Huu uzi ni wa haki jinai dola ina wajibu wa kutafuta haki ya lisu awe hai kama ilivyokuwa au awe mfu kama ilivyopangwa !! Ubaya wa kutomtendea lisu haki unaweka alama kesho akishambuliwa mbunge kwenye mazingira ya lisu yaleyale je itakuwaje? Mfano anashambuliwa mbunge akiwa kwenye premises za makazi ya wabunge leo je upelelezi wa kesi yake utamuhitaji dereva awepo ? Amueni mambo ambayo vizazi vijavyo vitapima maamuzi yenu na kuwapa nishani.