Mods huu uzi msiufute plz wala ku u merge. Shambulio la lisu ni teso kwa kwa dola. Wenye hekima litanzueni kwa akili kumbukeni muda hautasamehe hili jambo mpaka majibu yapatikane.
Huu uzi ni wa haki jinai dola ina wajibu wa kutafuta haki ya lisu awe hai kama ilivyokuwa au awe mfu kama ilivyopangwa !! Ubaya wa kutomtendea lisu haki unaweka alama kesho akishambuliwa mbunge kwenye mazingira ya lisu yaleyale je itakuwaje? Mfano anashambuliwa mbunge akiwa kwenye premises za makazi ya wabunge leo je upelelezi wa kesi yake utamuhitaji dereva awepo ? Amueni mambo ambayo vizazi vijavyo vitapima maamuzi yenu na kuwapa nishani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.