Tone Tone ya Chadema yatikisa Nchi, Spidi ya Michango inatisha

Matapeli wa kisiasa
 
Ni jambo jema, lakini taarifa yako inakosa quantifiable data zaidi ina vague promises tu.
 


Huu mpango ni muhimu sana. Uzuri wa Chadema ni kuwa creative. Maswala ya kutegemea serikali kuendesha chama wana achana nayo. Chama kinakuwa cha watu. Hii ni mbinu bora sana. Hata kama wakipata 200M kwa mwezi ni bora kuliko sasa
 
Zimefika sh ngapi?..kwa sisi kina Tomaso tuwekee na bank statement kabisa..
 
Kila la kheri/mnakunywa moto au baridiii sana, wazee wanapasha viungo wazee wa shavu, wazee wa masupu supu na kuku choma, watoto wa mujini tunasema kazi imeelekea kibra
 

Attachments

  • IMG_20250228_173857_947.jpg
    91.7 KB · Views: 1
Wana tunaangusha tone tusubir wagawa viberiti na chumvi na bukubuku kwa mazezeta akina Lucas na tlatla... wewe na akili timu unachapisha viberiti unawagawa kwa wananchi hii ni laana na dharau bora tuwachangie.
2015 Jimbo la Isman Mh Lukuvi pamoja na kununua Ulanzi wa mwezi mzima jimbo lote lakini pia aligawa Viberiti vyenye picha yake kaya zote, yaani ni kama hivi Samia anavyowagawia majiko ya gesi ya kiwango cha chini wamama masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…