Umenikumbusha Kibaha ilikuwa special kwa wale waliofaulu vizuri form four kwenda Form six kwa comb ya CBA.Darasa zima A Level lilikuwaga ni la vipanga watupu enzi hizo.Enzi hizo mtu akiingia shule za government tu tayari ana division 111 kwani shule nyingi division 0 na 4 zilikuwa ni chache sana au hakuna kabisa na ukichaguliwa lazima ufanyiwe sherehe na kusafiri ilikuwa kwa warrant, hapo kwenye list kulikuwa na KIBAHA ilikuwa ni shule ya agriculture
Hakuna cha great skuls wala cha mama ake sijui nini..nyie someni hizo sijui mnaita marian me nasoma changanyikeni unapiga one na mimi napiga one alafu tunakutana facult moja university alafu ndo tunaona nani bora kudadeki..
Umenikumbusha Kibaha ilikuwa special kwa wale waliofaulu vizuri form four kwenda Form six kwa comb ya CBA.Darasa zima A Level lilikuwaga ni la vipanga watupu enzi hizo.
Tatizo wanaobishania humu ni watoto walisoma miaka ya juzi kuanzia miaka ya elfu mbili.Sisi tuliosoma enzi hizo za Mwalimu tunazijua shule ambazo ukisoma kila mtu anakukubali na zilikuwa zinajulikana kama shule za vipaji maalumu.Nikianza kwa kuzitaja kulikuwa na shule maalumum kama;TABORA BOYS,TABORA GIRLS,MAZENGO,MOSHI TECHNICAL,TANGA TECHNICAL,IFUNDA TECHNICAL,MTWARA TECHNICAL NA RUVU BOYS. Anayebisha atakuwa ni kati ya wale waliosomo miaka ya hivi karibuni kuanzia miaka ya 2000 na kuendelea,Kulikuwa hakuna cha Mzumbe wala Ilboru wakati huo.
Walimu walikuwa wanajituma.Mwalimu anamalizia kipindi mwenzake anamsubiri nje ya darasa aingie naye aanze kufundisha.Walimu wlikuwa wanafurahi wanafunzi wao wakifanya vizuri.Those days elimu ilikuwa juu, pia nimekumbuka kwa watu wa biashara kulikuwa na Shycom (A-level) ambayo imetoa product nyingi sana katika masuala ya accounts, enzi hizo kulikuwa na shule za ufundi, biashara na kilimo bila kusahau shule za kijeshi, watu walikuwa wanajisomea wenyewe pasipo tuition, ukiwa una shida unaenda kwa mwanafunzi ambae amekuzidi kidato anakupiga shule ya nguvu ambapo siku hizi watu wanasoma maswali na majibu ya mitihani mbalimbali iliyopita na si kujifunza topic mbalimbali na ndio maana ukimchukua mtu aliemaliza shule enzi hizo mpaka sasa anakumbuka vitu wakati aliemaliza miaka mitatu iliyopita alishasahau kutokana na mbinu wanazotumia sasa na zilizotumika enzi hizo
Walimu walikuwa wanajituma.Mwalimu anamalizia kipindi mwenzake anamsubiri nje ya darasa aingie naye aanze kufundisha.Walimu wlikuwa wanafurahi wanafunzi wao wakifanya vizuri.
Hapo umeacha Msalato
bongolalaenzi zetu hizo kufaulu ilikuwa inatolewa kwa mgawo; nakumbuka mwaka niliomaliza shule ya msingi, wilaya yetu iligawiwa nafasi hamsini tu za kufaulisha. Mie mwenyewe nilishia kwenda private na nilifanya vizuri tu
lakini ilikuwa sifa kusoma, government school, maana yake ni kwamba umafaulu kuliko wengine ndio maana ukachaguliwa! Sure we were looking down to those who went to private school (kasoro seminaries na intl schools) hata kama ni kaka yako wa tumbo moja.
Tatizo wanaobishania humu ni watoto walisoma miaka ya juzi kuanzia miaka ya elfu mbili.Sisi tuliosoma enzi hizo za Mwalimu tunazijua shule ambazo ukisoma kila mtu anakukubali na zilikuwa zinajulikana kama shule za vipaji maalumu.Nikianza kwa kuzitaja kulikuwa na shule maalumum kama;TABORA BOYS,TABORA GIRLS,MAZENGO,MOSHI TECHNICAL,TANGA TECHNICAL,IFUNDA TECHNICAL,MTWARA TECHNICAL NA RUVU BOYS. Anayebisha atakuwa ni kati ya wale waliosomo miaka ya hivi karibuni kuanzia miaka ya 2000 na kuendelea,Kulikuwa hakuna cha Mzumbe wala Ilboru wakati huo.
unachokisema ni kweli kabisa Kaunga, kwanza kulikuwa na matabaka kama ifuatavyo;
1. Shule za Vipaji maalum
Ilikuwa aibu kusema unasoma shule ya private?
Ndiyo kwanza nayasikia leo hayo maana mimi nimesoma private na sijui hata mmoja niliyesoma naye ambaye alikuwa anaona aibu.
Sasa kama you were both naked mtaonaje aibu? Wewe si ulishasema you were not doing well in school? Kufaulu day school na kusoma private was a really big shame hata kama babako anazo.
It never was a 'big' shame during my time.
What i meant was, you wouldnt notice it becoz you were too deep in:nono: