Tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Dar, Mwanza na Arusha

Huko kibosho, mkibosho akikuchomolea kisu lazma kirudi na damu hatishii ... Hawajui ngumi [emoji1][emoji1][emoji1]
Sijui kwa vile kazi zao za mabucha ya nyama huwapawepesi..
Huko mkuu kila siku maiti HUWA ziznaokotwa. Kesi za mauaji Ni nyingi mno.

(Utasikia NGIKUKAPA KYANDU KIKAMUNJIKA WEKELIPA)

Tafsiri NITAKUPIGA KISU KIKIVUNJIKA UTAKLIPA[emoji16][emoji16]kibosho hiyo! Washenzi kuliko ushenzi wenyewe!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bro Mwanza watu wanapigana wengi Tena kimakundi yaan vijana mtaa flan vs wamtaa flani
Niliwah kushuhudia hilo vijana kama 30 wakipigana kwa visu , mapanga na chupa huku raia wa pembeni wakikimbia na kusimama kwa mbali kuangalia mtanange mpk polis walivyotokea wakaogopa kuingilia ndy wakaja ffu ndy wale wahuni wakakimbia
Ila yale mazingira yalichafuliwa na vipande vya chupa ,mawe na dam
 
Duh
Hatari sana hii. Mtaa gani huo kaka?
 
Wakurya hawapigani kwa ngumi ni mapanga na silaha
 
Yote tisa nilishuhudia mgomvi wa mtu mweny muku uwanja wa jiwe sehemu inaitwa mwahako Tanga.

Jamaa kama kapandisha mashetani yule mpinzani wake alizima na waliokuwa wanaamulia walichezea kichapo ,jamaa mpaka kupoa akaletewa shekhe kumsomea na alitoka nje baada ya siku kama mbili ,halafu jamaa ni mpole kama hakuja tokea kitu na yeye ndio alichokozwa.

Na yeye na wazazi wake walienda kumuona msela aliyempiga ba kumuomba msaa ,ila msela ndio alikuwa kamchokoza msela .

Usiombe ukutane na mdigo mweny muku utajuta....Hasikii maumivu ila akikupiga ngumu lazima uzime.
 
muku ni hatari sana kuna msambaa mmoja alichanjiwa muku mpaka mwisho amekuwa chizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…