Tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Dar, Mwanza na Arusha

Huko mkuu kila siku maiti HUWA ziznaokotwa. Kesi za mauaji Ni nyingi mno.

(Utasikia NGIKUKAPA KYANDU KIKAMUNJIKA WEKELIPA)

Tafsiri NITAKUPIGA KISU KIKIVUNJIKA UTAKLIPA[emoji16][emoji16]kibosho hiyo! Washenzi kuliko ushenzi wenyewe!
Ngikukapa Kyandu. Umemifurahisha sana. Mi mmachame ila hiko nimekujua moja kwa moja.
 
Ilikuwaje hii ya hizo Gangs?
 
Hawa jamaa ni mwendo wa sime, mikuki na mapanga. Mwanaume huwezi kuwa soft huna hata ngeu
 
vipi kuhusu ngumi za mtaani kwenye mji wa tunduma ndugu mtoa mada?
 
Ugomvi nliowahi kuuona hata sitausahau ni mwaka 2017 nliendaga Kahama mh nyie ngumi za makundi hizi sio nzuri yan had polisi wanakuja kutokea barabara ilkuwa imejaa chupa tu mtu mmoja kafa

Yan raia wanatembea na mikasi mixer vyupa kwenye bags mixer minyororo ya pikipiki dah, nakumbuka yule jamaa alofariki alkuwa anaitw Side alpgwa mkasi wa shingo damu zilitapakaa pale watu bdo wanapgana tu, nlkaa nkajiulza hawa wana mapepo ama uh!

Acha tu nibaki Dodoma tunazungumza yanaisha huko kwngne hapana.
 

Mbona hatari
 
Kuhusu Dar na Mwanza simulizi hii ni 100% mikoa yangu hii niliyoiishi muda mrefu kuliko mikoa mingine. Arusha sija experience sana hilo pale sijapata kuishi zaidi ya kupita au viwiki kadhaa vya kikazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…