Tofauti ya Lissu na Samia ni kwamba mmoja wao ni fake!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Tofauti ya Lissu na Samia ni kwamba mmoja wao ni fake!. Magufuli alipata wafuasi wengi kwasababu hakuwa fake pamoja na mapungufu yake. Lissu naye hajawahi kuwa fake.

Mama Samia ndiyo maana halisi ya mtu fake. Mama Samia watanzania wanajua anasema chaguzi zilikuwepo lakini hazikuwepo, ushindi wake ni fake na namba zote za kutengeneza, wadau wake ndiyo wala rushwa wakubwa, mikataba ya sirisiri fake, PHD yake yakupewa aka fake, elimu ya kuunga unga aka fake.

Huyu Mama fake hataweza kuwa mashuhuri kama Lissu au Magufuli. Alipoteza nafasi maana mwaka 2022-2023 alikuwa kidogo ana aminiwa. Maridhiano vilevile yalikuwa fake. Anasema anataka katiba lakini tunajua ni fake.

Anasema hataki utekaji tunajua hii ni fake mpaka mtoto wake anahusishwa kwa utekaji. Rafiki yake wa karibu ambaye kampa tender ya ku supply uniform za jeshi kawapiga serikali mpaka ana ndege binafsi hivyo kusema anapigana na rushwa ni fake.

Hata hapa tuna machawa wengi na watu fake
 
CCM wanateseka sana wameona machawa hawatoshi inabid sehemu zingine watumie maroboti kumsifia samuya lakin wapi...
 
Nguvu za utawala wa giza, kutoka Gamboshi hadi Tumbuu.
 
Lissu ni product ya Illboru special school huyo mwingine form 4 aliambulia D moja tu...kamwe usiwafananishe!.
Akili kubwa vs akili ndogo!
 
Tofauti ya Lissu na Samia ni kwamba mmoja wao ni fake!. Magufuli alipata wafuasi wengi kwasababu hakuwa fake pamoja na mapungufu yake. Lissu naye hajawahi kuwa fake.

Mama Samia ndiyo maana halisi ya mtu fake. Mama Samia watanzania wanajua anasema chaguzi zilikuwepo lakini hazikuwepo, ushindi wake ni fake na namba zote za kutengeneza, wadau wake ndiyo wala rushwa wakubwa, mikataba ya sirisiri fake, PHD yake yakupewa aka fake, elimu ya kuunga unga aka fake.

Huyu Mama fake hataweza kuwa mashuhuri kama Lissu au Magufuli. Alipoteza nafasi maana mwaka 2022-2023 alikuwa kidogo ana aminiwa. Maridhiano vilevile yalikuwa fake. Anasema anataka katiba lakini tunajua ni fake.

Anasema hataki utekaji tunajua hii ni fake mpaka mtoto wake anahusishwa kwa utekaji. Rafiki yake wa karibu ambaye kampa tender ya ku supply uniform za jeshi kawapiga serikali mpaka ana ndege binafsi hivyo kusema anapigana na rushwa ni fake.

Hata hapa tuna machawa wengi na watu fake
wow
 
Back
Top Bottom