Toka tumepata uhuru hadi leo, hatujawahi pata Rais wa maana!

Uko na upuuzi sana
 
kijani yanakutana dodoma tarehe 30 april yalivyo akili mbovu yanalifanya kuwa tukio la kitaifa.
 
Awamu ya tano tulipiga hatua kubwa mno ila awamu ya sita nchi inaenda kuwa ya asali na maziwa hela itajaa mtaani kutokana na mavuno mazuri ya rasilimali zetu yakiwemo madini na wawekezaji kujaa bongo na kufanya ajira kuwa nyingi.
 
Tungendelea na awamu ya tano tungefilisika kabisa
 
South Africa imepata uhuru juzi tu, tizama maendeleo yao, tena baada ya uhuru maendeleo yameslow down mpaka wanapitwa na Nigeria.... Tatizo uongozi, kweli hatujapata watu wenye akili na maarifa ya kwenda sambamba na speed ya dunia.
Kumbuka Ubaguzi wa rangi? Basi ulikuwa hadi kwenye Elimu

Sasa unamtoa mpiganaji wa Umkhonto we Sizwe porini Msumbiji unakuja kumpoza na Shirika kubwa na factors nyingine nyingi
 
Kumbuka Ubaguzi wa rangi? Basi ulikuwa hadi kwenye Elimu

Sasa unamtoa mpiganaji wa Umkhonto we Sizwe porini Msumbiji unakuja kumpoza na Shirika kubwa na factors nyingine nyingi
Hahahaaaaa, ndiyo wakina Zuma. Hata kiingereza hafahamu na nchi inaongea kiingereza, anaishia kuiba kijinga.
 
Awamu ya tano tulipiga hatua kubwa mno ila awamu ya sita nchi inaenda kuwa ya asali na maziwa hela itajaa mtaani kutokana na mavuno mazuri ya rasilimali zetu yakiwemo madini na wawekezaji kujaa bongo na kufanya ajira kuwa nyingi.
Tungendelea na awamu ya tano tungefilisika kabisa
Unachuki na jk haikusaidii.Jk ndie aliyefanya bei ya vitu iwe chini watz wamudu kununua vitu.Jk ndie aliyepunguza nyumba za nyasi nchini.Safari zake za nje zilileta tija ikiwemo Wawekezaji walioleta ajira na kodi.
 
Hahahaaaaa, ndiyo wakina Zuma. Hata kiingereza hafahamu na nchi inaongea kiingereza, anaishia kuiba kijinga.
South Afrika itaporomoka sana na hata inaweza kuingia kwenye Vita vya wenyewe kwa wenyewe
 
Ili tuwe na maendeleo ni bora tuajiri viongozi toka nje hata kama watalipwa pesa nyingi.
Mfano Rais tunaajiri toka israel.
Mawaziri toka india,japan,uk,kenya nk ili tupate cream tuchanganye changanye.
 
Bwana mdogo fanya kazi upate mlo wa siku.
Ukifikiria kuna rais atakutatulia matatizo unalala mlango wazi.
Mwarekani imekuwa na marais 49 toka uhuru, 4th July 1776, hadi leo kuna wamarekani wanaula wa chuya!
 
Marekani ni nchi iliyoendelea.
Imeendelea lakini matatizo hayajaisha still there is unemployment still there are people who are extremely poor still there is high mortality rate and criminals.so matatizo hayawez isha
 
Sasa tufanyeje?

Mwanzo nilidhani ni mada makini, lakini niliposoma ndani sikuona lolote la kunishawishi niache mchango wa maana hapa.
 
Ili tuwe na maendeleo ni bora tuajiri viongozi toka nje hata kama watalipwa pesa nyingi.
Mfano Rais tunaajiri toka israel.
Mawaziri toka india,japan,uk,kenya nk ili tupate cream tuchanganye changanye.
Walikua sawa kukutumbua na vyeti feki vyako
 
Unachuki na jk haikusaidii.Jk ndie aliyefanya bei ya vitu iwe chini watz wamudu kununua vitu.Jk ndie aliyepunguza nyumba za nyasi nchini.Safari zake za nje zilileta tija ikiwemo Wawekezaji walioleta ajira na kodi.
Sio mimi tu, mamilioni ya Watanzania wanachukia kwa uchungu dalili za kurudi mauza uza ya enzi za JK.

Mazishi ya JPM Kikwete anasimama kusema watoto wake wanamsemesha kwa Kiingereza kwa sababu watoto wa siku hizi wanaenda shule za Kiingereza.

Watoto wangapi nchi hii wanaenda shule za Kiingereza ? Na ni watoto wa nani ?

Unakuwaje Rais mzima hujui kwamba 95% ya watoto wa nchi hii wanaenda shule za kikapuku, hazina vyoo wala vitabu, maskini wachafu hawana viatu, uniform hawana matako nje nje! Wewe JK, nani alikuwa audience yako kwenye msiba wa JPM uliposema watoto wa nchi hii wanaenda shule za Kingereza ? Watoto wa nani ????

Rais umestaafu unamiliki ma apertment building Mikocheni na Msasani Peninsula pamoja na mi mali mingine wewe na Wakuu Wastaafu wa Usalama wa Taifa. Kwa biashara gani zaidi ya undeclared gifts za kupewa na matajiri, rushwa za wazi, grand corruption, wizi wa kijambazi, grand larceny!

Afrika janga tulilonalo hatuna wazalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…