Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Duh basi ni hatari kwa watumiajiIna mashimo na viraka vingi sana. Ni kama unendesha barabara ya vumbi. Kama sio mzoefu hii njia ni hatari.
Hapo ajali nje nje 🙌
Duh basi ni hatari kwa watumiajiIna mashimo na viraka vingi sana. Ni kama unendesha barabara ya vumbi. Kama sio mzoefu hii njia ni hatari.
Cc ngap na Bei zake zikoje?Hahhaaa Honda fuel efficient sana mkuu. Mafuta kiduchu safari ndefu.
Mchawi ni hybrid system sio engine size tena. Ila ni cc 1500 bei kuanzia Mil 18 maana ushuru wake umepanda 1m ila mwaka jana ingeipata kwa Mil 17.Cc ngap na Bei zake zikoje?
😁😁😁Mtoa mada ebu soma hii comment utapata jibu....
Huku barabarani kuna WAJINGA wengi Sana sidhani kama crown na Subaru wanahusika kwenye ajali zote
Dah...Siongei mengi tunazika jumatatu Igoma mwanzaView attachment 3570548
Huu msiba umeniumiza sana kafariki classmate wangu alikuwa mstaarabu sana, wapumzike kwa amani �
You know him? Aisee…!Dah...Siongei mengi tunazika jumatatu Igoma mwanza
acha tu kaka tumepoteza jembeYou know him? Aisee…!
Poleni sana! Kijana makini sana kaondoka 😢acha tu kaka tumepoteza jembe
ila bar twende na usafiri.Pole kwa hao marehemu
Madereva tuchukue tahadhali tuwapo barabarani
Tuepuke kuendesha mwendo mkali pia kuendesha tukiwa tumekunywa (ulevi)
Yeye alikuwa dereva au abiria akishangilia ligi?Poleni sana! Kijana makini sana kaondoka 😢
Hapo sijui mkuuYeye alikuwa dereva au abiria akishangilia ligi?
Ni kesho jumatatu
NdioNi kesho jumatatu
Yeye ndo alikua anaendeshaYeye alikuwa dereva au abiria akishangilia ligi?
Mungu amsamehe kwa kusababisha vifo vya wenzake. Hawa vijana wengi ukiwakuta barabarani na fujo zao ukitaka kuwasihi wawe waangalifu wanakutukana.Yeye ndo alikua anaendesha
Hapo jamaa alikua akitafuta sifa kwa demu, akamponza na demu wa watuView attachment 3570548
Huu msiba umeniumiza sana kafariki classmate wangu alikuwa mstaarabu sana, wapumzike kwa amani 😢
Ni kunywa kwa kiasi (Drink responsibly), ukiona wahudumu wameanza kuwa wazuri ghafla ondokaila bar twende na usafiri.