Hapana. Same Mwanga njia mbovu sana. Mombo Same ndio njia nzuri imenyooka,pana haina kona kali. Ila siku hizi najitahidi kutembea under 130kph.Same - Mwanga unapata sehemu za kunyoosha goti vizuri tu
Mtoa mada ebu soma hii comment utapata jibu....Nilichojifunza barabarani ni kuwa kama unataka kukimbia basi kimbia ukiwa mwenyewe na sio kukimbia mkiwa wawili yaani mnakimbizana
Ooh yes, Mombo kwenda same pana kaumbali. Sijaipita hio njia almost 5 years now. Umri wetu ukiwa na majukumu lazma kumitigate risks tu. Mwendo wastaniHapana. Same Mwanga njia mbovu sana. Mombo Same ndio njia nzuri imenyooka,pana haina kona kali. Ila siku hizi najitahidi kutembea under 130kph.
Naona mmekuja kujitetea 😀😀😀Mtoa mada ebu soma hii comment utapata jibu....
Huku barabarani kuna WAJINGA wengi Sana sidhani kama crown na Subaru wanahusika kwenye ajali zote
Ukiwa huna mchango wowote katika jamii inayokuzunguka utaacha skendo wenzako wanaacha pengo!!Sasa mtu akifa anapata hasara gani kwani? Pengine labda mtu apate ulemavu, inaweza ikawa hasara ila sio kufa!
Madereva wa Subaru sijui huwa tunawahi wapi aisee ,Mimi siwezi kufanya ligi na crown hata sikumoja najua hapo ni kutafuta kifo TuNaona mmekuja kujitetea 😀😀😀
Unakuta mtu ana Subaru anaenda taratibu unataka kumpita mara anakurupuka kama mashindano 😊😊
Nimeona mkuu. Yaani mabasi wanaona kama unawapotezea muda. Tatizo nilikua na family nikaona nisiwe na motoHiki kipaji. 70kph njia kuu inaweza kuwa hatari kwako.
Poleni sana, Mwenyezi Mungu awatie nguvu.View attachment 3570548
Huu msiba umeniumiza sana kafariki classmate wangu alikuwa mstaarabu sana, wapumzike kwa amani 😢
Hasa Hawa ambao jafo anataka walipwe laki Tano hadi laki Saba kisa wameonesha udhubuti wa kufanya kaz hyo jamaa ni mpuiz sna huyoKuna bodaboda wapo smart, makini na wanajua wanachokifanya!!! Ni baadhi tuu wanaharibu taswira ya bodaboda
Tunakamua Ile Ile 120 babaakeView attachment 3570524
Kufuatia ajali ya vijana wawili wenye Subari Pichani wakishindana na Crown , sasa ni rasmi “bodaboda akili zao ni sawa kabisa na vijana wa Subaru/Crown”
Ajali imetokea Morogoro, wakipiga ligi na wakakutana na chuma Uso kwa uso.
Ukiangalia Barabara za TANROAD , hakuna ya kuendesha zaidi ya 100/km per h. Kuna pot holes,wanyama wanakatisha, kuna magari mabovu yanatengenezwa baranarani, kuna Barrier za mazao na polisi bila tahadhari, sasa vijana mkinunua Crown ama subaru mnaweza kwenda kwenye official rally na si hizi barabara zetu.
Mungu atusaidie na pole kwa wanafunzi wote wa CASFETA, Upanga CCC na Ardhi University
Sahv hakuna maderevaUnatania au? Weekend iliopita nimeendesha Dar-Moshi-Dar nimejaribu kujizuia nimetembea sehemu nyingi 120-130kph. Ajali nyingi tatizo sio mwendo ni uzembe na barabarani kumejaa waendesha magari sio madereva mtu anakutupuka tu kisa Subaru au Crown inakimbia.
Sasa aliyekufa anapata hasara gani? Hatuongelei watu aliowaacha, yeye akifa anapata hasara gani?Ukiwa huna mchango wowote katika jamii inayokuzunguka utaacha skendo wenzako wanaacha pengo!!
Inategemea na mienendo yako uliyokuwa nayo hapa duniani(mema/mabaya). Kajifunze mambo ya ulimwengu wa kiroho utaelewa.Sasa aliyekufa anapata hasara gani? Hatuongelei watu aliowaacha, yeye akifa anapata hasara gani?
Ile barabara ni hatari sana, huenda kulikuwa na shortage of funds kuweza kujenga hadi Mbeya, hivyo ujenzi kuishia IgawaDah mkuu ile Mbeya-Igawa ni majanga, pale pona yako bora upite mchana tu! Hivi kilichofanya ile barabara mpya iishie igawa toka Makambako ni kipi?
Watawala badala watujengee barabara nzuri kwa Kodi zetu wanazotutoza Kila siku, wao wanaamua kutumia Kodi zetu kwenda kununua majumba na kuanzisha miradi nje ya Nchi 🙌Na kodi sio ndogo inayolipwa ila matumizi ya hio kodi ndio disaster.
Sijapita hivi karibuni MkuuUmepita barabara ya Msata-Segera hivi karibuni? Ni hatari.
Ina mashimo na viraka vingi sana. Ni kama unendesha barabara ya vumbi. Kama sio mzoefu hii njia ni hatari.Sijapita hivi karibuni Mkuu
Kama nayo ina mashimo, basi Nchi nzima almost asilimia 85 ya barabara zetu zitakuwa tia maji tia maji 🙌
Na hivi wao saivi wanatumia ATCL pamoja na sgr sisi tuonatumia barabara ndiyo basi tena 🙌