Toka tumepata uhuru hadi leo, hatujawahi pata Rais wa maana!

Ni upuuzi kuendelea kumlaumu J K Nyerere aliyekaa miaka 25 kama Rais wakati waliomfuata kwa ujumla wao wamekaa miaka 31.

Leta hoja nyingine
 
Kwa nini sisi hatuna hiyo mitaji kutoka hizo nchi?

China ilianza kukua kasi kiuchumi 1980 na uwekezaji wakw nchi nyingine ulikuwa wa maana kuanzia miaka ya 2000
Nchi nyingi ulizozitaja hapo zina mitaji ya USA (South Korea, Singapore), China (Vietnam, Singapore, Malaysia).
 
Tukiachana na Ujamaa mentality halafu tuifungue Nchi ili mitaji ya Wawekezaji iingie halafu Sekta binafsi tuiache ichape kazi bila ya kuifanya ndio adui mbona tutasonga kwa Pace ya ajabu

Serikali ijikite kwenye kutoa huduma za jamii tu
 
Hata kuandika kichwa cha habari mgogoro tola ni nini?
 
Tukiachana na Ujamaa mentality halafu tuifungue Nchi ili mitaji ya Wawekezaji iingie halafu Sekta binafsi tuiache ichape kazi bila ya kuifanya ndio adui mbona tutasonga kwa Pace ya ajabu

Serikali ijikite kwenye kutoa huduma za jamii tu
Tatizo huwa una mawazo ya kijima. Mwekezaji huwa ni mfanyibiashara na hakuna biashara isiyo na faida. Mwekezaji haji kukufanya uendelee bali anatafuta utajiri wake, ni kazi yako kuhakikisha unafaidika na ufanyaji biashara yake. Wake up
 
Unajisifiaje kuwa na vyuo vingi wakati wengi wanaozalishwa na wanaofundisha kwenye hivyo hawana ujuzi na mbinu za kuipeleka nchi mbele!
Wote wanaona siasa na kazi serikalini ndio fursa pekee!
Tija ya hivyo vyuo ni ipi??
 
Cha muhimu alete Ajira alipe na Stahiki za Serikali faida zake ni juu yake
 
Mkuu niseme kuwa, hata wehu wangeongoza hii nchi hayo maendeleo ya vyuo kumi tungefikia. Hiyo ni asili ya mambo, baada ya muda lazima mtapiga hatua fulani.
 
Waziri mkuu bungeni aliiambia sekta binafsi ije na mpango mkakati wa jinsi ya kuisadia serikali ifikie ajira milioni nane!!!
Imagine hayo ndio mawazo ya mtendaji mkuu wa serikali katika uchumi wa soko huria!
Tatizo huwa una mawazo ya kijima. Mwekezaji huwa ni mfanyibiashara na hakuna biashara isiyo na faida. Mwekezaji haji kukufanya uendelee bali anatafuta utajiri wake, ni kazi yako kuhakikisha unafaidika na ufanyaji biashara yake. Wake up
 
Unajisifiaje kuwa na vyuo vingi wakati wengi wanaozalishwa na wanaofundisha kwenye hivyo hawana ujuzi na mbinu za kuipeleka nchi mbele!
Wote wanaona siasa na kazi serikalini ndio fursa pekee!
Tija ya hivyo vyuo ni ipi??
Usihamishe goli, nenda kwenye mada ya mtoa thread then jikite kwenye jibu langu.

Hoja ya ajira kwa wahitimu ni mada mpya
 
Mkuu niseme kuwa, hata wehu wangeongoza hii nchi hayo maendeleo ya vyuo kumi tungefikia. Hiyo ni asili ya mambo, baada ya muda lazima mtapiga hatua fulani.
Kwa hiyo wewe ni mwehu?
 
Ni kiwango kidogo cha umaskini.

Huwa yanapatikana kwa;
Uhuru mkubwa wa kuchagua Kiongozi unayemtaka, huduma bora za afya, elimu, maji, nishati n.k, miondombinu bora.
Kwani maendeleo ni nini mkuu?
 
Waziri mkuu bungeni aliiambia sekta binafsi ije na mpango mkakati wa jinsi ya kuisadia serikali ifikie ajira milioni nane!!!
Imagine hayo ndio mawazo ya mtendaji mkuu wa serikali katika uchumi wa soko huria!
Mwekezaji gani atakuja kwa ajili ya kuongeza ajira bila kutegemea mashine zifanye kazi ili apate zaidi. Ukiwa na vibarua wengi lazima uajiri wasimamizi na ma HR. Lakini mwekezaji haswa haweki vibarua bali Robots hata kuchimba mtaro zinachimba mashine, kama ni kuchanga zege hadi kumimina zinamimina machines. Hivyo ajira siyo priority ya mwekezaji, anatafuta peasaaaaa
 
Pambaf zako! Marekani toka uhuru wake ina marais wangapi mpaka sasa? Na je wameweza kumaliza matatizo yote ya wamarekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…