ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,869
- 3,852
Kuna maada mbalimbali zimeanzisha humu kuhusu Ushaidi wa uwepo wa Mungu, Mimi leo natoa ushahidi wa uwepo wa Mungu kwa kujenga hoja kutokana na Tofauti ya dini.
Swali la Musingi ni ‘kwa nini kuna dini ama imani tofautitofauti na zingine zinapingana juu ya namna ya njia sahihi ya kumuelekea MUNGU?’
Wapendwa wasomaji wa bandiko hili mimi ni Mkristo Mkatoliki hivyo nitajibu kikatoliki swala la tofauti za dini kama ushahidi wa uwepo wa Mungu kama ifuatavyo.
Kwanza Ushaidi wa kuwepo tofauti za dini toka zama za kale
Kwa maana nyingi katika historia ya binadamu, na hata mpaka leo hii, watu wameonesha shauku kubwa ya kumtafuta Mungu kwa njia Imani na kuishi kidini (Sala, Sadaka, Ibada, Taamuli na kadhalika) hivyo mtu ni kiumbe chenye dini
JIBU: Binadamu aliumbwa kwa namna ya MWILI NA ROHO, Hii ikiwa na maana Roho ni sehemu ya Mungu ama ni asili ya Mungu. Kutokana na Binadamu kuwa na asili ya Uungu amekuwa na tamaa ya kuitafuta nguvu ya asili yake. Tamaa ya kuwa na Mungu imeandikwa katika moyo wa mtu kwa sababu ameumbwa na Mungu na kwa ajili ya Mungu.
‘Ni katika Mungu tu ndipo ambapo mtu anaweza kupata ukweri na heri ambayo hachoki kuitafuta.
HIVYO TOFAUTI YA DINI NI UDHIBITISHO TOSHA KUONESHA NAMNA TAMAA (UCHU) YA MTU ANAVYOPAMBANA KUISAKA ASILI YAKE AMBAYO NI MUNGU HATA KWA KUPAPASA.
Muunganiko wa Mungu na Mtu ulio haai hauwezi kutenganisha japokuwa unaweza:

kumbuka bandiko hili siyo kwa ajili ya dini ipi ni sahihi bali ni uwepo wa Mungu
Kwanza Ushaidi wa kuwepo tofauti za dini toka zama za kale
Kwa maana nyingi katika historia ya binadamu, na hata mpaka leo hii, watu wameonesha shauku kubwa ya kumtafuta Mungu kwa njia Imani na kuishi kidini (Sala, Sadaka, Ibada, Taamuli na kadhalika) hivyo mtu ni kiumbe chenye dini
- kwa mujibu wa bibilia kuna ushaihindi wa uwepo wa dini mbalimbaili toka kitambo sana soma Kutoka 7:10-11, Yoshua 24:15, Matendo 23:6-8, Matendo17:22-25, Matendo 6:5
- Ushaidi toka katika mazingira ya tamaduni zetu kwa waafrika hata kabla ya wakoloni au watu weupe kutuletea dini za Kikristo na Kiisilamu bila kusahau Budha, Hindu na kadhalika. Tulikuwa na dini zetu mbalimbali kwa kila jamii na tuliabudu mizimu, miti, milima dini zote hizi ziliongonzwa na hapa tunapata hoja kuu moja tu nayo ni kuwa ‘kuna kitu kilicho kikuu kuliko sisi binadamu kisichoonekana kinaongoza maisha yetu’. Jambo la ajabu dini hizi zilitofautiana kutoka jamii moja kwenda nyingine katika kuabudu ama kumuelekea Mungu
SWALI LILETALO JIBU
Ninani alimufundisha binadamu maswala ya dini?, ni namna gani Binadamu alianzisha dini? Je! Ni lini hasa?.
Ninani alimufundisha binadamu maswala ya dini?, ni namna gani Binadamu alianzisha dini? Je! Ni lini hasa?.
JIBU: Binadamu aliumbwa kwa namna ya MWILI NA ROHO, Hii ikiwa na maana Roho ni sehemu ya Mungu ama ni asili ya Mungu. Kutokana na Binadamu kuwa na asili ya Uungu amekuwa na tamaa ya kuitafuta nguvu ya asili yake. Tamaa ya kuwa na Mungu imeandikwa katika moyo wa mtu kwa sababu ameumbwa na Mungu na kwa ajili ya Mungu.
‘Ni katika Mungu tu ndipo ambapo mtu anaweza kupata ukweri na heri ambayo hachoki kuitafuta.
HIVYO TOFAUTI YA DINI NI UDHIBITISHO TOSHA KUONESHA NAMNA TAMAA (UCHU) YA MTU ANAVYOPAMBANA KUISAKA ASILI YAKE AMBAYO NI MUNGU HATA KWA KUPAPASA.
Niwakubushe bandiko hili siyo kwa ajiri ya dini ipi ni sahihi bali ushahidi wa uwepo wa Mungu
SWALI LA NYONGEZA JE MUUNGANIKO WA MTU NA MUNGU UNATENGANISHWA (MWILI+ROHO)
SWALI LA NYONGEZA JE MUUNGANIKO WA MTU NA MUNGU UNATENGANISHWA (MWILI+ROHO)
Muunganiko wa Mungu na Mtu ulio haai hauwezi kutenganisha japokuwa unaweza:
- Kusahaulika
- Kutojulikana
- Kukataliwa waziwazi na mtu kwa sababu mbalimbali kama
- Uasi dhidi ya uwepo wa mabaya katika dini
- Kutokujua, kutojali dini.
- Mahangaiko ya dunia na mali,
- Mifano mbaya wa waamini,
- Maelekeo ya mawazo ya kisasa ya chuki ya dini na
- Mwisho maelekeo ya mtu mwenye dhambi ambaye kwa hofu anajificha mbele ya Mungu na kukimbia mbali na watu wake.
NIWATAKIE JIONI NJEMA YA JUMATANO TULIVU