Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Hugs dearest sisView attachment 3570548
Huu msiba umeniumiza sana kafariki classmate wangu alikuwa mstaarabu sana, wapumzike kwa amani 😢
Pole sanaView attachment 3570548
Huu msiba umeniumiza sana kafariki classmate wangu alikuwa mstaarabu sana, wapumzike kwa amani 😢
Pole sana kwa kumpoteza classmates MkuuView attachment 3570548
Huu msiba umeniumiza sana kafariki classmate wangu alikuwa mstaarabu sana, wapumzike kwa amani 😢
Mkuu Crown imechskaa hadi haionekani?View attachment 3570524
Kufuatia ajali ya vijana wawili wenye Subari Pichani wakishindana na Crown , sasa ni rasmi “bodaboda akili zao ni sawa kabisa na vijana wa Subaru/Crown”
Ajali imetokea Morogoro, wakipiga ligi na wakakutana na chuma Uso kwa uso.
Ukiangalia Barabara za TANROAD , hakuna ya kuendesha zaidi ya 100/km per h. Kuna pot holes,wanyama wanakatisha, kuna magari mabovu yanatengenezwa baranarani, kuna Barrier za mazao na polisi bila tahadhari, sasa vijana mkinunua Crown ama subaru mnaweza kwenda kwenye official rally na si hizi barabara zetu.
Mungu atusaidie na pole kwa wanafunzi wote wa CASFETA, Upanga CCC na Ardhi University
Thanks hunny bunny 🫂Hugs dearest sis
Thanks sis ❤️Pole sana
Thanks babu ❤️Pole sana kwa kumpotezea classmates Mkuu
Wapumzike kwa amani 🙏🙏
Tena wale wa ma LC300 na wenzao ndo wamekuwa wa hovyo sana, mtu muda wote kahama upande halafu huyo anachomeka mbele.Ni hivi tofauti ya madereva WENGI wa hapa Tanzania na bodaboda ni kuwa madereva wengine wanaendesha vyombo vyenye matairi 4+ na bodaboda wanaendesha vyombo vya matairi mawili. Siku hizi gari hai define dereva. Si dereva wa LC300, RR,MB,BMW etc yote hayo siku hizi kuna wapuuzi wengi tu wanaendesha.
Kufa usifiwe mema hii TanzaniaView attachment 3570548
Huu msiba umeniumiza sana kafariki classmate wangu alikuwa mstaarabu sana, wapumzike kwa amani 😢
Bara zetu nyembamba bila kutegemea utakumbana na shimo katikati cha kushangaza speed 100 inaonekana mwendo mkaliiii kwa ufinyu wa barabara.Pole kwa hao marehemu
Madereva tuchukue tahadhali tuwapo barabarani
Tuepuke kuendesha mwendo mkali pia kuendesha tukiwa tumekunywa (ulevi)
Kwa kweli changamoto yetu kubwa ni ubovu wa miundombinu yetu ya barabaraBarabara zetu nyembamba bila kutegemea utakumbana na shimo katikati cha kushangaza speed 100 inaonekana mwendo mkaliiii kwa ufinyu wa barabara.
Poleni sana 🙏🙏Thanks babu ❤️