Kwahiyo wewe ndio ubao mfu hapa jamvini??? Mmechoka hata kuwaangalia inatia kinyaa tatua shida zako sisi tunapambana kumuondoa mkolon mweus CCM!! Bepar Kwa kivuli cha uzalendo hizo pumba wambie wajinga wenzio
Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.