Uarabuni ya wapi hiyo unayoiongelea? Wengi wenu mnachanganya sana, Arabian ni race kama zilivyo race nyinginezo, arab sio nchi, ni sawa na kusema uafrikani au Uzunguni, hii inamaana eneo la makazi ya jamii nyingi ya race hiyo, na si nchi.
Uarabuni kupo hata hapa afrika mfano nchi za somali, Egypt, Algeria, Sudan, pia Asia kuna nchi za uarabu mfano UAE, palestine kidogo,israel kidogo,Qatar, kuwait, Yemen, saudi Arabia e.t.c, sas unaposema uarabuni unatakiwa kutaja nchi ipi ama uarabun wa wapi, taja location.
Huwezi kuwatetea ama kuwajudge waarabu maana kila taifa lenye asili hiyo lina miiko yake, sheria zake na tamaduni zake, acheni kujilipokea mambo msiyoyajua.
Ukiona tatizo fulan limefanywa na mwarabu, basi si waarabu wote wako hivyo, tafta asili ya huyo mwarabu wa taifa gani na ndipo umjudge kulingana na utaifa wake.
Tutafte elimu jaman tutaumbuka sana.
Anyway siku zote ushoga umekuwa ukifanywa na hawa wanaojiita wafuasi wa hizi dini mbili, ukristo na uislam, na imekuwa kama kificho cha ushenzi wao ktk hizo dini, waarabu na waafrika wanaonekana wapuuzi na ndumila kuwili sababu ya unafiki wao wa kujifanya wana imani sana na kushika sheria/sharia za dini, huku jamii zao zikiendelea kuwa ktk wimbi kubwa la huo ushoga na tabia zingine za hovyo,
Dini ndio kigezo kinachowachafua hawa, kama isingekuwa imani basi sote tungekuwa sawa na hao mnaowaita wapagani wa magharibi na ulaya ambao dini si sehem yao ya maficho bali, utandawazi ndio maisha yao, hivyo jambo la tabia fulani iwe mbaya au nzuri haliwezi kuhukumiwa kwa kigezo cha sheria za dini.
UNAFIKI NI SEHEMU YA DINI,