Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Kwahiyo wewe ndio ubao mfu hapa jamvini??? Mmechoka hata kuwaangalia inatia kinyaa tatua shida zako sisi tunapambana kumuondoa mkolon mweus CCM!! Bepar Kwa kivuli cha uzalendo hizo pumba wambie wajinga wenzio
Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

Karibuni sana.

MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
 
Jipu uchungu nimeliona hospitali ya Mwananyamala kitengo cha maabara watu wanaanza kupewa huduma saa tano. Na wakati wafanyakazi wanafika ofisini saa moja wao ni stori tu na kuacha wagonjwa wanaendelea kuzidiwa....

Mtu amepima toka jana lakini kumpa tu majibu yake asubiri hadi saa tano ndo waanze kutoa majibu....wao na stori tu ofisini
Baadhi ya hospital zina rushwa sana. bila kutoa laki mbili ya daktari hujafanyiwa upasuaji
 
Kwa Waziri au yeyote anayehusika na Marekebisho ya mishahara kwa Watumishi wa umma waliopanda daraja lakini bado kurekebishiwa mishahara yao, tunaomba hawa wasaidiwe. Ni shida sana kunapokuwa na watumishi wa staff moja wengine walisharekebishiwa tangu miezi hiyo na wachache bado. Tunaomba sana.
 
Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

Karibuni sana.

MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Nikiangalia mchakato wa kura za maoni ndani ya ccm kwenye uchaguzi tarajiwa wa serikali za mitaa, naona ccm kama li-jipu fulani hivi. Kwenye kata nyingi kumekuwa na na kuombana rushwa ili jina lako lipitishwe. Najaribu kufikiri
 
Huyu mzee amezaliwa hivyo haigizi hatanii na wala hana mzaha JPM amekuwa ni mtu mwenye misimamo isiyoyumba anasimamia anachokiamini hapepesi macho sasa nyie mnaozoea mzaha mtaumia bure
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
 
Huyu mzee amezaliwa hivyo haigizi hatanii na wala hana mzaha JPM amekuwa ni mtu mwenye misimamo isiyoyumba anasimamia anachokiamini hapepesi macho sasa nyie mnaozoea mzaha mtaumia bure
Una kumbukumbu za misimamo yake Bungeni? Swali tu! VIP ile mikataba mibaya au ulikuwa msimamo wa chama au misimamo ameanza Leo?
 
Huyu mzee amezaliwa hivyo haigizi hatanii na wala hana mzaha JPM amekuwa ni mtu mwenye misimamo isiyoyumba anasimamia anachokiamini hapepesi macho sasa nyie mnaozoea mzaha mtaumia bure
Huyo ni mvunja katiba na Rais wa hovyo kuwahi kutokea
 
Magufuli hana vigezo vyovyote vya uwezo wa maisha ya ki utawala kijamii na kifamilia yeye kwake kila kitu mzaha mzaha tu poor him
 
Huko jirani kuna mtu kapika nyama za kuranga, hapa tumbo linakatika kwa njaa coz ya harufu ya vikarangizo
 
Huyu mzee amezaliwa hivyo haigizi hatanii na wala hana mzaha JPM amekuwa ni mtu mwenye misimamo isiyoyumba anasimamia anachokiamini hapepesi macho sasa nyie mnaozoea mzaha mtaumia bure
Msimamo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Huo ndiyo msimamo wa kukiuka Sheria na katiba? Msimamo ni kumfukuza CAG kisa kaomba kukagua mahesabu ya ununuzi wa Ndege, ofisi ya Bunge na kusema ukweli juu ya trillion 1.5 zilizopigwa kienyeji? Hiyo misimamo ya kuwafukuza wasio na vyeti lakini akabagua na kumlinda Bashite asiye na cheti ni misimamo ya aina gani?
 
ID yako imasema umejiunga JamiiForums 20/09/2019, nyie ndio wale "MAVUVUZELA WA LUMUMBA" mnaopewa posho za bando 2,000/= wenye ID 40 za kuja kujaza server za JF.
Watetezi wa CCM wengi ni mbumbumbu vilaza wapo ghetto kwa cyprian Musiba na le mutuz wakivuta Bangi kisha kukariri kila wanacholishwa na hao wabwekaji wa Taifa ndiyo maana utetezi wao wote hufanana
 
hivi kumbe bado kuna watu hawawezi kujenga hoja yaani wew ndo wakusema anamisimamo inamaana kuvunja katiba ni msimamo this is bullshit yey ni nan katika nchi mpak amewafanya watu kusahau kua na yeye kuna misingi ya uongozi lazima aifate
Huyu mzee amezaliwa hivyo haigizi hatanii na wala hana mzaha JPM amekuwa ni mtu mwenye misimamo isiyoyumba anasimamia anachokiamini hapepesi macho sasa nyie mnaozoea mzaha mtaumia bure
 
Magufuli hana vigezo vyovyote vya uwezo wa maisha ya ki utawala kijamii na kifamilia yeye kwake kila kitu mzaha mzaha tu poor him
Mshauri wake mkuu ni Naibu Rais Daud Bashite na huyo Bashite ni mkuu wa kitengo wa kamati za ufundi a.k.a Ndumba unategemea nini hapo?
 
Usajili Mpya.... Toka lumumba
Buku7 wamechachamaaa

Ova
 
Back
Top Bottom