Tofauti ya Waarabu, Wazungu na Waafrika utaiona hapa

Tofauti ya Waarabu, Wazungu na Waafrika utaiona hapa

Mleta mada nina vijiswali kidogo; mbona hapo kwa waarabu umeongea mengi na kwa ukali sana huku ukitaja maeneo meengi waliyowahi kuishi na kuwatusi kabisa watu wa huko?
huyu jamaa anaicha kichwa kwenye nyasi anaacha matako nje tulisha mjua kalenga nn
 
Miaka 10 mpaka 20 ijayo mapenzi kinyume na maumbile, ushoga na usagaji yatakua mambo ya kawaida sana kuzidi sasa kwa hizi nchi zetu, ni MUNGU tu atunusuru na hili
papa kama kiongozi wa dunia karuhusu
 
Wazungu wanafanya ushoga na usagaji. Ni dhambi mbaya. Lakini wanafanya na wanaweka wazi tu kuwa wanafanya. Hili jambo halihalalishi ila wanaonesha kuwa responsible. Uwazi Ni utamaduni wa wazungu kwa asilimia kubwa. Hata suala la mahusiano ya kimapenzi. Wazungu wapo wazi sana. Mtoto akifika miaka 18 and above anaweza sema ana uhusiano. Mzazi unaweza usipende lakini ndo hivyo sheria inamruhusu.


Waarabu. Hawa wanafanya sana Ushoga. Unafiq ni Utamaduni wa Kiarabu. Wanatenda haya Sana nenda Mombasa,Zanzibar,Tanga,Lamu ambako kulikaliwa na "Waarabu" na Uarabuni (mind you nazungumzia Waarabu) wanafanyana sana Ushoga. Sana siyo kidogo. Lakini ni wanafiq wakubwa sana. Hawataki kukubali na hujificha kwa kujifanya ni Waislamu wakati Dini hairuhusu hilo. Most of them hawafuati Ukristo.

Vivyo hivyo kwenye suala la Mapenzi kinyume na Maumbile ... Kwa Tanzania Zanzibar wanaongoza. Mimi nlipata demu ambaye aliniambia kabisa mbele anatunza kwa ajili ya mumewe asije akamwaibisha mama yake na wazazi kwa ujumla. Ila nyuma ndo anataka tutumie.

Aliniambia ni jambo la kawaida kwa mabinti wengi sana Zanzibar,Lamu,Mombasa na Tanga. Lakini na sasa limesambaa hata mikoa ya Bara hapa Tanzania nao wameiga toka kwa Waarabu na Wazungu. Wanafanya hiyo michezo hata kusodomeana.

Sisi Wabantu. Hayo mambo kwa kiasi kikubwa sana hayakuwepo. Hayakuwepo nasisitiza kwa Utamaduni wetu na Imani zetu mtu wa hivyo alitengwa na ilikuwa hata ngumu kufahamu kuna jambo hilo. Hatukuwa na huo ushetani. Na hili tunapinga mpaka leo.

Nadhani hilo la kuwa wanafiki limetukaa sisi waafrika pia tumekuja lichukua na kuwa ni sehemu ya utamaduni wetu. Tunasema Funika Kombe Mwanakharamu apite. Matokeo yake mwanaharamu amekaa hapa hapa.

Sasa Nyie Waarabu na Wazungu wa hapa Mchambawima,Gezaulole (Igaufe) Vikindu,Bonyokwa,Tandale,Buza kwa Mpalange, Mabibo Majimatitu, Kilimanyege na Kazimzumbwi njooni na mapovu yenu. Mi nimekaa hapa hapa siendi popote.
subiri waje nasoma comment zao nami siondoki
 
MKUU HAWATOI POVU SIKU HIZI, WANAKUTUMIA MAJINI KWA NJIA YA MTANDAO.
ukiona mtu akili yake anawaza majini tambua anayo kichwani wake chezea jini wewe kama hayo kichwani mwako ni nadara sana kuyataja waathirika wa hayo mambo wako hivio kila mala lazi wayataje tu
 
Uarabuni ya wapi hiyo unayoiongelea? Wengi wenu mnachanganya sana, Arabian ni race kama zilivyo race nyinginezo, arab sio nchi, ni sawa na kusema uafrikani au Uzunguni, hii inamaana eneo la makazi ya jamii nyingi ya race hiyo, na si nchi.

Uarabuni kupo hata hapa afrika mfano nchi za somali, Egypt, Algeria, Sudan, pia Asia kuna nchi za uarabu mfano UAE, palestine kidogo,israel kidogo,Qatar, kuwait, Yemen, saudi Arabia e.t.c, sas unaposema uarabuni unatakiwa kutaja nchi ipi ama uarabun wa wapi, taja location.

Huwezi kuwatetea ama kuwajudge waarabu maana kila taifa lenye asili hiyo lina miiko yake, sheria zake na tamaduni zake, acheni kujilipokea mambo msiyoyajua.

Ukiona tatizo fulan limefanywa na mwarabu, basi si waarabu wote wako hivyo, tafta asili ya huyo mwarabu wa taifa gani na ndipo umjudge kulingana na utaifa wake.

Tutafte elimu jaman tutaumbuka sana.

Anyway siku zote ushoga umekuwa ukifanywa na hawa wanaojiita wafuasi wa hizi dini mbili, ukristo na uislam, na imekuwa kama kificho cha ushenzi wao ktk hizo dini, waarabu na waafrika wanaonekana wapuuzi na ndumila kuwili sababu ya unafiki wao wa kujifanya wana imani sana na kushika sheria/sharia za dini, huku jamii zao zikiendelea kuwa ktk wimbi kubwa la huo ushoga na tabia zingine za hovyo,

Dini ndio kigezo kinachowachafua hawa, kama isingekuwa imani basi sote tungekuwa sawa na hao mnaowaita wapagani wa magharibi na ulaya ambao dini si sehem yao ya maficho bali, utandawazi ndio maisha yao, hivyo jambo la tabia fulani iwe mbaya au nzuri haliwezi kuhukumiwa kwa kigezo cha sheria za dini.

UNAFIKI NI SEHEMU YA DINI,
huku ya dini ya uisilamu shoga uzinifu hukumu yao ni kupigwa mawe tena hadharani mpaka wafe duniani huku hii inatumika nchi 3 tu saudia afoghani sitani na iran tu nchi zilizo baki zote zinaunga mkono ushoga au zinapiga kwa mdomo sio kwa vitendo mfano hapa jf wanakemea sana ushoga hali yakuwa baadhi yao ni wazinifu wanazini watoto wa watu wake za watu mama za watu hawana tofaoti na mashoga tena wanajiita wenye dini dini gani hiyo inayo kataza ushoga ikaruhusu kuzini wanawake kutombwa kama mbwa baadhi yao
 
ukiona mtu akili yake anawaza majini tambua anayo kichwani wake chezea jini wewe kama hayo kichwani mwako ni nadara sana kuyataja waathirika wa hayo mambo wako hivio kila mala lazi wayataje tu
SASA UMEANDIKA NINI, AU NDIO UMEYAPANDISHA?
MAJINI NI WA WASILO KULA "KITIMOTO'
 
We jamaa unajua mambo kwa kina sana mi ni muslim by religion bt i hate arabs sbb ya unafk wao ni wafi***j xna, wauaji sn na wameacha utamadun huo kila walipofanikiwa kueneza din ya uislam hasa maeneo ya pwan. Kwang mi uislam ni changamoto sn mpaka nataman kujua din yetu waafrica ile ya kabla ukoloni nipo tayar kuifata din hyo.
 
Bin
Binti umekosa kabisa bwana wa kukustiri?
oh mi sio binti kumbe hujaskia navowazagamua? Ila we unawaponda wanao onya ushoga kwa mantiki hyo una element za kishoga km sio shoga kbs
 
huku ya dini ya uisilamu shoga uzinifu hukumu yao ni kupigwa mawe tena hadharani mpaka wafe duniani
Kumbuka aya za kupiga mawe na kunyonyesha mtu mzima zililiwa na mbuzi wewe umetoa wapi ?

Na pia Aya zilizobaki zinasema shoga asutwe na kupigwa kidogo na makobazi

Bisha niweke nukuu
 
Tatizo ni kuiga au kufata mkumbo? Je hayo mambo ni starehe kweli au ni kujiharibu bila sababu?
Sina uthibitisho, ila kwa jinsi watu wanavyoongea inaelekea yote haya ni kweli, ni starehe kwa baadhi au wote (uraibu) kama mihadarati vile, ni uharibifu kwani si njia rasmi na hata hizo sehemu za mwili, hayo si matumizi yake. Na wengine hutumia kama njia ya kudhibiti uzazi, kuepuka mimba. Na sijui kama ni kuiga au kufuata mkumbo, uasili na hulka ya binadamu ya kujaribu mambo, huwaacha wengine kwenye mrengo huo.
Ukifikiria wa kwanza, alimuiga au kufuata mkumbo wa nani?
 
Back
Top Bottom