Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee


sikiliza hapo then fananisha na huyo mwenye sauti nzito
Anayebisha abishe Kwa ushabiki tu kwa wasanii wa kike rubby ana sauti nzurii.....narudia hata huyo komandoo amekiri mara nyingi kwenye mahojiano kuwa rubby Kwa sauti ni wamoto.....
 
Vijana nyinyi...!!
Una umri gani mkuu!??
Naungana na vijana hapo juu, nyimbo za jide toka miaka hiyo zipo na zinasikika, binafsi nishasikiliza sana nyimbo za wote wawili na kuwaona wote wawili wakiimba live hivyo nakiri wazi kabisa Jide kwenye swala la sauti hafikii hata robo kwa ruby.

Japo sauti pekee haimfanyi msanii kuwa bora kuliko mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…