Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Utoto unawasumbua nyinyi ..
sikiliza hapo then fananisha na huyo mwenye sauti nzito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utoto unawasumbua nyinyi ..
Mbona nimeeleza vizuri tuDuh..
Kwahiyo sauti unampa nani mkuu...
!??
Anayebisha abishe Kwa ushabiki tu kwa wasanii wa kike rubby ana sauti nzurii.....narudia hata huyo komandoo amekiri mara nyingi kwenye mahojiano kuwa rubby Kwa sauti ni wamoto.....
sikiliza hapo then fananisha na huyo mwenye sauti nzito
KweliAnayebisha abishe Kwa ushabiki tu kwa wasanii wa kike rubby ana sauti nzurii.....narudia hata huyo komandoo amekiri mara nyingi kwenye mahojiano kuwa rubby Kwa sauti ni wamoto.....
sikiliza hapo then fananisha na huyo mwenye sauti nzito
Banza stone ramadhan mwana wa masanja daah alikuwa mwamba snniliwahi kuwakubali jide, banana, banza stone, papii kocha pamoja na tid. hao walikuwa wanaweza kucheza na sauti zao mpaka ukaufurahia muziki wao.
Naungana na vijana hapo juu, nyimbo za jide toka miaka hiyo zipo na zinasikika, binafsi nishasikiliza sana nyimbo za wote wawili na kuwaona wote wawili wakiimba live hivyo nakiri wazi kabisa Jide kwenye swala la sauti hafikii hata robo kwa ruby.Vijana nyinyi...!!
Una umri gani mkuu!??