicho anachokufanyia unapolala.
Mmh roho ya mauti hiyo!Asante mkuu...naomba nitoke nje ya mada niulize...niliwah kuota nimekufa na nimewekwa kwenye jeneza ina maan gani ndoto hii?!
Husahau sbb ina ujumbe!Aisee nashukuru Mungu...nliota ndoto hiyo miaka 10 imepita ila hua sisahau...asante mkuu
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Hahaha wanasiasa wanamajibu ya jumla jumla sana kwa kila tatizo, na they play with people psychology. Yaani you need, i will provide.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] waganga wa kienyeji siku hizi kama wanasiasa tuu... Wanaangalia wanapata nini kwenye nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji115]Hahaha wanasiasa wanamajibu ya jumla jumla sana kwa kila tatizo, na they play with people psychology. Yaani you need, i will provide. No matter how difficulty your need might be.
Lakini wewe you give them answers right away. And I am amazed how everyone get satisfied with the answers you provide. Hii inaonyeshageez I, wako wakua clinical psychologist hata kama wewe sio. Yaani mganga wa level nyingine ilitakiwa ukaishi sayari nyingine kama siyo galaxy nyingine hahaha big up.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji115]Hahaha wanasiasa wanamajibu ya jumla jumla sana kwa kila tatizo, na they play with people psychology. Yaani you need, i will provide. No matter how difficulty your need might be.
Lakini wewe you give them answers right away. And I am amazed how everyone get satisfied with the answers you provide. Hii inaonyeshageez I, wako wakua clinical psychologist hata kama wewe sio. Yaani mganga wa level nyingine ilitakiwa ukaishi sayari nyingine kama siyo galaxy nyingine hahaha big up.
Huwa nafurahishwa sana unavyotoa tiba, soo kindly, keenly, professionally na everyone is happy hahaha.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nia ni kusaidia sio personal gainings... Hasa kifedha
Asante mkuu....ila ni miaka 10 imepita na nliota nkiwa mdogo japo nliogopa sana na hua sisahau...Naomba nikujibu kibliblia,
~hiyo ndoto ina maana kuna roho ya mauti ipo kwako na inazengea kukuua kabisa kiroho na wakati mwingine kimwili japo si sana.
~hapo hiyo mauti inakuwa imetumwa kwenye,uchumi,maisha ya kawaida,ardhi,uzao wako,anga nk.ss unatakiwa kwa kuiondoa kwa kufanya vitu vifuatavyo.
1.nyunyiza damu ya Yesu sawasawa na waebrania 12:24
2.Omba toba kwa kuacha milango ya ndoto wazi.yaani kutakuwa na ulinzi juu ya hilo lango.
3.okoka kama huja okoka ili kukabiliana na hiyo laana maana ipo kihalali.
4.ondoa laana hiyo kwako
5.Futa hiyo laana
6.Batilisha hiyo laana sawa na waebrania 9:10 na waebrania 2:14-15
7.Kemea pepo lililo tumwa kuiguatilia hiyo laana na kuitekeleza.
8.ombea baraka kwako na eneo ulilo liona ndotoni.tena baraka za ndani ya agano.
Ufunuo 11:12
9.Mshukuru Mungu
Thanks but seriously I hate politics hasa hizi za kiafrika.. They are fake and very unrealistic..Unajua nchi yetu ilipofikia mshana unaweza kuwa msaada mkubwa kuitibu jamii. Tunahitaji majibu ya papo hapo. Unewahi kufikiria politics as your career?! Sikufahamu lakini utafanya vizuri mkuu
Mkuu sio mara zote tafsiri ni kuepuka!ndugu mshana jr ikiwa ukiota kifo tafasiri yake ni kukiepuka vipi kuhusu kuota ndoa ina maana umeiepuka? Asante!
Yes,[emoji106] [emoji106] kibiblia si nzuri kuota unakula!Ndoto ni mlango wa kiroho Mungu anajifunua kupitia ndoto na kuweka maagano Mwanzo 15 usipewe tafsri nje ya neno la Mungu maana shetani naye anajifunua ktk ndoto ukiota umelishwa ni unakumbushwa agano 1korinto 10:16-28ndoto ni mlango soma mwanzo 28 na mwanzo 37 mpaka sura 43 ndoto anatafsri Roho Mtakatifu kupitia Neno la Mungu nenda fcbk ukamtafute Mwalimu Christopher Mwakasege mana ministry kafundisha tafsri nje ya neno la Mungu Biblia huyo ni shetani kwa msaada ni pm
Damu ya Yesu pekee ndo inaweza kuflash,kuondoamshana jr ukiwa umelishwa kwenye ndoto ukiamka asubuhi nini kifanyike ili ku flash ulichokula na kisifanye kazi kama iliyo kusudiwa