Tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Dar, Mwanza na Arusha

Ngumi za Arusha mara nyingi hawapigani watu wawili inakua kama magroup mnapigana.

Kuna hyo siku tulikua tunacheza pool table ile mnakua mnacheza wengi mwenye point nyingi anakua mshindi sasa kuna jamaa tangu asubuhi kila game yy ni mshindi, mnapokua mnacheza Kuna wengine ambao hawachezi ila wanakua wamebeti nani atashinda kati yenu ko kama mpo sita mnacheza buku buku nje Kuna watu sita wamebet buku buku.

Wajomba wakaanza kumharibia yule pro kila ikikaribia zamu yake kete inaegeshwa vbya na figisu ndogo na anaeandika point alikua anakata kisiri Siri jamaa kustuka akalianzisha aisee raia walipiganaaa punde si punde nlipigwa ngumi ya sikio 😁😁😁 sikumbuki nlifikaje home
 
Kuna siku niliyaingia maji marefu nilichezea ngumi sio za dunia hii tena zile ngumi nzito na yule jamaa alikuwa kuli wabeba mizigo mizito magunia... kila nikiangalia mtu wakuja kutuamulia au difenda la polisi likipita sioni dalili ndio kwanza watu wanafurahi.
Nikijasemea moyoni ukisikia kufa kimasihara ndio uku kukimbia siwezi maana nilikuwa nimechakazwa kweli.
Pona pona yangu niliona kipisi cha nondo pembeni sikujiuliza mara mbili nikamchapa jamaa cha kichwa mwana akapoteza network nikakimbia
 
Kuna mshkaji aliuaga hvohvo
Walikua wanapigana garage jamaa akazidiwa akamchapa nondo ya kichwa mwenzie akakata moto pale pale
 
Kuna siku niliyaingia maji marefu nilichezea ngumi sio za dunia hii tena zile ngumi nzito na yule jamaa alikuwa kuli wabeba mizigo mizito magunia... kila nikiangalia mtu wakuja kutuamulia au difenda la polisi likipita sioni dalili ndio kwanza watu wanafurahi.
Nikijasemea moyoni ukisikia kufa kimasihara ndio uku kukimbia siwezi maana nilikuwa nimechakazwa kweli.
Pona pona yangu niliona kipisi cha nondo pembeni sikujiuliza mara mbili nikamchapa jamaa cha kichwa mwana akapoteza network nikakimbia
Jamaa angekuua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yeah hiyo ata watu wakiwa kumi ni unavimba na kuteleza hushikiki..
Yote tisa nilishuhudia mgomvi wa mtu mweny muku uwanja wa jiwe sehemu inaitwa mwahako Tanga.

Jamaa kama kapandisha mashetani yule mpinzani wake alizima na waliokuwa wanaamulia walichezea kichapo ,jamaa mpaka kupoa akaletewa shekhe kumsomea na alitoka nje baada ya siku kama mbili ,halafu jamaa ni mpole kama hakuja tokea kitu na yeye ndio alichokozwa.

Na yeye na wazazi wake walienda kumuona msela aliyempiga ba kumuomba msaa ,ila msela ndio alikuwa kamchokoza msela .

Usiombe ukutane na mdigo mweny muku utajuta....Hasikii maumivu ila akikupiga ngumu lazima uzime.
 
Sitakuja Kupigana aisee maana wengine tumechanjiwa, tukiweka kitasa lazima mtu anye. Sasa siku hizi watu wagonjwa wengi kesi ya Mauaji anytime..
Mfano hawa boxers si wanaweza kuchanjwa? maana mtu aliyechanyiwa ni hatari sana.
 
Kuna Masharti, mfano mpaka mtu akuchokoze na umuavoid kwa kias kwamba huna tena option zaidi ya kupeleka Jaruba.

Sasa Boxing mnaelewana kabisa mnakaa mnapiga picha mnakumbatiana ndio mnaanza kuwekana. Sidhan kama ina work
 
Arusha wanakuambia mbaya ni mbaya hakuna nzuri mbaya [emoji28][emoji28]
Yaani hakuna ugomvi mdogo wala mkubwa yote ni ugomvi tuh
Ngumi utazopigwa ukitukna ni sawa sawa na ngumi utazopigwa kwenye case ya kuiba mke wa mtu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ugomvi wa zenji ni kumwagiana urojo yakhe

Yakhe ujanijua vizuri weye muulize cholo atakupa habari zangu me thie mtu wa mchezo nikibadilika sio mie ivooo oooh we bola ujiondokee zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asa uliza alichofanywa cholo [emoji28][emoji28][emoji28]unakuta alimsemea kwa wazazi wake tuh
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
HII SIO HADITHI, NI ONYO!

Ukiwa mkoa wa mara, fanya unavyoweza asee ila usimtukanie mtu mama yake. Utakufa unajiona. Kwa mkoa mara, hilo tusi ni point of no return!

Ukiwa mkoa wa Mara, usimdharau mtu kwa kuupima mwili wake. Hata ukiwa bingwa wa karate, kung fu, jiu jitsu, tai chi, mieleka na mafunzo mengine yasiyoeleweka, usimdharau mtu kisa unaona yuko na afya mgogoro. Utakufa bila kujua kilichokuua!

Ukiwa mkoa wa Mara, ni marufuku kuingilia ugomvi usiokuhusu. Ukiona wanaume wameamua kushikishana adabu, kaa pembeni asee. Ukiingia kuachanisha unakufa wewe!

Ukiwa mkoa wa Mara na ukajikuta uko kwenye mazingira yanayokulazimu kupigana, basi usochague silaha, wala usipigane kiungwana. Hakunaga vita ndogo mkoa wa Mara. VITA NI VITA!

Ukiwa mkoa wa Mara, ukampiga mtu ukamzidia akakimbia, asee toweka hilo eneo haraka iwezekanavyo. Mkurya akikimbia ugomvi haujaisha, ugomvi ndio unaanza na this time harudi kinyonge!

Ukiongelea gangs za mitaani, siku hizi zimepoa mkoa Mara. Lakini miaka kumi iliyopita, Musoma ilikua haina tofauti ni mitaa ya Sinaloa Mexico. Ni Musoma pekee ndio defender ya FFU ilishindwa kutuliza ugomvi wa gangs mbili hasimu, ikabidi warudi kujikusanya, zikaja defender nne na mabomu ya machozi ndio watu wakatawanyika!

NB: Ugomvi sio kitu chema!
 
Watakuja watoto wa zanzibari na daslam na waachuga watasema huo ni uongo chuga ndy baba laoo
 
Back
Top Bottom