Tofauti ya “Vijana wa Subaru & Crown” na “bodaboda” haipo!

Juzi nimetoka safari, Dar Tanga Lushoto na kurudi, data zangu izi hapa:

Pamoja na kwamba nimetembea jumla ya kilometa 860, tena 70% usiku, average speed yangu ni 32 km/h.

Hakuna sehemu nimeendesha above 70 km/h kwasababu nazijua barabara zetu, dakika 2 nyingi tuta, au shimo, au mnyama/mtu kavuka.

Better late than never.
 
Umepita barabara ya Msata-Segera hivi karibuni? Ni hatari.
 
Na kodi sio ndogo inayolipwa ila matumizi ya hio kodi ndio disaster.
 
Ajari hutokea pasipo kutajaria, ila kuchukua hatua za kukabiliana ni muhimu pamoja na kupunguza mwendo.. Huenda walishazoe kufuta kubati
 
Nilichojifunza barabarani ni kuwa kama unataka kukimbia basi kimbia ukiwa mwenyewe na sio kukimbia mkiwa wawili yaani mnakimbizana
Barabarani huwezi kukubali upigwe overtake hivihivi. Unanyoosha goti mpka asalimu amri mwenyewe, madereva wanaelewa hii kitu. Ligi barabarani Ina raha sana ila ndio hivyo viwango vya barabara zetu ni duni sana. Tunaweka maisha yetu hatarini
Wapumzike kwa amani wapendwa wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…