Wenye kujua hatari ya mabeberu hatufurahi kumuona tonny blaire kujakuja kwa samia. Huyu ni dalali tu tutauziwa huduma wala hatuhitaji.View attachment 1957478
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .
Swali ni hili , Amefuata nini ?
Hawezi kumzidi baba yako udalali๐๐Huyo ni dalali hatari sana
Mama apunguze kuentertain hao jamaa aisee
nashangaa dokta mpango alikuwa anasema eti alikuwa anaogopa kuendesha nchi wakati jumong yupo marekani wakati nchi ilikuwa chini ya msoga thugs.Ndo mwenye rimoti ya Msoga
Thubutu.Amekuja kumkumbusha mama utawala bora wa sheria na haki za binadamu na aache kuwaogopa wanaomzunguka.
Hakika Mwamba yuko mbioni kurudi uraiani ili kuendeleza harakati za katiba mpya kuelekea Tanzania mpya.
Ni David Cameroon wa Concervative siyo Tonny Blair wa LabourTony Blair alimwambia Mugabe kama hutaki ndoa za jinsia moja misaada utaisikia kwenye bomba.
Tujiandae ndoa za jinsia moja.
Wiki ijayo baba la baba David Cameron naye anakuja.
kkkkk
Mkuu mwamba asirudi hadi ushahidi wote utoleweAmekuja kumkumbusha mama utawala bora wa sheria na haki za binadamu na aache kuwaogopa wanaomzunguka.
Hakika Mwamba yuko mbioni kurudi uraiani ili kuendeleza harakati za katiba mpya kuelekea Tanzania mpya.
Ikiwa tu familia ya JK imerudi Ikulu, ataanzaje kumkoromea Blair?Huyo ni dalali hatari sana
Mama apunguze kuentertain hao jamaa aisee
Tont Blair mwenyewe ndio mtaalamu wa kubambikia watu kesi, alimbambikia Saddam Hussein kuwa ana silaha za maangamiziWacheni amfundishe utawala bora bila kubambika
Amekuja kumkumbusha mama utawala bora wa sheria na haki za binadamu na aache kuwaogopa wanaomzunguka.
Hakika Mwamba yuko mbioni kurudi uraiani ili kuendeleza harakati za katiba mpya kuelekea Tanzania mpya.
PambafffHawezi kumzidi baba yako udalali๐๐
Ukiona hujui juu ya ujio wake au hujui amefuata nini basi ni dhahir ujue hayakuhusuView attachment 1957478
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .
Swali ni hili , Amefuata nini ?
Ndio huyo alifanya udalali wa dhahabu na PK na Mwendazake,, Mwendazake akapigwa cha juu na PK ๐๐Unaliwa nyoro wewe
I'm
Tony Blair ni dalali wa imperialists dunia nzima na anajulikana vyema
Yeye, Clinton na wengine
You know nothing little twat
Lugha uliyotumia ina makali sanaUnaliwa nyoro wewe
Tony Blair ni dalali wa imperialists dunia nzima na anajulikana vyema
Yeye, Clinton na wengine
You know nothing little twat
Nahisi hizi stori za mtaani kama ile ya JK kumzima PK madini yaliyokuwa yanapitia hapa kutoka kongo nakama nikweli basi PK alikuwa anrudisha favor kwa TZIle biashara kati ya Jiwe na PK ya madini nahisi huyo Muuaji Blea ndiye anayeongooza mchongo mzima. Nasikia kuna mpunga mrefu PK alimzima Jiwe na hataki uguswe wakati madini ni yetu.
Nahisi huyo muuaji kaja kusuluhisha pande mbili ili dili za kukomba madini ziendelee
Umeona matusi aliyonitukana?Lugha uliyotumia ina makali sana
And you are proudNdio huyo alifanya udalali wa dhahabu na PK na Mwendazake,, Mwendazake akapigwa cha juu na PK ๐๐